Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habari wa ndugu. Naomba mnisaidie kuhusu hizi Kampuni kama zipo na msaada wake kwa jamii/ wanaotafuta Ajira au waajiri. Je zinaendeshwaje na kuhakikisha watu hawatapeliwi? Mwenye ushuhuda wa...
0 Reactions
0 Replies
752 Views
habari ya asubuhi wadau, naomba msaada wakufahamishwa ofisi zao zipo wapi au contacts za MONEYGRAM na SIDA, naona shughuli zao nchini. Asante
0 Reactions
0 Replies
777 Views
jaman wadau nahitaj kusoma english course iliyo so advanced chuo gn kinatoa hiz course kwa hapa dar?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
salam jf Wakuu ebu tusaidiane katika hili, network marketing inafanyaje kazi kwa tanzania, tofauti na bidhaa za alovera, kuna bidhaa za ndani ambazo zinatumia mfumo huu wa biashara na kama hazipo...
0 Reactions
13 Replies
7K Views
Mimi ninaishi jijini Mwanza na nina pesa yangu binafsi cash Mil 5....., Nafikiria kuanzisha biashara na najua humu kuna wazoefu wakutosha wa biashara....,Naombeni mawazo yenu wana JF.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ili kusajili kampuni yako kwa muda mfupi bila usumbufu wasiliana na RMJ & CO.LTD kupitia 0714 784154/0753 784154 au fika ofisini kwetu: Mandela Road - Opposite na Mabibo Hostel.
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Hakika inaelekea watanzani kama si wajinga basi tumekuwa wapole kupita kiasi!! Hivi kweli kwa hali iliyopo katika Kituo cha Mabasi Ubungo kuna sababu gani ya kuendelea kulipia kiingilio wakati...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wapendwa taifa liko kwenye janga kubwa la ukosefu wa ajira, lakin wengi wetu tunapenda kumaliza chuo na kuanza kuangaika kwa ajili ya kutafta kazi, mimi nna ndugu zangu na marafiki wengi...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Nimekuwa najihusisha na ununuzi na uuzaji wa mazao hapa nchini tanzania, sasa nafikiria sana kwenda afrika kusini na south sudan.Ninaomba mwenye uzoefu au fursa kwamba naweza KUUZA NINI katika...
0 Reactions
25 Replies
10K Views
Natafuta Suzuki swift four wheel drive, nyekundu au nyeusi, naombeni msaada pia wa kiufundi ya upatikanaji wa spea zake na fuel consumption ,natanguliza shukrani
0 Reactions
0 Replies
967 Views
Kuna trip ya kwenda kigali mwezi wa nane kwa ajili ya mkutano wa kidini. tumeambiwa tubebe bidhaa za kitanzania ambazo tunaweza kwenda uza huko. naomba ushauri wenu nipeleke nini?
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Guys nilikuwa na swali dogo kuhusu bei ya simu niliyoandika hapo juu. Nipo na pieces 1000 hivi Nataka kuziuza hapo Tanzania. Je bei ya whole sale ni kiasi gani?. Natafuta wateja wakununua nyingi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
An entrepreneur is born or made? Naomba mnisaidie ndugu zangu kwani maisha ya kusubiri ajira yamenishinda sasa. Nafikiria kuwa mfanyabiashara au mkulima lakini sina hata moja ninalolijua juu ya...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Salam wadau. Wapi naweza pata radio call yenye uwezo wa kwenda masafa marefu? Au mwenye kujua gharama zake pia nitashukuru. Mimi nipo dsm
0 Reactions
3 Replies
1K Views
By DORITHY NDEKETELA Special Correspondent Posted Saturday, December 22 2012 at 14:25 IN SUMMARY Tanzania Tourist Board (TTB) has signed a memorandum of understanding with the airline to...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Do u need a mobile application for your bussiness?? Welcome at CREATIVE LAB (T) LTD
0 Reactions
0 Replies
737 Views
Naomba kupewa msaada wa stika zipi zinatakiwa (lazima) kuwa nazo ukiwa na gari ambalo linatembea..najua kuna motor vehicle license,fire na insurance..naomba mnijuze nyingine ambazo lazima zilipiwe...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Je unahitaji Software ya kuendeshea biashara yako?? Karibu CREATIVE LAB(T) LTD. Tunayo software maridadi ya kufanya hizi kazi Bei yake ni nafuu na inaweza kutumiwa na mtu yeyote sio lazima awe na...
0 Reactions
0 Replies
696 Views
Ni kweli ongezeko la watu wanaohitaji majembe ,ni ishara ya mafanikio ya kilimo kwanza?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Asilimia 95 ya watu wanasema kuanza biashara lazima uwe na mtaji, labda asilimia 5 zilizobaki wataleta hoja tofauti na hiyo ambayo wataweza kuunga mkono hoja yangu. Kwa ufahamu wangu kuanza...
5 Reactions
26 Replies
6K Views
Back
Top Bottom