Wanajamvi wasalaam.
Nimeona mabango ya hizi huduma yaani CRDB FAHARI HUDUMA na TANZANIA POSTAL BANK (TPB) POPOTE. Ningependa kujua ukitaka kuwa mtoa huduma (wakala) unafata process zipi na...
nina uza gari hiyo cc 1490 rangi silver kilometa iliyo tembea 49 elfu imesajiliwa mwz huu ikitikea japan ni automatic bei mil 10.5 ipo arusha pc mita weka badae
JIJI la Arusha na mitaa yake kuna ukosefu wa matofali mepesi ya block ya kujengea kutokana na mgodi wa kutoa material ya kutengeneza matofali hayo kufungwa na haijulikani lini utafunguliwa...
Habar wana Jf, mm ni kjana niliehitimu diploma ya masoko na mauzo kutokana na upatikanaji mgumu wa ajira ninaomba kwa mtu yeyote ambaye ana wazo zuri la biashara naomba anisaidie kuniambia then...
mimi ni mkazi wa arusha ninahitaji mtu anayeuza biashara yake kwa sababu ya msingi biashara hiyo iwe katikati ya mji na isizidi mil2 naomba mwenye information ani PM anipe maelekezo.asanteni
Habarini wakuu.
Mimi ni mwanafunzi wa chuo cha uhasibu
Arusha IAA nasomea Bachelor Degree of
Economics and Finance mwaka wa kwanza
kwenda wa pili.
Kwa sasa hivi tupo likizo ya takriban miezi...
Kwa vikundi vya akina mama;vijana;na vituo vya kulelea watoto yatima;kampuni yetu itatoa ofa maalumu kwa ununuzi wa mashine za kutotoleshea mayai ya kuku(incubator);na mashine za kufua...
Fikiria kufanya biashara ambayo utauza kitu ambacho kitakuwa na bei ndogo halafu uwafikie watu wengi kadri uwezavyo. Natoa mfano mdogo wa jinsi wa kuwa Milionea ndani ya mwezi mmoja.
Mfano:
Kuwa...
Wadau habr zenu na habar ya majukum ya kila siku,ebhn ninalaptop yangu mpya ninauza kwa bei poa tu,kwa wale wanaozijua laptop,specification za hy laptop n hard disk 1TB(1000GB),RAM 4GB na...
Jamani eeeh! Nawasalimu. Niko mbali sana na tawi lolote la CRDB ili nikaulize, so naomba msaada kwa anayejua hili.
Nimeajiriwa ajira ya ualimu mwaka huu, nahitaji kuchukua mkopo CRDB. Je...
.The states GDP figures released in September 2012 provide some interesting insights into the Lagos economy. The state has a GDP figure put in excess of N12 trillion or $81 billion as of...
Habari wana Jf, mimi ni Dereva wa magari madogo! nihitaji gari kwa ajili ya shughuli ndogondogo! kwa wenye nayo!
mawasiliano yangu ni 0714306015 au 0759601820 natanguliza shukrani!!
naishi moshi mjini na nimeajiliwa kwa mhindi mmoja, kwa sasa nina miaka 3 nkimsaidia kutunza stoo yake vifaa vya ujenzi. sasa nmejichanga kwa mda wote huu na sasa nimepata tsh milioni 5. mimi...
Iam an entrepreneur at a medium scale and I would like to question my fellow JF followers on how a dedicated trader or any medium scale producer may earn more profits in monthly time. I work and...
Habarini Wana Jukwaa!
Kama swali lilivyo katika "title", naomba wenye uelewa wa taratibu (legal formalities) za kufuata ili mtu aweze kupeleke mzigo wa biashara (yeyote) nje ya nchi (nchi yeyote)...
Habari wandugu!!!natafuta old model rav 4 katika show room za Dar!!Show room ipi naweza pata old model rav 4,ambayo haijachakachuliwa kwa 15M?Ntashukuru kwa msaada wenu!!
kila mara huwa naalikwa kwenye hiyo mikutano ya wajasiria mali nasijawahi kwenda hata mmoja huwa nadharaugi tuu jamani waliowahi kwenda naombeni mnijuze huwa kuna jipya au ni blabla tuu za watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.