Kodi ni jambo la msingi, na sioni tatizo la mashine za risiti za EFD
Ila naona haki kubwa walionayo wafanya biashara kugomea hizi mashine.
Juzi tu hapa tulisikia wote mshahara wa Rais mkubwa...
Hakuna kitu kinaniuma kama kupata kwa jasho kali (Serikali kukamua walipa kodi) na kisha kutumia kwa DEZO?????????!!!!!!!! Mfanyakazi wa sekta binafsi na umma hususani mwalimu na baadhi ya idara...
Ninauza bata wa kawaida wa rangi nyeupe na rangi mchanganyiko (nyeupe na nyeusi......) kwa bei ya Sh 15,000-25,000. Anayehitaji anitafute kwa namba hii hapa : 0718424824. Karibuni sana
Ninauza bata wa kawaida wa rangi nyeupe na rangi mchanganyiko (nyeupe na nyeusi......) kwa bei ya Sh 15,000-25,000. Anayehitaji anitafute kwa namba hii hapa : 0718424824. Karibuni sana
Habari wakuu
Naomba msaada, mwenye kujua hatua za kufata ili kuweza kununua nyumba za TBA zinazojengwa Bunju au eneo lolote hapa Dar anifahamishe. Kama mimi ni mfanyakazi wa serikali nahitaji...
Habari wana mmu. Naomba wenye uzoefu namalorry aina yaScania itakayofaa kwakazi yakubeba kokoto namchanga ni ipi kati ya 113h,112h, 114h 93m au 93h 124L hapa nahitaji ulaji mafuta , service...
Ifuatayo ni Technique tunayotumia kuiba kodi kupitia mashine hizi zilizoletwa na sirikali na TRAAAA;
Unanunua mashine 2 unaingiza settings zinazofanana isipokua moja inakua ina act kama client na...
Mazungumzo ya Soko la Pamoja EAC yakwama
Faraja Mgwabati
Daily News; Thursday,November 13, 2008 @21:15
Mazungumzo ya kuanzishwa kwa Soko la Pamoja la Afrika Mashariki yamekwama baada ya...
Jema Africa Limited aggregates crushing plant iliyopo Msata Mazizi
inawakaribisha wote wenye ujenzi wa nyumba binafsi au makampuni yanayojihusisha na
ujenzi.Tunazalisha kokoto nyeusi zenye...
Tanzania Minerals Audit Agency (TMAA)
Gemstones worth billions of shillings were recovered from foreigners in a joint operation by security forces between September and early this month, it has...
Yaani nimefika hapa yapata 1 hr ago nikakuta ATM moja inafanya kazi but haina hela, nimeulizia customer service akaniambia itachukua 1 hr mambo yatakuwa shwari.
Nikapiga simu kwenye hotline yao...
nimepakumbuka sana kwetu, nyumbani kwa baba na mama, where i was born twenty something years ago..
niko kwa muda kwa ajili ya salam za hapa na pale,
ndugu zangu, maisha ya raia wenzetu huku...
Akiongea kwa kujiamini,bilionea Mengi leo wakati akikabidhi zawadi kwa washindi wa shindano la ujasiliamali,ametoa darala na kujibu hoja ya waziri Muhongo kwamba wafanyabiashara wa tanzania hawana...
Wandugu,
Nimeona cement mpya ya twiga plus. Napenda kujua ina nini cha zaidi kulinganisha na ile ya zamani.
-Je inatoa tofali nyingi zaidi au imara zaidi?
-Je ni kukauka haraka?
Tafadhali mwenye...
Wawekezaji njooni Kusini{Lindi na Mtwara},Umeme wa Uhakika upo kusini,Ukatiki,njooni mjenge Viwanda Tanzania kusini#Umeme wa Uhakika Upo# NB:sehemu ambayo Tanzania umeme ausumbui ni hiyo...