Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Hivi ni vitu gani The Memorandum of the Company na Articles of Association? hasa hii article of assciation inahusika na nini? na je ni lazima hata kama sijaanza biashara nisajili au nianze...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
anaejua kampuni ya usafirishaji mizigo kutoka zanzibar kwenda dsm kampuni hiyo wawe waaminifu hraka tafadhari asante
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Hakikisha kama unakosa unasababu maalumu
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wadau! Nahitaji mtu mwenye registered company, location ya biashara na contacts za wateja wa bidhaa hizi ani pm Construction / Building Materials Aluminum Composite Panels Aluminum...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Dungu zangu wa jamii forums, ninakodisha mitambo ifwatayo 1.wheel loader cat 930 tsh 500,000 2.wheel loader cat 938g tsh 600,000 3.motor grader 140g na 140h...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
wadau naomba msaada wenu kuna hawa jamaa wa button pay wanatoa huduma za uwakala wa luku star times na vocha za kurusha na modem topup mitandao yote je kamishen zao zimekaaje na vp uhakika wao...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
I’m looking forward to sharing posts from time to time about things I’ve learned in my career at Microsoft and the Gates Foundation. (I also post frequently on my blog.) Last month, I went to...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Hi, JF, Ninaamini JF ni jukwaa lenye watu wengi wanaoishi sehemu tofauti tofauti ndani na nje ya Tanzania. Naombeni msaada kwa anayefahamu sehemu ambayo naweza kupata sustainable supply ya Ngano...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kutumia ATM za CRDB zilizopo kwenye supermarket ,petrol station au zilizojengwa eneo mbali na branch ni hatari ,kadi ikizama unahipata after one week kama uko safarini ni hatari sana kuzitumia...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu, naomba mwenye kujua biashara ya kuuza na kusupply vitabu na vifaa vya maabara katika mashule mbalimbali anisaidie mwongozo kuhusuiana na biashara hii kwa yale anayoyajua...
0 Reactions
0 Replies
769 Views
131.Mheshimiwa Spika, kwa mwaka 2013/14 jumla ya shilingi bilioni 5,674 zimetengwa kwa ajili ya matumizi ya maendeleo, ambapo kiasi cha shilingi bilioni 2,982 kitagharamiwa kwa fedha za...
0 Reactions
0 Replies
855 Views
120.Mheshimiwa Spika, napendekeza kufanya marekebisho katika Sheria ya Usalama Barabarani, SURA, 168 ili kuongeza viwango vya Ada ya mwaka ya leseni za Magari (Annual Motor vehicle Licence...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Hivi benki za hapa nchi kwetu zinanunua ATM mtumba au vipi? kwa sababu wanatuibia sisi wananchi kwa kutoweka pesa kwenye mashine husika ndani ya muda mwafaka pindi zinapoisha au kupungua kana...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
1. Business name to be registered. Where a business name is carried on under two or more business names, each of these names must be stated. Postal address...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna mdau alipost kuhusu milango ya chuma, gharama na utengenezaji wake. naitafuta siioni na hata nkisearch hola. niwekeeni link plz
0 Reactions
0 Replies
4K Views
How can SME's increase employee Engagements under Economic/Resource constraints Changamoto ya kufikia Uwajibikaji, Utendaji bora, Uadilifu, Umahili na Ubunifu(Effective and Efficient...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mbona serikali inatangaza kila mwaka kupanda kwa uchumi wa tz wakati ndo maisha ya wananchi yanavyozidi kuzorota....
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nilifungua account benki ya CRDB mwezi wa March 2013. Waliniahidi kunipatia kitabu cha hundi baada ya wiki mbili. Imebakia saa moja kuingia mwezi wa june 2013 wameshindwa kabisa kunipatia kitabu...
1 Reactions
48 Replies
6K Views
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti na Mbunge wa Bariadi Magharibi (CCM), Andrew Chenge KWA UFUPI Hata hivyo, katika majibu ya Serikali, Waziri Mgimwa alisema Serikali imeanza kulipa na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu wanajamvi naombwa kujuzwa taratibu za kukopa Katika taasisi zetu za kifedha upoje kwa dhamana ya title deed/hati ya Kiwanja.. 1: Je nahitaji kuwa na business plan ili nikopesheke? 2; Je...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…