Waziri Mkuu,Mizengo Pinda
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, amesema mojawapo ya changamoto inayoikabili biashara ya asali nchini ni uchakachuaji wa asali hiyo kwa kuchanganywa na vitu vinginevyo...
Manuela Tortora, UNCTAD's Chief of Technical Cooperation
United Nations Conference on Trade Development (UNCTAD) has advised the government to undertake major initiatives aimed at mitigating...
Hali ya shirika la ndege la Precission la Tanzania inaelezwa kuwa 'mbaya' huku shirika la ndege la Kenya(KQ) likihusishwa na matatizo ya sasa ya shirika hilo.
Tayari Precission imeanza kufunga...
Eti wanajamvi, hivi hapa Tz kuna kiwanda kinachozalisha tshirts-kuzalisha/manufacture sio kuprint,
am not sure sunflag (arusha) kama wanazalisha na suala la ubora pia, yaani ni kama una sample...
habari wakuu,kuna hii biashara ya
kuuza crips za viazi,ndizi au mihogo
na tambi za dengu,naomba
kufahamu juu ya faida na soko lake
kwa ujumla kwa dsm.mashne za
kutengenezea znapopatkana na...
WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli ameapa kupambana kwa kuwabomolea au kuwakomesha kwa njia nyingine, watu waliogoma kuhama kwa ajili ya kupisha miradi mbalimbali ya ujenzi inayotekelezwa na...
ni ya mwaka 2002
ni kama ile iliyokuwa inatumiwa na balozi wa japan
mwenyewe amepata matatzo na anatakiwa kwenda nje kwa matibabu
inatumia mafuta lita moja kwa km 15
imetembea kilometa elfu 51...
Leo rafiki yangu amenitumia hii link
VisitProfit.com - Earning website for Students and House wife
Just click the link please.
kwenye whattsap. Naombeni kama mtu anisaidie anieleze jinsi hawa...
Mimi ni mbeba box wa kawaida ambaye kipato changu ni chakawaida, ninahitaji mkopo wa milion 35 halafu hizo milion 5 nampa aliyenifanikisha kupata hiyo loan. Kwa kazi yangu ya box naweza kuulipa...
Mimi ni mtanzania nipo maeneo ya wilaya ya Mkuranga Pwani. Nimefanikiwa kumiliki shamba/jangwa la kuzalisha chumvi kwa njia ya jua katika maeneo ya pwani ya bahari ya hindi. Tayari nimesha kata...
Habari wana JF wenzangu,
MIMI nimemaliza kidato cha sita (mchepuo wa PGM) mwaka huu na kufaulu vizuri. ninaomba kwa yeyote aliye na kazi kama kufundisha, au kazi za kutumia nguvu...
Hivi huo mkongo wa taifa unatupeleka wapi.mitandao ya simu hasa tigo,ukituma meseji sasa inaachiliwa baadaye!mfano nimepata tatizo njiani au popote si nitakufa na simu ninayo?ama kweli nchi...
Nia yangu ni kununua kiwanja nje kidogo ya mji huu wa Arusha.. Sina mpango wa kukiendeleza hivi karibuni ila ninafikiria kukizungushia uzio wa senyenge halafu nijenge mabanda ili nifuge kuku wa...
Biashara ya mtando ilianzishwamiaka ya 1960s huko Marekani na milionea wengi wa marekani walianza kushika milioni yao ya kwanza kwa kupitia Biashara hii ya MLM.
Kwa hapa kwetu Tanzania makampuni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.