Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Hizi ni miongoni mwa kero za TRA iringa. unakwenda katika ofisi husika kwaajili ya huduma fulani. unapewa account ukalipie bank, unarudi na risiti ya bank kuonyesha umeshalipia, lakini chaajabu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hellow wanajf heshima kwenu Sisi ni vijana wajasiriamali, tumebuni kipindi kizuri cha kuburudisha na kuelimisha jamii
1 Reactions
2 Replies
1K Views
FURSA KWA MTANZANIA TO MAKE EXTRA MONEY I introduce to you “XFT”Xtreme fuel treatment:This is a Revolutionary Comprehensive fuel treatment which has been successfully used for over 20years in...
0 Reactions
0 Replies
805 Views
habari wakuu,naomba msaada wa kupata mtu raia wa UK anayeishi au kufanya kazi hapa dar,Tz..au mtu yeyote anayemjua raia wa UK aniunganishie.kwa yeyote atayenipa msaada naomba anipm tuwasiliane...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana JF mimi ni mwanafunzi natarajia kuhitimu elimu yangu ya sekondari mwaka huu.Ninaomba ushauri wenu wa kufanya biashara gani kipindi nikiwa nyumbani kuliko kukaa tu bila lolote....ninakamtaji...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Tunahitaji serious business partners kwa mkoa wa mwanza ambao tutafanya nao biashara (intellectual distridution). Kwa yule anayetaka anaweza kuwasiliana nasi na tukakutana kumuonesha marketing...
0 Reactions
1 Replies
814 Views
Umofia kwenu wana JF, Leo ndio kilele cha siku ya maonyesho ya saba katika uwanja wa Mwalimu Nyerere Trade Fair bara bara ya kilwa Tujumuikeni wote kwenda kusupport wafanyabiashara...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Nipo eneo la tukio hali ni mbaya sanaaa.... ~Kuna msongamano mkubwa sanaa barabara ya tandale magari yote yanakimbilia huko na kigogo... ~barabara imefungwa kabisa ya manzese (morogoro road)...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hi all, Nataka kuanza kusindika nafaka, hasa Mahindi, pia ninunue na kuhifadhi nafaka mbali mbali.Mpunga sitashughulika nao. Nimetafiti na kupeleleza nikaambiwa hata ghara la kuhifadhia lazima...
3 Reactions
18 Replies
6K Views
Mfumo wa Riba umekuwepo kwa miongo kadhaa sasa, mfumo huu ukiashiria kukamilisha kile kisemwacho kua mwenye nacho ataongezewa na asiye nacho, hata kile kidogo alicho nacho kitakwapuliwa. Riba...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Nilihitaji kuingia ktk website ya CRDB internet banking, cha kushangaza vinafunguka vitu vingine kabisa na wala huduma za kibenki sikuweza kuzipata. Kuna usalama kweli, au wataalamu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Tarehe 1 July 2011 TRA wanaplan kuintroduce system yao mpya kwa ajili ya valuation ya used motorvehicles... Mfumo mpya utakuwa kama ifuatavyo...Used vehicles zitakuwa valued on either ex-factory...
6 Reactions
184 Replies
33K Views
Kwa voda na airtel,bei ya vifurush juu kwa sh100.Daa,ma2mbo ya watu wa lumumba yanazd kutanuka2!.Tanzaniaa eee,nchi yangu eee!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika ziara ya Rais wa Marekani , Mh. OBAMA miongoni mwa ratiba zake ilikuwa ni kuonana na wafanyabiashara mbali mbali wa kiafrika. Na hakika alifanikiwa kuonana nao wakiwemo baadhi ya wafanya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
SERIKALI imeweka wazi miradi ya umeme ya kipaumbele, itakayotoa matokeo ya haraka ifikapo 2015/2016, na kunufaisha wananchi katika mikoa 13 nchini. Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari zenu wanajmiiforum pole na pilika za maisha mimi niko Dar nina shamba la heka mbili chanika ninaomba mnishauri ni wapi naweza kupata mkopo wa sh 6m kwa ajili ya kufuga kuku wa kienyeji kwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau napenda kujua NSSF wanatoa mikopo kwa wanachama wake kupitia SACCOS zipi maana nimeulizia nyingi wanasema hawajaunga na nao. Asanteni.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Check na hii link http://StartReferralJob.com/index.php?refcode=128916
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Katika pitapita zangu nimekutana na mchezo mmoja wa kamari ya karata ambao huchezwa mtaani....lakini cha kushangaza ni kuwa pamoja na kupigwa marufuku mchezo huu unaendelea. Kitu kingine...
0 Reactions
0 Replies
821 Views
Wandugu narudi Tz, nije na Biashara ya bidhaa zipi zenye Soko la Uhakika Dar au Zanzibar nina mtaji usiozidi Euro 100,000 (Tzs 200,000,000) Je ni badhaa gani nitauza au zinahitajika toka nchi Hii...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom