Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Tanzania hii ufisadi unazidi kila kukicha,sipo hapa kupinga watu kulipa kodi,lahasha.bali jinsi mambo yanavyokwenda.mashine hizo hizo,kuna walionunua 2200000",1200000".mwaka huu wanauza 800000...
0 Reactions
0 Replies
940 Views
Wadau JF habari zenu.? Napenda kutangaza kuwa kutakuwa na safari ya kupanda mlima Kilimanjaro kuanzia tarehe 22 Desemba hadi 28 Desemba 2013,kupitia njia ya Machame (siku 7) hivyo kwa mtu yeyote...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za muda wadau? Nina rafiki yangu ni muajiriwa serekalini. Kapewa 10m na babake ili ajiimarishe kiuchumi. Hajajua mpaka sasa afanye nini kwani kapewa kwa masharti kuwa afanyi biashara au...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ndugu wana JF, Kwa wale wanaosoma/watakaosoma first degree au masters au PhD in Business administration/finance/marketing/accounting niauza kitabu cha research kwa bei poa ya 40,000/=...
0 Reactions
2 Replies
908 Views
Wakuu salamu zenu! Mimi ni mteja wa siku nyingi CRDB natumia internet kukagua transaction za biashara zangu, mara kadhaa unaweza kuta transaction moja kwenye mtandao (online) labda...
0 Reactions
0 Replies
949 Views
kutokana na ripoti iliyotolewa na PricewaterhouseCoopers (PWC) hivi karibuni, waajiriwa chini Tanzania wanakatwa kodi kubwa sana ukilinganisha na nchi zote zilizomo kwenye EAC. kama hilo...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
SEMINA YA UJASIRIAMALI KWA WAKAZI WA MWANZA Napenda kuwafahamisha kwamba CPM Business Consultants, yenye makao makuu jijini Dar es salaam, ikishirikiana na Tuwafikie Tanzania tawi la Mwanza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Serikali imekiri kiwango cha kodi ambacho imekuwa ikitoza kwa wafanyakazi ni kikubwa kuliko nchi zingine Afrika mashariki na hivyo imeanza kufanya mpango wa kubadilisha viwango hivyo ili viweze...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hi wanajamii, Kuna hawa watu wanaitwa nexus sijui commonwealth network sasa nimeshapata simu kama mara 3 hivi wananishawishi nilist kampuni yangu humo/yaani niadvertise kwao, ipo UK...eti...
0 Reactions
0 Replies
657 Views
kuna shamba la heka 9 lipo visiga, ni dakika 5 hadi 10 ukitembea kwa miguu kutoka barabara ya morogoro. Shamba lipo pembezoni mwa barabara inayounganisha visiga na bagamoyo. Anayetaka taarifa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau! Kwa sasa nimerudi nyumbani TZ, baada ya kufanyakazi kwa muda mrefu nje ya nchi.....Na kwa bahati nzuri nimepata kazi katika kampuni ya utafiti wa madini kanda ya ziwa, maana mimi mwenyewe...
0 Reactions
19 Replies
6K Views
Ndugu wadau mimi niko mwanza wilaya ya nyamagana nina kama laki 8 nataka nianzishe miradi ya chipsi, sasa naomaba mnipe ushauri kwanza mimi nina wazo kua katika hizo laki nane nifungue vijiwe...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu Wakuu. Naomba kueleweshwa kama mfanyakazi wa TRA anaruhusiwa kuingia ndani ya duka la mfanyabiashara na kufanya ukaguzi wa mapato mpaka ndani ya droo ya pesa? Hii imemtokea kwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari toka ndani ya wizara ya maji zinasema hakuna ppesa za kutekeleza miradi ya maji waliyopanga kuitekeleza chini ya mpango wa BRN baadhi ya makandarasi tayari wanaonja hiyo joto ya jiwe...
0 Reactions
0 Replies
833 Views
ndugu zangu,mm nimuhitimu wa chuo kikuu mwaka hu nimepata kijikazi napata km lak4 hivi kwa mwezi,nataka kuongeza kipato kwa biashara ya chips,mishikaki na ugali nyama choma hapa arusha.naomba...
0 Reactions
0 Replies
791 Views
hellow mana JF i need a help on opening a web site, i have a busns and i want to advertise out side the country, who knows where i can get a such help if posible to whom, am an agent of hard and...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
* GUIDE to running a BUSINESS like a PROFESSIONAL* Hello, We hereby present to you our book manual (available in English & Swahili) named above, which is a well written guide to running a business...
0 Reactions
0 Replies
699 Views
*CAREER SUPPORT SERVICES* DEAR SUPER APPLICANTS, HOW DO YOU GO ABOUT GETTING YOUR DREAM JOB? In the last ten years in Tanzania we have been involved in staff recruitment exercises and...
0 Reactions
0 Replies
588 Views
Wakuu nimestishwa sana na tozo ya tsh 12000 kwa mwezi kwa ajili ya current account gharama ambayo imepanda kwa asilimia 1200 awali ilikuwa tsh 1000 sasa nauliza haya mabenki hayana mdhibiti? Au...
2 Reactions
38 Replies
4K Views
Wadau, nataka kununua moja kati ya simu hizo mbili,iphone 5s au blackberry q 10,ipi simu nzuri hasa ukizingatia utunzaji wa chaji,applications kama jf,twitter,instagram etc? Mwenye uzoefu na...
0 Reactions
0 Replies
998 Views
Back
Top Bottom