Wadau, juzi nimesafiri na ndugu mmoja, ni mtu mzima wa makamo, miaka sitini hivi na kuendelea.
Njiani tumeongea sana kuhusu kilimo na mashamba. Akasema ana heka hamsini ktk Bonde la Mto Wami...
Kwa wale wenye magari,
Nafanya installation ya GPS devices kwa bei nafuu. ambayo yenye uwezo wa ku control gari yako kwa kutumia simu yako ya mkononi kama kuwasha, kutia lock, kuzima na kumonitor...
wana jamvi ninatafuta soko la unga wa mihogo na mihogo yenyewe inapatikana kwa wingi na kama mtu anajua wapi nitapata soko hilo hivyo anijuze tafadhali
Wana JF habari zenu?
Natafuta wataalamu wa ku-print T-shirts na kofia.
Nataka T-shirts 100 na kofia 100.
Competitive QUOTE (with best samples & reasonable price will be given priority)...
Wanamitindo wetu wanaofanya mitindo..
HKTDC Hong Kong Fashion Week for Fall/Winter 2014
13 - 16 January 2014
Hong Kong Convention and Exhibition Centre...
Wana JF naomba ushauri kuhusu vitenge(african print) kwa wale wenye uzoefu na bidhaa hii.Nina project inayohitaji kutumia vitenge(african print) kwa wingi(kwaajili ya nguo).Tatizo nimejaribu...
Habari za jioni wana jamii
Kuna mtu yeyote mwenye taarifa za kina kuhusu hii kitu hapa
FEP GROUP OF COMPANIES ???
Msaada tafadhali!!
CC Ab-Titchaz, Dr. Job, Crucial Man...
UZI HUU NI KWA HISANI YA RAFIK YANGU MNIGERIA AMBAYE UWA NAMLIPA KWA KUNISHAURI MAMBO ZA BIASHARA LAKIN NIMEONA KUSHEA NA NYIE RAIA WAFANYABIASHARA WENZANGU.
CHA MUHIMU KWENU NIKUBADILISHA...
Wanajamii narejea tena katika mtandao nikiwa na mada ya Mradi wa Magari yaendayo Kasi Jijini. katika mada hii nataka wanajamii tufanye utafiti wa kujua mara mradi huu utakapokamilika wazawa...
International investors choose South
Africa , Nigeria and Kenya as the best
African countries on the continent for
investment in 2011. A survey conducted by
Africa Business Panel among 800...
Heshima mbele Wanajamvi!
Sisi ni vijana watatu tumeungana tukafungua na kusajiri kampuni ya Mawasiliano. 2 kati yetu ni wazoefu kabisa kwenye fani hii na wameshafanya kazi na makampuni ya...
Hospitali mmeiboresha kimajengo naamini hata vifaa baadhi.
Tatizo lipo mapokezi madirisha matatu ya Bill na records. File la mgonjwa linatafutwa saa nzima alafu Kuna dada m1 mweusi dirisha no 1...
Heshima zenu wakuu,
Ninawaomba msaada kwa yeyote mwenye kujua namba za simu za Gavana wetu wa Benki Kuu na Manaibu wake anisaidie kuweka hapa. Natanguliza shukrani!
WanaJF,
Kwa anayejua anisaidie angalau kujua ni gharama kiasi gani inahitajika kuweza kufanya kazi ya Utafiti na Uchimbaji wa gasi na mafuta Tanzania.
Niliogopa sana kusikia matajiri wakubwa...
Wadau mimi ni mwanafunzi wa chuo kimoja hapa dsm sikubahatika kupata mkopo ila kabla sijaanza nilisha jikusanyia kama mtaji wa milioni mbili hivyo naombeni ushauri nataka niizungushe ili inisaidie...
wadau ninaham ya kuanza kwenda nje kununua nguo za kuuza jumla na rejareja. siku zote nimekuwa nachukulia mzigo wangu nairobi , naomba wazoefu mnidadafulie wapi naweza pata nguo za ukweli kati...
Grow your people; grow your business
An observer was watching a fisherman having a very successful day. He caught many large fish, however released the large and kept the smaller fish. When...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.