Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wadau. Mtapenda kufahamu kuwa SHIVACOM na ALPHATEL ni wakala wa VODACOM kwa kuchapisha na kusambaza vocha na bidhaa za simu za viganjani. Wamiliki wa SHIVACOM na ALPHATEL ndio waasisi wa dili ya...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Gazeti moja leo limemnukuu gavana wa benki kuu [BOT] Beno Ndullu akisema kuwa kwavile mabenki ya biashara ndio yanayoshuhulika na upelekaji wa fedha nje ya nchi, benki kuu haina uwezo wa kuzuia...
0 Reactions
0 Replies
749 Views
Kwa hiyo milioni 1.5 naweza kufungua kisaloon cha kawaida au ninunue bodaboda naombeni ushauri wenu wanajamii kipi ni bora zaidi kukifanya maana hela nyenyewe ndio hiyo hiyo naitegemea initoe.
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Anaejua umuhim wa kujiajiri leo, amechelewa, Pamoja na bei ya bidhaa, jana na leo kuonyesha things are serious, na kuwa juu kuanzia maji na kila kitu, achilia mbali simu ya mkononi, mshahara...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Niliwahi kuuliza na hata baadhi ya uzi juu ya hili suala. Ningeomba Mods waweke wazi bei ya matangazo kwenye hii Forum. Humu wapo wajasiriamali wa aina mbali mbali na wengi wachanga,sasa...
0 Reactions
1 Replies
951 Views
Bithaa mpya toka USA iitwayo XTREME FUEL TREATMENT ni bidhaa itumikayo kwenye vyombo vyote vitumiavyo petrol au diesel kama GARI,PIKIPIKI,GENERATOR,BOAT,TRENI,MITAMBO YA MIGODINI N.K. Bidha hi...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
If u agree, it is a rising diaper market in Tanzania, isn't it? But it is quite underdeveloped. Chances are coming, no doubt! 1. Update YOU on fresh information and latest market trend as we...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mimi ni mjasiriamali nahitaji kufungua fixed account ila sijui faida yake hivyo mwenye uelewa zaidi anijuze: pia ni benki gani yenye faida kubwa? pato langu kwa mwezi laki 1,
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wadau nina uwezo wa kupata Zabibu za kutosha tu kutoka Dodoma ila sijapata acces ya soko lake either kwa Dar au mkoa wowote, kwahyo km kuna mdau yeyote ana acces ya soko anicheki tufanye mchakato...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Ama kweli elimu ya darasani nitofauti ma elimu ya kitaa. Nmesoma ktk maisha ya chini sana ukijumlisha kiasi cha ada toka primary mpaka form six hakifiki laki sita; wakati leo mtoto wa kindergaten...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa mawasiliano zaidi piga mobile no. 0713851088. Tunarecruit wanachama wapya. Tunaitaji fair and just tax in tanzania
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kuna Sintofahamu kubwa kwa maofisa wa TRA juu ya uchakavu wa magari kuwa miaka kumi kama Bunge lilivyoridhia tarehe 28/6/2014 au kuwa miaka nane kama ilivyopendekezwa na waziri wa fedha na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Salaam wanajamii naombeni msaada wa kunichambulia magari kama fuel,durability,handle and spare. Nissan march & suzuki swift all 2005. Nmetokea kuvipenda...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Jana kwenye taharifa ya habari,kupitia luninga ya STAR TV,Kulikuwa na taharifa kuhusu maofisa wa kampuni ya VIETTEL,kutoka Vietam,ambavyo walipata fulsa ya kumtembelea Mhe Rais IKULU dar, Ni...
0 Reactions
0 Replies
852 Views
Habari wadau, Nimeagiza kausafiri kutoka Japana kenye details zifuatazo: -Type Nissan Xtrail -Year of manufacture- 2005 -UA-NT30 -Ukubwa wa engine- 1990 CC (petrol) -Gharama mpaka kulifikisha...
0 Reactions
1 Replies
856 Views
kwa yoyote ambae amewahi kuitumia hii gari,naomba anijulishe ubora wake,ulaji wa mafuta pia je mafundi wa Tanzania wanaweza kuzitengeneza hizi gari nimetokea kuzipenda sana,kuhusu spare nimefanya...
0 Reactions
45 Replies
6K Views
Nimeshtuka sana leo baada ya kuona toothpick nilizonunua kwa mangi eti zime-andikwa made in China..!! sasa magari tunaagiza.., mafuta tunaagiza.., hata gesi ambayo tunayo tunaagiza.., sasa ndio...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Habari wana Jf, mimi ni Dereva wa magari madogo! nihitaji gari kwa ajili ya shughuli ndogondogo! kwa wenye nayo! mawasiliano yangu ni 0714306015 au 0759601820 natanguliza shukrani!!
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Fursa ya biashara: Kutokana na sababu zinazoonekana wazi kuwa suala la kilimo Tanzania lina ibuka kwa kasi kama vile sera za kilimo kwanza ukiachilia mbali miradi isiyohesabika ya mamilioni ya...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Kwa takribani miezi sita sasa pesa nyingi imepita mkononi mwangu takribani five mill.mbali namshaara wangu wa tsh 275000 as take home. Lakini nmejikuta nina hamu ya kufanikiwa zaidi ila tatizo...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom