Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wadau naomba mnisaidie mtu anayejua jinsi ya kutengeneza pipi na marigafi zinapatikana wapi, na kuweza kupata radha tofaut tofut, au kama unajua wapi pa kupata ushauri pia nitashukuru. Na pia je...
1 Reactions
4 Replies
8K Views
Kwenye mtaa ninaoishi ndani ya miezi sita iliyopita nimeshuhudia watu watatu wakifilisiwa mali zao baada ya kushindwa kulipa mikopo ya biashara. Na wiki iliyopita maeneo haya haya ulifanyika...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wadau, Natafuta Toyota Passo ya mwaka 2004 au 2005,nzima, iwe imelipiwa ushuru au kama inatumika, isiwe na zaidi ya mwezi 1 Tanzania.Bei iwe kuanzia mil 5.5 hadi 6.5... Rangi yoyote isiwe...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wana JF, Naomba kufahamu gharama za vitu vifuatavyo katika ujenzi kwa mkoa wa Dar na wapi naweza kupata vitu hivyo na ubora wao 1: Madirisho ya Grill 2: Madirisha ya Vioo 3: Milango ya...
0 Reactions
17 Replies
53K Views
habari wana jf naitaji kujua kwa anae jua soko la vioo kenya
0 Reactions
0 Replies
950 Views
Salaam wadau, ninayo dhamana na wazo la biashara lakini kutokana na mfumo wetu wa kibenki hawakopeshi biashara mpya(start up),ndio maana nimekuja hapa. Nahitaji mkopo wa tshs m 100-150,na zamana...
0 Reactions
0 Replies
950 Views
Je unatatizo la Unene? I’ve battled with my weight for years. I finally decided to take charge. I may have seemed happy with myself but like a lot of people was desperately unhappy with...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
how to start a successful business
0 Reactions
2 Replies
952 Views
Mahojiano ya DSE na Makampuni yaliyoorodheshwa kwenye Soko la hisa la Dar es salaam Stock Exchange, makampuni hayo ni Precision Air, TCC na CRDB. Part 1 part 2
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Nikiwa mjini Bujumbura niliiishiwa na fedha za kigeni na hivyo kuwa na shida ya kubadili takribani shillingi millioni 2 za Tanzania nilizokuwa nimebakiwa nazo mfukoni ili nipewe ama AMARUNDI au...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwa kuwa Wanywa Bia Hawalipi Kodi ya Aina Yoyote Ile WanapoKunywa Bia Zao, Inapendekezwa Kuanzia Kesho KODI YA MAENDELEO KWA WATU HAWA IWE NI SHILINGI ELFU SABINI NA TANO KWA KILA DAKIKA...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Natafuta huduma ya cable tv hapa moro iko wapi?gharama zikoje?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
We are looking for Holidays cards distributor whom we can sign a long term contracts -the cards are of its kinds first they will be in swahili-the cards are for new year,wedding,happybirthdays,and...
0 Reactions
0 Replies
582 Views
Iko katika hali nzuri na ina week ya pili tangu iingie kutoka japan. Rangi yake ni kijani na inachukua abiria watu wazima kumi, kwa watoto kumi na tano na zaidi. Wenye hoteli na kampuni za...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana jamvi. Naomba msaada wenye ujuzi kuhusu malipo yaincome tax . All details are as follows: Company income per month is Tshs 6m . Expenses like rent and other is 1m . Salaries bill is...
1 Reactions
23 Replies
5K Views
Habari Naomba kama kuna mtu anafahamu anielekeze Jinsi ya kutengeneza sabuni ya unga nyumbani. Asante
0 Reactions
0 Replies
7K Views
Habari zenu wana JF. Nina mtaji wa 2m nipo dodoma mjini. Je ni biashara gani inalipa dodoma. Mimi ni mgeni katika mji huu ndo nimefika mwezi huu nimepangiwq kazi huku kama mtumishi wa umma...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
1999 Sliding Skeleton Trailer, 14 Containers Locks,Drum Brakes,SuperSingle Tyres, Zimelipiwa ushuru zote, hazijafanya kazi Tanzania hata siku mmoja, zote zipo Vikindu kama unataka kuziona, Kwa...
0 Reactions
0 Replies
922 Views
Kwa mara ya kwanza Dr. Innocent Chukwuma amewatoa kimasomaso wa Nigeria Huyu jamaa ameweza kuanzisha kampouni yake ya kutengeneza magari (KIBIASHARA) inayoitwa (INNOSON Vehicle...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom