Habari zenu wana JF.
Nimevutiwa kuanzisha thread hii baada ya swala hili kuletwa kama maada katika gazeti la THE CITIZEN la tar. 28 june 2014. Baadhi ya wasomi katika taaluma ya fedha...
JIBU LA KWA NINI WATU WENGINE NI MASIKINI NA WENGINE NI MATAJIRI Watu wengi wanajiuliza, "Siri ya utajiri ni nini?" Jee ni mbinu gani zinaweza kumsaidia mtu kupata utajiri? Siri kubwa ya utajiri...
Naombeni ushauri kwa waliotumia/wanaotumia hii account... nimesoma vipeperushi vyao ikanivutia pia wamesema haina makato ya mwezi.... kabla sijaanza kuitumia ninaomba uzoefu wenu... ahsanteni...
Wadau, nataka kuagiza gari nimeingia kwenye mtandao nimeipenda Corola Spacio, sasa nimepata gari 2 ambazo kwa muonekano wa nje ni kama zinafanana, bei na mileage pia hazitofautiani sana. Tofauti...
Ndugu wadau wa JF.tunapenda kuwajulisha kuwa Ndanda Aluminium and glass imebadili jina kuendana na kazi tufanyazo na sasa ni NDANDA ENGINEERING tukishughulika na ALUMINIUM PROFILE...
United Nations Conference on Trade and Development (UNCTAD)
Tanzania is now the top destination for Foreign Direct Investment (FDI) in the East Africa region, according to the United Nations...
Tanzania is ahead of Kenya when it comes to mobile money use, despite the fact that Kenyans have been using mobile money solutions for 7 years.
Tanzania was ranked ahead of Kenya in terms of...
Richard Kayombo, TRA's Taxpayer Services and Education director fields questions from reporters at Dar es Salaam International Trade Fair grounds on Monday. (Photo: Prosper Makene)
The Tanzania...
Nimetembelea leo viwanja vya Saba Saba.
Naleo vilikuwa vinatembelewa na kufunguliwa rasmi na Makamu wa Rais Zanzibar.
Tatizo nililoliona ni lile lile la miaka yote.
Vumbi na uchafu.
Vumbi...
Vehicle recalls this year pushed further into record territory after Subaru said on Thursday it is recalling more than 660,000 cars and SUVs because the brake lines can rust and leak fluid.
That...
Tafadhari kwa wale wataalam wa kuuza spea ni maduka au sehemu gani nawezaenda kununua kwa ajili ya kuuza either iwe Kariakoo au sehemu yoyote ambayo unafikiri wana bei nzuri, na kama una aidia ya...
Habari wana Jamii Forums,.
Kwa wale ndugu zetu mliopata wasaa wa kufika katika viwanja vya Sabasaba kwa ajili ya maonyesho tunaomba mtujuze japo kwa uchache kuna jambo gani Jipya limejiri pande...
Nataka kuanzisha shule ya Chekechea ambayo itakuwa darasa 1 la watoto wasiozidi 40! nahitaji kama shilingi ngapi kuanza hii project? na usajili ni lazima? process yake ikoje?
Tangu Haruna Masebu astaafu bei elekezi ya mafuta ya petroli zimekuwa zikipanda kila mwezi licha ya bei ya mafuta kwenye msoko ya dunia kushuka.
Je, hii ina maana kwamba waliobaki wanafahamu tu...
Habari Za Mchana Wana Jamvi,
Kwa Kifupi Tu Mimi Ni Mkazi Wa Mbezi-Msuguri, Miez 3 Imepita Toka Nilipoamua Kufunga Ofisi Yangu Ya Biashara Ya Uwakala (M-pesa na Tigo pesa).
Kilichonisababisha...
Nauza pia natafuta uzabun wa ku supply sembe safi kabisa kwenye mashule na mashirika mbali mbali na watu binafsi pia,unga ni mzuri na umesagwa kwa mashne za kisasa kabisa.npo songea karbu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.