Tarehe 23/07/2013 niliamisha sh 300,000 kutoka M-Pesa kwenda Akaunti yangu ya CRDB. M-pesa, katika muda huowa kuhamisha, walinithibitishia kuwa hela yangu imeenda CRDB katika akaunti yangu.Cha...
Habari wakuu,
Nipo kizamani kidogo,
nilikuwa nahitaji modem ya zantel ile ya zamani ambayo ipo kama sim ya mezani(almaarufu TTCL)
Mwenyenayo anicheck kwenye
A group of residents close to African Barrick Golds (LON: ABG) North Mara mine in Tanzania have filed a lawsuit against the miner in London claiming the company is responsible for deaths and...
Salaam wakuu, nahitaji sh milioni za mkopo wa haraka kwa dhamana ya nyumba hapa dar.
Kwa mwenye kujua mahali ninapoweza kupata nitashukuru..nawasilisha
Habari wakuu,
nahitaji mkopo wa haraka wa shilingi milioni mbili. Dhamana nyumba hapa dar,kwa anaeweza kunifahamisha wapi naweza pata tafadhari nawasilisha
Good sunday evening wapendwa watanzania wenzangu katika kujenga uchumi wa Taifa
Ndugu zangu mimi mwenzeni maji iko shingoni nimeshachoka kubeba Box.Sasa nimeona niwekeze kwenye news...
Una kumbuka mara ya mwisho kununua mafuta ya gari lita moja kwa sh 1700?
Xtreme fuel treatment ina kurudisha kwenye huo mda.
Pia ungependa kuijali na kuilinda injini yako, ifanye kazi zaidi...
By IBTimes Staff Reporter
on July 25 2013 6:25 AM
A general view is seen of the container terminal at the main port in the Kenyan coastal city of Mombasa. Reuters/Joseph Okanga...
A petrol station in Dar es Salaam. Tanzania is ready to pick a firm to supply oil for its strategic reserve to cushion consumers against supply shocks. Photo/FILE
By JOSEPH MWAMUNYANGE Special...
Wadau wa biashara nimepata taharifa kuna mfuko umeanzishwa na serikali wa vijana..huu mfuko unatoa mikopo nafuu isiyoitaji mali isohamishika kupitia halmashauri zote nchini..Sina details za...
Tanzania ina kila aina ya utajiri. Katika ardhi yake kuna madini ya dhahabu, Tanzanite, makaa ya mawe, gesi, na sasa watafiti wamebaini kuna madini mengi ya urani.
Madini ya urani yanatajwa...
Habari za mida hii wakuu,
Nilikuwanoomba msaada wa ushauri namna ya kufanya packing nzuri:-
-Biashara ni ya viungo(Spices),kwa sasa na pack kwenye mifuko ya plastic kama ,sasa nilitaka angalau...
Habari wakuu!
Natafuta milioni tatu (3,000,000) kwa ajili ya kuanzisha biashara ya ufugaji kuku wa nyama (Bloilers). Nimeamua kuanzia na mtaji mdogo ili nijifunze changamoto za biashara hii na...
fursa ya biashara Mwanza. Kampuni mpya ya Network marketing inayoanza hapa Tanzania kwa mara ya kwanza tuko mwanza na tunahitaji brand new leaders ambao watakuwa top earners hapa Tanzania.
Ni...
by JOHN BUKUKU on JULY 26, 2013
Na Miza Kona Maelezo – Zanzibar
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wameishauri Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kupiga marufuku bishara ya...
Wakuu nlichokiona ktk jiji la Dar-es-salaam na tatizo la ajira, ivi serekali, mabenki na taasisi kubwa za fedha zimeshindwa kabisa kujenga masoko km Buguruni, Tandika Stand, na Tegeta kuwa ya...
CRDB dodoma branch haiwezekani maelfu ya wanafunzi dodoma kuhudumiwa kupitia dirisha mojo uku wale ambao sio wanafunzi kuhudumiwa kupitia madirisha sita kwani huku ni kupotezeana muda kwani...
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua kampeni ya miezi miwili na nusu kwa ajili ya wateja wake wa huduma za kibenki zinazofuata sheria za Kiislamu, ili kupata washindi wawili watakao...
Mtazamo Binafsi:
Uwekezaji wa Makampuni ya Kimataifa (MNC) na Ukwepaji kodi katika nchi wanakowekeza vinazidi kuwa changamoto kila siku. Hii siyo changamoto ya nchi zinazoendelea tu bali hata nchi...