Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wakuu habari. Katika harakati za kutaka kujiajiri nimejikuta nikaanzisha shule ya chekechea na msingi (english medium) mikoani kwa kununua ekari 8 na kujenga madarasa 3 na choo. Napata shinikizo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Husikeni ni kichwa cha somo. Ninahitaji kujua gharama ya kupiga rangi ya ndani ya nyumba ya vyumba vinne. Gharama ijumishe pia maandalizi kuandaa kuta na dari. Thanks in advance.
1 Reactions
7 Replies
9K Views
Naomba ushauri namna ya kujenga ghala la kuhifadhia mazao..
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Yafahamu mambo ya msingi yanayoweza kukutajirisha haraka. 1. Mche Mungu na kumtegemea YEYE.(omba Mungu kupitia jina la Yesu). 2.Tafuta elimu na ufahamu kwa bidii na maarifa. 3.Panga malengo na...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wadau, naomba kufahamishwa kama kuna anayefahamu kampuni ya kukodisha magari jijini mbeya au hata kama kuna mtu ana gari yake naomba tuwasiliane, aina ya gari iwe rand cruiser vx/gx au hata...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Ndugu waungwana ntashukuru nikijua jinsi ya kukokotoa storage charges ya bandari! mfano Noah ikikikaa mwez how much??
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habar wana jf,kama unatatzo lolote lnalohusiana na yafuatayo 1. Researches - Marketing researches - Business researches - Academic reseaches - Other researches 2.Company registration...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Tanzania's government expects the size of the economy to increase by 20 percent after rebasing the country's gross domestic product data to factor in expanding industries such as mining and...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Jamani nina shida kubwa sana, ndugu wameniandama hali hiyo inanifanya nijiskie vibaya sana. Ni wapi naweza pata mkopo wa shilingi laki mbili au tatu nirejeshe kwa mwezi au kama kuna mtu wa kuweza...
0 Reactions
49 Replies
4K Views
Wakuu wasalaam! Napenda kusaidiwa jinsi ya kuanzisha biashara ya m- pesa na tgo pesa kama wakala . zipi chamgamoto zake?? Vpi unatakiwa uwe na mtaji kiasi gani?? Na faida zake zmekaaje??
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Imerahisisha mambo Sana, tujaribu kujiunga kwa wenzangu ambao nanyi mpo kwenye taasisi hiyo(wateja wenzangu). dial *150*03# ufanye mhamala wowote popote ulipo. Tujumuike pamoja kulijenga taifa.
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Saruji, mabati, nondo, mafuta kufutiwa kodi Wakati Spika wa Bunge, Anne Makinda akitangaza Miswada ya Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT ) na Utawala wa Kodi kusomwa katika kikao cha Bunge lijalo...
0 Reactions
0 Replies
973 Views
Yasije yakawa kama ya NICOL
0 Reactions
5 Replies
2K Views
NAMNA YA KUANZA KUJIPATIA FEDHA KWA BIDHAA YAKO (MPANGO WA SIKU TATU). Kutengeneza bidhaa Mpangilio huu utakuongoza kutengeneza bidhaa ambayo mauzo yake yatakuwezesha kuingiza mapato. Karibu uanze...
1 Reactions
6 Replies
7K Views
Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum.PICHA|MAKTABA KWA UFUPI Katika muswada huo Serikali imefuta misamaha ya kodi ya mapato inayotokana na michezo kubahatisha na ukodishaji wa ndege nje ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Strength of routes sees Kilimanjaro take top spot News Tuesday, 24 June 2014 14:26 Written by Jonny Williamson Kilimanjaro International Airport has been crowned overall winner of the...
0 Reactions
0 Replies
698 Views
Mambo vipi.! Naombeni ushauri mimi ni mwajiriwa,,niko singida.. Nina hicho kiasi cha mil.2 ila natamani sana kufanya biashara angalau kujikwamua na haya maisha ya kutegemea mshahara.,.tatizo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wana jf, kwa anayehitaji dereva awe ni mtu binafsi, na yasiwe magari ya biashara, anapatikana muda wowote, kwa namba 0789575784,
0 Reactions
0 Replies
759 Views
Wana JF, Ninahitaji information ya Legal Breakdown ya Mshahara wa Wafanyakazi wa serikali na makampuni Binafsi kama sheria ya nchi inavyotaka. Information yeyote (kama asilimia za kodi mbalimbali...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
(Zanzibar, Tanzania) — The people's Bank of Zanzibar Limited (PBZ Ltd) which is one among the oldest commercial banks in Tanzania and the only indigenous bank in Zanzibar wholly owned by the...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom