Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Sole survivors from the ancient Greek-listed Seven Wonders of the World, the amazing pyramids at Giza are the planet’s oldest tourist attraction! Known as Cheops, Chephren and Mycerinus, the...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu kichwa cha habari chajieleza nimejaribu kuwatafuta kwenye website yao ila haifunguki so mwenye anajua office zao ziko wapi au akanipa hata namba zao za simu nitashukuru.
0 Reactions
0 Replies
4K Views
WAPENDWA NAOMBA MSAADA. NATAKA KUAGIZA VIDEO CAMERAS AMBAZO GHARAMA YAKE NI usd4080. LAKINI KABLA YA HAPO NATAKA KUJUA tra WATATAKA KIASI GANI? NAOMBA MSAADA MAANA SIJUI MAHESABU YAO...
0 Reactions
0 Replies
888 Views
unaitambuaje dhahabu feki nayaukweli?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakala wa ukaguzi wa madini Tanzania wametoa taarifa kuwa kati ya July 2012 na Novemba 2013 wamekamata madini yenye thamani ya shilingi 15billion yakitoroshwa kupitia viwanja vya ndege. Ukaguzi...
0 Reactions
0 Replies
805 Views
Habari wana jf! Naomba kwa anae jua kuhusu bei halisi ya pikipiki aina ya boxer na fekoni kwa sasa pamoja na leseni kila kitu mpaka kuimiliki kwa matumizi inagharimu shilingi ngapi? Pia naomba kwa...
0 Reactions
8 Replies
9K Views
wanandugu, hope you are doing great, our studio known as CarePoint PhotoPlus is about to start at Makumbusho in Dar.. I am in need of the following: POSING FURNITURE:a posing...
0 Reactions
2 Replies
997 Views
Wamezuka watu wanapiga simu na kusumbua kwamba wanauza kemikali mbalimbali za kusafishia maji. Kuweni macho nao. Naamini namba za mawasiliano wanazipata sana katika stationery ambako watu...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari Wadau. Nna wazo la kufanya biashara ya usafi kwa maofisi kwa kufungua kampuni ya usafi. Naomba mchango wenu wazoefu wa biashara hii hasa uendeshaji wake na jinsi ya kupata clients...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndugu wana jamii nina mpango wa kuhamia morogoro naninahitaji kufanya ujenzi vivyo basi nahitaji kiwanja kitakacho kuwa na ukubwa wa "low density" na huduma za umeme na maji pia viwepo.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau Nafikiria kununua shares za Fastjet. Kwa fikra zangu ni kwamba hii kampuni inakuwa kila kukicha wateji wengi kwa kuwa ni budget airline. Sasa wameanza safari za South Afrika na Mbeya hivi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu.Mwenye information namna ya kuendesha biashara ya butchery, gharama za kuanzisha, Faida yake ikoje na mambo gani ya kuzingatia.Msaada wakuu.
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Katika kipindi cha wiki moja nimelazimika kuweka kuweka kifurushi cha Cheka Bombastik ya siku 7 mara 3, na ambayo huisha baada ya masaa 24. Iliponitokea mara ya mwisho jana tar 27 Nov 2013...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Naona kuna wigo mpana umesahaulika...hebu tujikumbushe Kodi kwa minara ya simu na yamatangazo ya redio na Televisheni,hakika hili ni eneo jingine ambalo mapato yake yanapotea na ukizingatia ni...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari! Kama unatafuta nyumba ya kupanga au kununua maeneo ya mikocheni, kijitonyama, makumbusho, mwananyamala mbezi, usisite tuwasiliane kwa namba 0716 85 06 95 Ili niweze kukuwezesha...
1 Reactions
1 Replies
941 Views
Wakuu jamvini naombeni msaada wenu. Nataka kupata Mining Licence (wenyewe wanaiita PML) ya kitalu cha Copper huko Ruangwa, Lindi. Naomba mwenye kujua utaratibu anisaidie njue pa kuanzia na...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
habari zenu wakuu.. naomba ushauri juu ya uchaguzi wa magari haya ...yani kati ya toyota corona na toyota vitz. kutokana na kipato kidogo ndugu yangu ameamua kuniuzia kati ya hayo magari..,kwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu natumai hamjambo nilikuwa naomba msaada wa kujua jins ya kuagiza gari kuanzia jinsi ya kulilipia na malipo litakapofika hapa tz Garama za TRA .Engene capacty ni cc 2360 na ni la mwaka 2001...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
tumekusoma vilivyo
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Heshima kwenu mabosi zangu. Wakubwa nina nyumba nilijenga miaka michache iliyopita lakini kumekua kuna nyufa moja inajitokeza mara kwa mara.Nimeshapata watu wakisema ni wataalam wa kudhibiti...
0 Reactions
16 Replies
13K Views
Back
Top Bottom