Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Finance Minister Dr William Mgimwa At last the government has succumbed to pressure from public and mobile phone service providers, resulting in the Ministry of Finance announcing yesterday that...
0 Reactions
0 Replies
674 Views
Nawasalimu wadau wote wajukwaa hili.. Ninaomba mnisaidie kiwango cha kodi kinachotakiwa kulipwa kwa kampuni yenye annual turn over ya tshs 800,000,000-1,600,000,000.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Heshima kwenu wakuu. Naomba kujua kama namba hiyo inatumiwa na crdb kitengo cha huduma kwa wateja. Mimi ni mteja wao. Saa kumi na moja na dakika ishirini leo nimehamisha hela kwa simbanking lakini...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Nina wazo la kuwekeza katika cho kimoja hapa tanzania ambapo katika chuo hicho watu wengi hufuliwa nguo zao na wadada waliopo hapo chuoni sasa mimi nataka niwaajiri wafuaji hao ambapo nitaka...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamani CRDB mlikuwa mnasikiliza wateja zamani na si siku hizi. Nasema hivyo kwa sababu ya huduma yenu ya kuhamisha pesa kutoka kwenye account kwenda kwenye mtandao wa simu, huduma hii inachelewa...
0 Reactions
0 Replies
692 Views
Saturday, July 20, 2013 IMEELEZWA kuwa kuna uwezekano mkubwa wa kuwepo kwa madini ya uraniamu katika ziwa Jipe lililopo wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro. Kutokana na kuwepo kwa dalili za...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Wadau naomba anaefahamu juu ya importer yeyote wa karatasi Rim Papers ikiwezekana na Karamu anisaidie kunijulisha.
0 Reactions
0 Replies
723 Views
Naomba msaada tafadhali, nimeagiza gari na limefika bandarini jana, kodi imekua kubwa, ni Toyota Premio ya mwaka 2003, cc 1500, kodi ni mil 8, Je, utaratibu wa msamaha wa kodi kwa mfanyakazi wa...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
SERIKALI YALEGEZA MSIMAMO KUHUSU KODI YA LINE....WAZIRI WA FEDHA AKUBALI KUWAPELEKEA WABUNGE WAJADILI UPYA Wakati Serikali imeeleza nia yake ya kuangalia upya utozaji wa kodi ya kila mwezi...
0 Reactions
0 Replies
854 Views
PRIVATE sector in Tanzania has explained its resolve to work with the government to attain sustainable agriculture development in the country. The Executive Director of Tanzania Private Sector...
0 Reactions
0 Replies
851 Views
Ni ipi taarifa rasmi wana JF? Wakati wa bunge la bajeti mfuko wa kuwawezesha vijana ulitengewa pesa na kuahidiwa kusambazwa kwa makundi ya vijana wasiopungua 10 kupitia halmashauri. Majuzi...
0 Reactions
0 Replies
795 Views
Mimi ni mteja wa tigo tangu inaitwa buzz mpaka ikaja mobitel na sasa ni tigo sijui itafuata nini,waliposema tusajili nilikua mtu wa mwanzo na tukaambiwa hatutasumbuliwa tena. Tumevumiliana kwenye...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ndugu wanajamvi kuna malipo nje ya nchi nataka kufanya kupitia njia YA POSTAL ORDER. Nimejaribu benki za NBC,CRDB,KCB,TWIGA,EXIM Zote hawana huduma hii.Je ni benki gani naweza pata hii huduma...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana JF salamu. Nimepata taarifa hizi za Rais Kikwete kusaidia maskini wa Tanzania kwa kuwapatia mikopo rahisi isiyo na riba tena akishirikiana na Rais Obama.Lakini cha ajabu ni kuwa familia ya...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Je, ungependa kupata ELIMU Kuhusu kutimiza NDOTO Zako katika Maisha!? Ni bure tu wala hujachelewa!! Tembelea Ukurasa wangu na Furahia uwepo wako. Bofya LINK Hii na LIKE Page...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Baada ya kutoweka kwa zaidi ya miaka 30, Datsun imerudi tena sokoni. Gari hiyo ambayo iliwafanya carmakers wa Kjapani kuheshimika Marekani na Ulaya miaka 1970 ilikuwa inasifika sana kwa kubana...
4 Reactions
17 Replies
4K Views
Kamati ya bunge la uingereza imebainisha kua kati ya mwaka 2006 hadi 2011 kampuni ya google ilitengeneza faida ya $18 billion kwenye biashara zake ndani ya uingereza lakini ndani ya kipindi hicho...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
naomba msaada wa kujua import duties zinakuaje kutoka china to tanzania.
0 Reactions
1 Replies
913 Views
serikari ya muh kikwete mwatupeleka wapi?wkwanini mnatutesa sisi wananchi? kwafaida yenu ninyi na familia zenu? kwanini tunaleta shughuri ambazo hakika athari zake nikubwa kuliko faida? ninani...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Wakuu habari za majukumu, naomba kufahamisha juu ya kilimo cha choya ama rozella, kinahitaji mahitaji gani muhimu lengo langu kuu ni kuanzisha kikundi mimi na vijana wenzangu, kulima zao hili pia...
0 Reactions
2 Replies
8K Views
Back
Top Bottom