Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habari wana JF, Tuna program tunayoifanya ambayo tungependa kutembelea na kuzungumza na SACCOS juu ya changamoto wanazopambana nazo kiteknolojia. Naomba wadau mnisaidie list ya SACCOS ambazo...
0 Reactions
16 Replies
19K Views
Habari Wakuu, Naomba msaada kwa mtu yoyote mwenye information za wapi naweza kupata mashine za kutengeneza toothpics, nahitaji kujua pia zipo za aina gani, ubora na bei pia. Nafikiria kufanya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu. nimejitokeza kwenu kwa nia ya kutaka kujua jinsi gan ya kutambua aina ya biashara ya kuifanya ambayo itatoka kulingana na eneo, yan utajuaje kwamba biashara mfano ya vipodoz...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Symbion Power Agrees to Build 400MW Power Plant in Tanzania 2013-02-13 | By David Malingha Doy Feb. 13 (Bloomberg) -- U.S.-based co. reached agreement with Tanzania Electric Supply Co. to...
2 Reactions
45 Replies
6K Views
Yeyote mwenye hitaji ya kuanzisha biashara ya saloon ya kike anitafute kwa # 0655042717 ama #0756597108 nimuuzie vifaa hivi,draya si za mchina,zimetumika lakin on good condition,bei nzuri kwa...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Naomba anayejua kampuni aminifu ya ujezi wa nyumba anijulishe . Asanteni
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Remarks by President Obama at Business Leaders Forum Venue: Hyatt Kilimanjaro, Dar es Salaam, Tanzania | July 1, 2013...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu heshima kwenu Natumaini hamjambo. Wakuu mimi ninauelewa na masuala ya kilimo, na mazingira, na pia kwenye kampuni ninayofanya kazi nimeweza kujijengea uwezo mkubwa wa kundika proposal za...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Some Dar es Salaam city house owners have expressed disappointment over the newly introduced property tax rates which have gone by over 100 per cent effective 2013/14 financial year, The Guardian...
0 Reactions
3 Replies
982 Views
​Nimeagiza gari aina ya PASSO ya mwaka 2004 kwa gharama ya $2170. Je, nitalipa shipping line na port charges kiasi gani? C&F agent anataka tsh 200000/= kulitoa Naomba wazoefu mnijibu.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Kichwa kimeanza kuchoka, ebu niwaze Taifa... 1. Taifa ambalo binti zake wakimwona Mzungu wanadhani ana ela. 2. Taifa ambalo ukiongea kiingereza unaonekana umesoma. 3. Taifa ambalo bank...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Mambo zenu wadau? Naombeni kufahamu kiundani jinsimradi wa zinduka malaria ulivyokuwa kwa upande wa Clouds. Ni kampeni endelevu au iliisha ndani ya muda mfupi? Kuna NGO au taasisi yoyote kubwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Napenda kutoa taarifa kwamba kama mtu unataka kusafiri sasaivi usitumie huu usafiri wa precicion maana toka saa tano asubui paka sasaivi saa 10 jioni wanatutangazia kuchelewa na hawatoi huduma...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu wana JF, Nasikitika kuwataarifu kuwa TBL wamepandisha bei ya bia kwenye maeneo yetu kabla hata ya siku iliyopangwa kwa madai kuwa serikali imepandisha kodi. Hivi sasa bei ya kreti ya bia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Heshima kwenu GTs, nahitaji mchango wa mawazo yenu hasa kwa wazoefu wa biashara na ujasiliamali. ninayo tsh 20,000,000. sitaki kuajiliwa kwa sababu nimeshaajiliwa for 5 years toka nlipomaliza...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari za kazi ndugu wana JF. Nimejaribu kufuga kuku wa kienyeji na machotara huko vijijini sehemu za tanga, kwa majaribio hayo nime anza na wachache sana kama 250 wa umri tofauti, sasa wamesha...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Hivi waungwana mnahisi kiasi gani kinaweza kutoingia kwa mzunguko dar ikisimamisha shuguli kwasiku 4!!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu. Ningependa kuuliza kwa anayejua, hivi wasanii wetu wakubwa kwa underground wanauzaga filamu zao kwa wadosi kwa shilingi ngapi?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Tangu Juni 13, mwaka huu, Waziri wa Fedha, Dk. Willim Mgimwa, alipowasilisha bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha wa 2013/14 ambayo aliomba bunge kupitisha Sh. trilioni 18.249 kutoka kwenye...
0 Reactions
1 Replies
840 Views
Naomba anayejua benki nzuri kwa kufungua fixed account, na utaratibu wa kiasi cha kuweka na mara ngapi unatoa per year
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Back
Top Bottom