Hellow! Kwa wale wanaotafuta nyumba za kupanga katika wilaya ya kinondoni maeneo kama makumbusho kijitonyama mwananyamala mikocheni na mengine tafadhali tuwasiliane kwa
Namba 0716...
Habari zenu wakuu wa jukwaa la watu wazima wenye akili zao timamu.
Naombeni msaada wa taratibu za kufuatwa ili mtu aweze kufanya biashara nje ya nchi. Mf. Tz na china, uganda, kenya, au nchi...
Tanzania Tourism has surpassed Gold Foreign Exchange.
Vivutio Tanzania: Tanzania Tourism beats Gold earnings. Back to number oneVivutiotz: Tourism Attractions in Tanzania and Africa
Heshima kwenu Mimi ni mjasiriamali Mkoani Mbeya nahitaji kufungua diagnostic center Kwaajili ya vipimo vya ultrasound EEG ECG X-ray na laboratory ya damu, sifikirii kua na matibabu labda kwa...
Jamani kuna ndugu yangu kanifuata kuniomba ushauri kwamba anataka kufungua dry cleaner na ana tsh milioni tatu.
Anauliza ni vitu gani vinatakiwa kwenye biashara hiyo,msaada wajameni tumsaidie dogo
Wadau Hongereni kwa majukum mbalimbali ya Ujenzi wa Taifa letu.
mimi ni mchuuzi wa spare za pikpiki kutoka China ,kwa hali ninayoona nina wasiwasi sana na biashara yangu kua itafikia mwisho muda...
Wana JF,
Salaam,
Ni imani yangu kuwa nyote mu wazima wa afya,
Ndugu zangu naomba mnisaidie kuwa connected na watu toka Taifa la Israel.Imekuwa ni ndoto yangu ya muda mrefu lakini toka wakati...
Wadau nina jamaa yangu ana mzigo wa dhahabu anatafuta mnunuzi na pia ajue bei yake kwa gram. Kama yuko aliye tayari humu anijuvye nimwambie alete mzigo. Pia kuna mawe ameniambia filispa???? Anayo...
TANGAZO ndugu wanachama wa Jf
Eneo linauzwa zaidi ya nusu eka lipo Pugu Kajiungeni wilaya ya Ilala-Dsm, eneo lipo nyuma ya shule ya msingi Pugu Kajiungeni. Kuna barabara inayoingia kwenye eneo na...
"A" TOWN SMART TRADE FAIR. (maonyesho ya kibiashara)
Karibu katika onyesho kubwa la kwanza la wakulima wa mbogamboga kutoka katika nchi za kusini mwa bara la afrika litakalo fanyika jumatano...
Welcome to The Professional Healthy Talk At AKemi- The REvolving Restaurant In DAr!
This Friday 29th Novemeber 2013 at 4:30 Pm
Meet Doctors/ Specialists get the solution of your problems ( like...
VIWANJA VYA KUJENGA VIPO MAENEO YA KILUNGULE KONGOWE.
BEI NI MAELEWANO.
WASILIANA NA MIMI MUHUSIKA UPATE KWA BEI NAFUU KULIKO KUPITIA KWA DALALI.
MAWASILIANO. 0753820584 au 0713135070.
Jana nilipata safari Fupi ya Kwenda na kurudi morogoro, nikiamini kuwa usafiri pekee wa uhakika Kwenda na kurudi morogoro ni Abood bus service. Wakati wa Kwenda sikushangaa sana niliona mende Kama...
Wana JF pole na majukumu---
binafsi naomba kujuzwa kati ya magari tajwa hapo juu lipi ni imara na lenye jatumizi bora ya mafuta na pia spea.
Natanguliza shukran wadau--
Atashindwa kuwasaka, kuwakamata na kuwafikisha kwenye mikono ya sheria wale wote wenye kuhusika na kashfa hii inayoitia aibu Taifa akiwemo Rais wa Nchi.
Shilingi milioni 600 zimetafunwa halafu...
FURSA NJEMA KWA KILA MTANZANIA.
HUU NI UKUMBUSHO Kwa Wale wote waliopata Tili zao za Vodacom Mpesa na wapo chini ya kampuni yetu.
Ndugu Wakala tunawapongeza kwa uvumilivu wenu na...
Je kuna mtu anafanya biashara ya asali na ananunua asali kwa bei ya jumla? Kama ndiyo napenda kumpa taarifa nimekuta sehemu kuna tangazo la anayetaka asali Original jaribu kulisoma mwenyewe hapa