Siku ya jumamosi tarehe 7/12/13 kuliandaliwa mkutano au tafrija au hafla maalum ya kuwakutanisha watanzania waishio sehemu mbalimbali nchini Uingereza. Mkutano huo ulidaiwa kuyatarishwa na kampuni...
LAGOS, NigeriaIt ain't easy bringing Africa the hamburger.
In the past year, Johnny Rockets Group Inc. in Nigeria opened its first retro diner on the continent, and Burger King Worldwide Inc. cut...
Salaam wana JF,
Napenda kuuliza hili sawali ambalo linaweza kuwa dogo sana kwa wengine lakini naamini ni kubwa sana kwangu kwa sababu sina utaalamu na mambo ya hisa.
Nataka kuuliza je unaponunua...
Please follow the Interview made by The Guardian with Ms Massinda, CEO of Capital Markets & Securities Authority (CMSA) about Entrepreneurs use of Capital Markets to get long-term capital.
Read...
Dear Prospective Clients
We would like to take this opportunity and introduce you to a new name in Digital Marketing.
Eneo Lako, prides itself as one of the leaders in the Digital Marketing...
Ndugu wanajamvi wasalaam!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu!
Ninaoomba mwenye ufahamu wa kutosha juu ya hii aina ya uwekezaji anipe ufahamu kuhusu hii aina ya uwekezaji ili na mie...
Namhitaji mjuzi wa kutayarisha tenda,awe ni mtaalamu wa mambo ya manunuzi,kwa yoyote mwenye sifa hizo tafadhali naomba tuwasiliane ani PM,au kama kuna mtu anamfahamu mwenye hizo sifa tafadhali pia...
Jamani nahitaji kujua bei ya waterpump aina zote mbili ya mguu na ile ya mkono ni sh.ngapi? na uwezo wa kuvuta maji inaweza kuvuta toka umbali gani? na ikiwa nina kisima cha maji chenye urefu wa...
Wakuu nimejaribu kutafuta contact za Fair Competition Commission (FCC) ili niweze kuishitaki kampuni ya Star Media Ltd maarufu kama Star Times kwa kutangaza bei ya bidhaa ambayo ni tofauti na ile...
Eb niambien wana-Apolo, maisha yamekuwa ngumu kama kifuu ya nazi, ukitaka kufanikiwa lazima Upasue kwa nguvu na Akili.
So what?
Retail Busines Idea
Anzisha duka la chakula kama min...
Lack of trust among businessmen could be the main reason behind the failure of ventures to expand, unable to compete with incoming foreigners and scooping all business and contracts as locals...
Amani kwenu wanajamvi!
Nimekuwa nikitafakari muda mrefu kuhusu matumizi ya picha za wanyama katika fedha (noti) zetu Tanzania, na sijapata jibu hadi sasa. Nimeangalia katika noti za nchi kadhaa...
Habari zenu. Kwasasa ninajishughulisha na mradi wa kutengewneza sabuni za miche za kufulia. Kwa sasa niko ktk process ya kutafuta soko. Je, nipite duka moja moja kuwauzia au niwauzie wenye maduka...
Taasisi isiyokuwa ya kiserikali ya Tuwafikie
Tanzania, inapenda kuwakaribisha wakazi
wa Mwanza katika mafunzo maalumu ya
ujasiriamali yatakayofanyika kuanzia
tarehe 16 disemba.
Mafunzo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.