Wadau nimetafuta ajira imekuwa ngumu ila nimepata mchongo wa kupata kiasi cha mil.4,Niajiendeleza na masomo ya mambo ya IT na ninataka kufanya biashara hiyo hiyo inayohusiana na mambo ya Computer...
HABARI ZENU,
Kwa yeyote ambae yupo interested kuwekeza au kununua Shares za Global/International Social Media,Naomba tuwasiliane kwa Email: gmassati@gmail.com
Ni Promotional Shares,bado zipo kwa...
We invite you to extremely exceptional Motivational Seminar for Self-Recognition involving changing the Mindset and MBINU ZA KUONGEZA KIPATO. The Seminar will mainly feature: JINSI YA KUBADILI...
Nina plot somewhere na ipo tittled plot no XXX, Ninalouliza ni kwamba je inawezekana kugawa eneo hilo likawa na hati 2, yaani xxx1 na xxx 2 nafanya hivi ili niweze kuuza plot1 ambayo itakuwa...
wadau naomba overview ya biasha ya simu na vifaa vyake (phone and accessories) katika maeneo yafuatayo:
1.Mtaji wa kuanza nao,je mtaji wa chini kabisa ninoweza kuanza nao ni kiasi gani?je milioni...
Wadau poleni na majukumu,naomba msaada wa kiuelewa ndugu zangu nimejalibu kuingia website ya be foward nimeona magari mbalimbali sasa nikawa nataka nichukue suzuki swift ya mwaka 2003 kwa sababu...
Green banana needed in turkey(1oo-tones everymonth) will start with contract for 1year) Wapendwa Wanaboard wenzangu..Kuna fursa ya biashara ya Ndizi mbichi kwenda Turkey na Afghanistani..Kwa...
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwapungia wananchi waliohudhuria sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la TEWO Saccos huko Temeke tarehe 17.6.2019
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea zawadi...
Are you the Businessman? Have you ever trade in Dubai? Do you Import Electronics, Textile, Food Stuff e.t.c from Abroad? if yes then this is the biggest Opportunity for you to expand yourself by...
Habarini wandugu!
Kwa mtu mwenye uelewa wa gharama zote za usajiri wa kampun hadi kumaliza na kuwa kampuni kamili ni sh ngapi?
Mim ni kijana na nina kiji-ajira kidogo cha ugali...
Kwa siku tatu sasa huduma ya Mpesa imekufa!
Tokea jumamosi nimekuwa nikijaribu kutumia huduma hii bila mafanikio.
Cha kushangaza waendeshaji wa huduma hiyo wako kimya as if kila kitu kiko...
1. Lack of ambition
2. No financial goals
3. Dependancy on a job
4. Blaming the system
5. Regularly playing lottery
6. Thinking small
7. Feel they shoul just be 'thankful for what they have'...
Akiongea ktk kipindi cha dakika 45 leo waziri kivuli wa uchukuzi "Moses Machali"amesema kabla hajaingia bungeni aliwahi kumsikia mbunge moja akisema bandari pekee yaweza kuingiza mapato ya Tshs...
Ninataka kuanzisha gazeti la udaku ambalo nitalitumia kutangaza biashara zangu and all that. Nina ofisi na vifaa vyote vya ofisi, ninao vijana watatu ( wanafunzi wa uandishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.