Huduma hii ni nzuri na ya uhakika karibu ujipatie hii mawasiliano ni
Legacy impresion Company
.:LEGACY TANZANIA:.
Legacy Impresion
facebook page: legacy impresion company
Email...
Amini usiamini walichokifanya NSSF kitalaaniwa na wengi na sasa ndio tunazidi kuona uozo na uliopo nchini Tanzania.Mtakumbuka mpiganaji wetu Dr.Maseru alivyokuwa mpiganaji akaacha kukaa na...
RAIS KIKWETE AINGILIA KATI KODI ZA LINE.....AMEZITAKA MAMLAKA HUSIKA ZIKUTANE HARAKA ILI TATIZO LIISHE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameagiza...
Maisha yanazidi kuwa magumu jamani sijui walalahoi tukimbilie wapi.
Kodi kila mahali. Vitu kupanda bei je haya ni maisha bora ua bora maisha
wakuu mimi kodi ikianza mkinikosa kwenye line yangu...
Wanajf
nilipokua nasoma A level nilifundishwa maswala ya kodi walau kwa kiasi kidogo. Kuna principle of a good tax systemkama ifuatavyo
According to Adam Smith, Good Taxation System based upon...
Hi wanajamvi, nina maswali kadhaa kuhusiana na power tillers
1. Je kuna aina ngapi angalau za power tillers?
2.Kwa DAR zinapatikana maduka gani na bei yake ikoje
4.Je ni durable power tillers...
Heshima kwenu wakubwa,
Katika harakati za kutafuta gari ktk mitandao mbalimbali nimekutana na gari aina ya harrier kwenye mtandao wa beforward.jp(details zake ntaziweka hapa chini).Nilikua naomba...
By THE CITIZEN | Wednesday, July 10 2013 at 10:54
When Mr Gulam Dewji, a Tanzanian businessman called his son Mohammed to come back to Africa and join a family business about 14 years ago...
In a bid to increase earnings, Vodacom has agreed to sell 1,149 phone towers in Tanzania to an infrastructure company backed by investors including George Soros
The wireless carrier, South...
Ndugu wanaforum!
Salam,
Ninaishi Arusha...Nimepata mtaji ( 5 m).. katika kuwaza biashara ya kufanya ili nami nitoke kimaisha nimeona nijaribu hii ya kuchukua zabibu kutoka Dodoma na kuziuza...
Wakuu habari,
nawaombeeni ushauri kati ya kubadilisha injin ya gari na kufanya overall ipi bora,maana kuna fundi alinishauri nifanye overall na mwingine akashauri ni bora kubadilisha injin ndo...
Baada ya kuumiza kichwa kufikiri ni biashara gani nitakayoianzisha ikifuatiwa na kufanya utafiti, nimepata sehem flani ambayo inafaa sana kwa biashara hii hivyo nina mpango wa kumiliki hizo tents...
Wadau nina ndoto ya siku za hivi karibuni kufungua cyber cafe(internet cafe),malengo yangu ni kuanza na compyuta tano.
Ningependa kujua ili kuanziasha cafe hiyo ninahitajika kuwa na vitu...
Karibu Legacy Impresion Company upate huduma ya Branding kwa bei
Nafuu msimu huu wa sabasaba kwa punguzo la bei
-
Branding ni elimu itolewayo kwa mtu, kampuni au taasisi kwa ajili ya...
Amani kwenu wadau...
Natumaini mu wazima wa afya na mnaendelea vyema na shughuli za kila siku. naomba msaada kwa yeyote anayefaham
sehemu ninayoweza kupata vifaa vya studio ya picha (kama photo...
Jipatie huduma zifuatazo katika entreprises tajwa.
1.Ramani za nyumba ktk usanifu wowote
2.kusimamia ujenz wa nyumba na civil works
3.ukokotozi wa gharama za ujenz wa nyumba na civil works...
wakuu mi npo dar maeneo ya mbezi beach,nna hela ya ziada mil 10 nmeona niangalie fursa tofauti tofauti,nimeona biashara ya bajaji ndo rahisi kwani haitaharibu mda wa chuo masomoni.wakuu hi...
Habari zenu!!
Naomba kufahamishwa bei ya Cat 424 backhoe loader au similar to this na John deere 5500 (55hp) ikiwa used na pia mpya. Nazihitaji kwa ajili ya kilimo.
Asante
Wakuu badala ya kujadili nani kashinda na kushindwa kaytika chaguzi ndogo za UDIWANI na Nani karusha bomu uchumi wetu na shillingi yetu vinazidi kuporomoka.
Leo shilling ya Tanzania imedilishwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.