Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wakuu naomba mnieleweshe kama umeagiza gari bado haijafika na ni ya 2005 lengo kukwepa dumping fees, leo serikali inapunguza miaka ya dumping fees itakuwaje? Kwamba ntatakiwa kulipa kodi mpya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kipo karibu na kituo cha daladala kwenye barabara kuu ya Chanika - Mvuti,kinatosha kwa ujenzi wa nyumba ya kukaa,tambarale na ni karibu ya makazi ya watu. Unaweza fika kwa kupitia njia ya gongo la...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari wana JF. Tafadhali naomba kwa yoyote anayejua kampuni inayo/zinazonunua mahindi mwanza anisaidie jina la kampuni au hata na contacts kama anazo. Natanguliza shukurani wadau...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nakusudia kufungua auditing firm, naomba wenye uzoefu mnisaidie procedures na requrements za kufkia adhma hiyo....na je ni procedures na requrements hizo hizo kufungua accounting firm?
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Alarm over safety on Dar commuter train PONGEZI KWA JIRANI KUIGA MTINDO HUU The overloaded Dar commuter train is seen in this file photo cruising towards...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
By ADAM IHUCHA Tanzania's partial ban on the export of raw tanzanite over the past four years seems to have been ineffective in controlling shipments of the gemstone to India. In July 2010...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu hebu naombeni msaada wenu especially kwa wale wenye uzoefu na watalaam. Tanzania (hapa Dar especially) kuna mafundi/kiwanda cha kutengeneza parquet nzuri za sakafuni? Nimejaribu kuzunguka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu, Kwa yeyote Mwenye idea ya Biashara za Mazao yatokanayo na Kilimo,ufugaji,n.k (Agribusines idea) Anisaidie. Natafuta Innovative idea ili ika-Compete kupata Funds. Ila IDEA Iwe katika Sekta...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
nataka ninunue kwa ajili ya kilimo cha ufuta, mihogo, mananas, michungwa na miembe ya kisasa. Je itanifaa hyo power tiller? Naomba kujua na gharama zake
0 Reactions
0 Replies
2K Views
heshima kwenu wakuu, samahani kuna yeyote anayefahamu chochote juu kilimo cha aloe vera na masoko yake hapa Tanzania na hata kimataifa?
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Nyumba ipo mtaa wa sanawari karibu na soko la sanawari ina vyumba viwili, sitting room, na store na ina eneo kubwa Maji na umeme kwa kuwasiliana piga 0767 931887
0 Reactions
0 Replies
1K Views
NIMESOMA PAHALA HUMU JF ETI MAFUTA YALIOGUNDULIWA KENYA KAMA MAP UNAVYONA ETI NI YA TZ VISIMA VYA TANGA. NA GESI YA MOZAMBIQUE NI HIYO NI KAMA IMO NDANI TZ MPAKANI NI VIPI. SI TZ ITOE RAMSHA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Heshima kwenu wakuu!!Mimi nimtumishi wawizara ya Afya ninataka kuchukua mkopo Wa fedha Benki.Je ni benki gani ambayo ina masharti yaliyo nafuu na riba ndogo. Naomba USHAURI tafadhali jamani.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mbali na gharama za TRA(Import duty,Excise duty & VAT), ningependa kufahamu gharama zingine ni zipi pamoja na viwango vyake? Ninazofahamu mimi ni zifuatazo hapo chini, ila gharama(figure) zake...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hili swali litaonekana la kizushi kwa baadhi ya watu. Ila nataka kujua more details kuhusu hii makitu maana imeshakuwa ni industry sasa. Kuna watu wanatengeza hela kwenye vyakula, kuna watu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau nahitaji vifaa kwa ajili ya kufanya wiring kwenye ka-ujenzi kangu (nyumba) ambavyo ni 'genuine and high quality'. Kwa mwenye taarifa wapi nitavipata, tafadhali nijuze, ikiwezekana na bei...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu,kwa yeyote anayehitaji agent ya biashara yake pls tutafutane namba 0712660713.
0 Reactions
0 Replies
937 Views
Habari zenu waheshimiwa! 1: Naomba mnieleweshe kuhusu mabadiliko ya gharama za uchakavu (Kuanzia miaka 8 na kuendelea)wa magari toka nje yaliyotangazwa na waziri wa fedha hivi karibuni. Je...
1 Reactions
29 Replies
5K Views
Home Corporate News Corporate News Nakumatt secures Sh3bn KCB loan for Shoprite buyout Share Bookmark Print Rating...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom