Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Mwezi wa 9 napata kiasi cha mil 8 sasa nataka nijaribu biashara ambayo itayofanya nisijutie kuiterekeza hela yangu hiyo.NAOMBENI MSAADA WA MAWAZO WAPENDWA,NDUGU WANA JF.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WAKUU TAYARI NIMEFANIKIWA -ASANTENI! Salaama wakuu, nahitaji mkopo wa TZS 3.5M naweka gari ya 7M,kwa 10% kwa mwezi. Nazihitaji kwa miezi 2 tu. Naomba mnishauri wapi naweza kuzipata. Rakey
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Naulizia saccos morogoro ambayo naweza kujiunga nikapata mkopo kupitia nssf
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani wana JF kama kuna Mkaazi wa Zanzibar anaejishughulisha na zao la Mwani naomba ani PM Tuzungumze.
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Je wewe ni mpenzi wa kupata maarifa kila siku kupitia vitabu?? usipate tabu kutafuta audiobooks( vitabu vya kusikiliza) vipo vitabu vya aina zote na za waandishi maarufu duniani kwa ajiri ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Je wewe ni mpenzi wa kupata maarifa kila siku kupitia vitabu?? usipate tabu kutafuta audiobooks( vitabu vya kusikiliza) vipo vitabu vya aina zote na za waandishi maarufu duniani kwa ajiri ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kweli Mtwara tumeondokana na zama zile za kusafiri siku mbili hadi tatu, siku hizi Masasi unafika saa 9 au 8.45 mchana. Tunashukuru sana kwa hilo. Ila kuna kero kubwa sana inatusumbua abiria...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
PLUSBUSINESS & RESEARCH CONSULTPlus Business &Research Consult is a subsidiary of Plus Finance Company Limited dealing withconsultancy on Business and Research related issues. Our mission is to...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sisi ni wauzaji wa seat cover gari aina zote,vile vile tunauza alarm za kuzuia wezi za gari,stika mbali mbali,cushion,parking sensor,shedi za gari zote,mud flap.nk vile vile wa dar...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni architect professionaly kama unataka design nzuri za nyumba basi kutana nami utafurahia maisha yako yote. Ushauri natoa bure....kwa dar nimejenga nyumba nyingi sana kigamboni...namaanisha...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Hbr za jion wakuu,Nimesikia tetesi ya kwamba tigo wamesitisha kutoa line za tigo pesa, hivi ni kweli au ni maneno tu ya mtaani.Je Mpesa na airtel money nao vp?Line zapatikana?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Haya wadau wa ujasiriamali na biashara, Kuna hii biashara ya dagaa Kivinje, imepamba moto sana sasa hivi. Kinachoshangaza ni kwamba wanaopiga hela kubwa ktk biashara hiyo pale kivinje ni Wakongo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natural gas in Tanzania Tanzania's commercial capital looks like a boom town even before cash rolls in from gas discoveries that in the next few years could make the east African nation a major...
0 Reactions
0 Replies
828 Views
Wana jf, kuna simu feki mitaani zinauzwa zikionesha nje zina 64gb, lakini ndani wameka memory card ya 128mb. ndani kuna system ya kuchaji tu na hakuna betri ya kutoa kama tulivyozoea kwenye simu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana jf, kuna simu feki mitaani zinauzwa zikionesha nje zina 64gb, lakini ndani wameka memory card ya 128mb. ndani kuna system ya kuchaji tu na hakuna betri ya kutoa kama tulivyozoea kwenye simu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
nimesikia hawa jamaa watatoa hii huduma kwa wateja wao, mwenye experience na hii huduma hebu afunguke kidogo jinsi itakavo operate hapa nchini maana wateja wabongo uaminifu ni F, supplier wenyewe...
0 Reactions
0 Replies
968 Views
nyumba zipo kibamba kwa mangi ni dakika kumi kutoka kituo cha daladala. nyumba ya kwanza ina vyumba vitatu kimoja ni selfu,kuna public toilet na bath room,kitchen,store,sitting room na dining...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ni mtanzania aliyegundua konyagi? wana jf nimesikia kuwa ile pombe maarufu afrika yaani konyagi kuwa aliyeigundua yaani aliyeitengeneza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Selikali iingilie kati itusaidie vinginevyo DSE itakufa wakidhani wana ikinga matokeo yake ni kufa kabisa, nadhani karibia miaka 3 sasa, tulinunua kwa shs 150 @ mbali na mfumuko wa bei wa...
0 Reactions
52 Replies
9K Views
Guarana za kutumia huduma za NBC Wamerekebisha! Je, kulingana na hili tangazo Lao wameshusha?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom