Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Leo nimepita karatu mjini na kuona mashine ya ATM pale kwenye ofisi ya posta,nikauliza madereva bodaboda wakaniambia eti wanaskia ni ya crdb,wadau kama kuna mtu mwenye info anijuze maana card...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana jf kuanzishwa kwa kodi kwenye utumaji wa pesa kupitia simu ni kama vile serikali imeona mabenki mengi yamekosa wateja na hatimaye kuanzisha huu mfumo utakaonza july 2013 baada ya bajeti ya...
0 Reactions
17 Replies
10K Views
Wandugu hamjambo lakini? naomba kuuliza hivi makaa ya mawe unaweza kuyauza kama madini mengine kwa kilo na yana soko?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Yanaanza na kumalizika lini nipo mkoa nataka kujipanga,Huwa napenda sana!!!!
0 Reactions
0 Replies
928 Views
wapendwa nataka kununua cm ya mkononi ila sio mjuzi sana wa cm za ghal coz nilizoea cm za tochi naombeni mnisaidie eti kati ya nokia 200, na nokia lumia 206 ni ipi nzuri nataka kununua ila sijajua...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Fri Jun 14, 2013 3:11am EDT (Reuters) - Fastjet, the African budget airline backed by easyJet founder Stelios Haji-Ioannou, said it would temporarily shelve plans to launch domestic routes in...
0 Reactions
4 Replies
833 Views
Biashara ya Mtandao ni njia ya kisasa ya usambazaji wa bidhaa kutoka kiwandani hadi kumfikia mteja au mtumiaji moja kwa moja. Hivyo, kiwanda kinazalisha bidhaa tu. Halafu kuna mtu mmoja tu ambaye...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
As we are entering the second half of this year, it is high time to reflect and tap into yourself and the goals you have set in the beginning of the year. Ask yourself, have you accomplished most...
0 Reactions
0 Replies
682 Views
Nafikiria kufungua kampuni ila sijui taratibu za kufanya, naamini JamiiForums kuna kila aina ya watu naomba kama yupo anaewajua wale wanaosaidia kufungua makampuni anipe mawasiliano yao tafadhali...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Hi Wanajamvi, mie nimekuwa nikishangaa kila siku majengo mengiii tena mazuri na yakuvutia yamekuwa yakiongezeka kila kukicha lakini ze kodi kubwa balaa, kwanini? yaani utakuta wanapangisha sq moja...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
10). Ferrari Enzo ( Price $644,000.00 ) Ferrari Enzo is a car named after the Italian sports car company founder Enzo Ferrari. It has a 2-seat Berlinetta body type and a 6.0 L V12 engine capable...
0 Reactions
12 Replies
11K Views
Soure bbc news,kuna mjadala sasa unaendelea kuhusu kampuni za kigeni kukwepa ulipaji kodi kwa nchi za Afrika,wasemaji ni Mh Zitto,Lipumba,na kwa mujibu wa Mh Kabwe anasema tatizo ni kuwa kampuni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Introducing #1 Moneymaking Opportunity Recommended by Both Robert Kiyosaki of “Rich Dad, Poor Dad” Fame and Businessforhome.org!” The experts have spoken, but will you be smart enough to take...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tanzania is one of 15 developing countries that will benefit from the G8 member countries’ initiative to make sure that the poorest people benefit from their country’s natural resources, by...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndugu wanajamvi, Kwa wale wanaopenda kufuatilia shughuli za Bungeni watakuwa wameshamsikia Mh. Waziri Gaudensia Kabaka akitangaza juu ya jitihada za Serikali kuzalisha ajira laki sita, hususani...
2 Reactions
6 Replies
12K Views
Wakuu Habari zenu, Kuna ndugu yangu anataka kufanya biashara ya mabati na saruji, anataka kuwa agent kwa kuingia mikataba na viwanda husika hasa ALAF cha mabati na kiwanda cha saruji kilichopo...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Wana JF, Poleni na kazi ya kuelimisha wajasiliamali. Mimi nina kuku takribani 300, ni wale wekundu wa kisasa wa MAYAI. Tangu mwezi huu wa sita uanze, kuku hao wameacha kabisa kutaga. Leo ndo...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu, Naomba kuuliza kwa mtu anayejua bei ya samaki kwa kilo Viwandani Mwanza na je! Kwa wastani huwa bei ikoje?
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Mm ni mjasiriamali kijana natengeneza batiki za vikoi zenye maua mazuri sana,tie&die pamoja na batiki print tafadhali naomba wanunuz au mnaojua wanunuz mnicheki 0717539573 email...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Unga bora wa ngano ya kahawia unapatikana ni mzuri kutengenezea uji wa watoto, kusonga ugali, kupikia maandazi, chapati nk, rangi ya kahawia inayopatikana katika vyakula husaidia katika ukuaji wa...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…