Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Kwa kweli dunia tuendayo inazidi usanii kila uchao, hili nalizungumza baada ya mimi mwenyewe kushuhudia na kufanya kaudadisi kwamba bia nyingi sasa hivi zimepoteza mvuto wake wa awali kabisa ...
0 Reactions
60 Replies
7K Views
Unsuccessful people criticize: They will find something wrong with everything and will blast your failures and shadow your successes. They will be the negative voice that doesn’t believe in...
8 Reactions
15 Replies
2K Views
Nataka kujua kila siku garama za Ku exchange dola APA dar!kunamtandao naweza ingia nikaona?msaada pls
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wana jamvi. Naomben ushauri jinsi ya kuanzisha na kutunza shamba la miti ya matunda. Nawasilisha na ntafurahi kuskia kutoka kwa yeyote.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau habari zenu, kama nilivyoeleza hapo juu nahitaji mtaalam yoyote kutoka wizara ya madini anisaidie kunieleza kuna aina flani ya mchanga wa madini yanayotumika sana kwenye viwanda vya chuma...
0 Reactions
0 Replies
826 Views
Miaka mitatu ilopita nilinunua nusu eka pale mlandizi,nikaweka pilipili kali na kuhakikisha hazitegemei mvua, mwaka uliofuatia nikaweza kununua eka nne hukohuko mlandizi, nililima nyanya nusu ya...
42 Reactions
71 Replies
14K Views
For three days I spent at Hong Kong, I did not see any expensive vehicle like Toyota Landcruiser GX or VX - our government should do away with luxuriously cars instead use economy cars like NOAH...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari Wakuu! Nonahitaji kujua ni duka au maduka gani jijini DSM naweza pata nguo classic za watoto kwa bei nzuri za jumla. Ni imani yangu hapa JF ni kila kitu, nakaribisha PMs pia.
1 Reactions
3 Replies
9K Views
Hi wanajamvi, Eti mfano nataka kufungua branch mkoani eti nahitajika kuomba leseni ya mkoa husika? Asante
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Pawaga ni tarafa ipo Iringa vijijini, inazalisha mchele ulio bora na radha nzuri kuliko popote Tanzania. Nimetumia mchele kanda ya ziwa, Morogoro, Manyala, Kyela na Rudewa ila sijaona mzuri kama...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
hivi ikiwa mtu yupo Dubai na anataka kuja Dar, Visa atagongewa huko huko au anakuja kugongewa hapa Tz?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WANDUGU, kwa yule anayejua hapo dsm nitakapopata nguo za watoto kwa bei ya jumla kwa wale wanaodili na wholesale tu hasa hapo kariakoo etc naomba mtuelekeze. asanteni sana.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jaman waungwana nashida navidola vichache ila nataka nijue siku ikipanda ndo nikabadili ili iwe tz sh sasa naombeni msaada kupitia simu or PC nikiwa nyumbani niangalie WAP nijue siku hiyo dola...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
habari wadau? kwa wale wanaohitaji kuku wanyama wapo wakutosha naomba tuwasiliane kwa 0753359245 nip mlandiz kibaha naomba pia ushur wenu wa masoko ya dar ambap madalali hawatatumika. ninakuku...
0 Reactions
0 Replies
916 Views
WALILIA SIJUI COW OH COW VILE LAKINI MWISHOWE MWENDA TENZI NA....................WANASEMA MAREJEO NI NGAMANI Tanzania, Burundi join Single Custom Territory...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mwezi wa 9 napata kiasi cha mil 8 sasa nataka nijaribu biashara ambayo itayofanya nisijutie kuiterekeza hela yangu hiyo.NAOMBENI MSAADA WA MAWAZO WAPENDWA,NDUGU WANA JF.
0 Reactions
30 Replies
5K Views
MSAADA WA KUUZA DENI KWA HARAKA 30 mln Tunafanya biashara ya kukopesha pesa kwa Riba, Pana wateja wetu tunaowadai na bahati mbaya na sisi tumejikuta tuna mapungufu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nataka kujiajili lakini mtaji sina je wapi nitapata mkopo bila mali isio hamishika?
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Mimi ni mtumishi wa Umma nimeajiriwa nikiwa mfanyakazi katika wizara ya elimu TAMISEMI Ninawazo la kufungua mradi wa kilimo ili niweze kujikimu na maisha mbali na kutegemea mshahara tu Je, ni...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mama yangu amekuwa mzalishaji mkubwa na mtengenezaj mzuri wa korosho zilizookwa, nahitaji msaada wa kupata soko la uhakika.
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Back
Top Bottom