Huu ni wizi mtupu!
Ninajua watu wa Kagasheki wanapita humu. Naomba mkamwambie.
Kila mahali sasa mnangáta bila kuangalia.
Miezi michache iliyopita Wizara ya maliasili na utalii ilituma pendekezo...
Jamani mtu mwenye utaalamu na IPAD au SAMSUNG PAD ambayo ndio nzuri na ya kisasa ziwe na nini na nini ili iwe latest? Na je zinafika bei gani kwa hapa tz??
Naomba mnisaidie wenzangu.
Wakuu! habari za jioni. Naomba kuuliza kama kuna yeyote amewahi kufanya transactions/kununua phones ONLINE kwa hii Company called TELECOM ARENA GENERAL TRADE "Omar bin Al Falah - Sales Manager"...
Naomba kuuliza kwa wale wataalamu na wanaoujua, kuwa je bei ya kiyoyozi 'wall split' ni kiasi gani ya vyumba vifuatavyo:
24 sq meters na 15 sq meters?
Natanguliza shukrani.
Habari zenu wanajf
Katika pitapita zangu mtaani kuna nyumba moja imenivutia sana kwa jinsi ilivyojengwa,ni nyumba ya gorofa moja, mchoro wake na design yake vimenivutia sana.
Tatizo ni kwamba...
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!
Episode 3.
Historia ya Burning the bridge concept!!!!!!!!!!!!!!
Wakati wa vita kuu vya pili vya dunia, katika moja ya uwanja wa vita, jeshi la Manazi wa...
Mitandao mikubwa kama Facebook na Google hupata revenue zake kupitia matangazo yanayokuwa displayed. The more visitors you have the more revenue kama unatumia pay per impression au hata kama...
Dear JF Community members especially those Milling Technologist and other members, I am looking to start a large scale rice milling plant in Bunda district here in Mara - Tanzania. I want to set...
hivi wale jamaa wauzaji wa karanga mitaani au say wale wa samaki, wanapokuwa kazini na inatokea wakabanwa na haja ndogo au kubwa yale makapu yao huwa wanayaweka wapi wanapoenda...
Jamani kwa muda sasa nimekuwa nikishangaa kwa nini Bhakresa kaamua kuweka nembo zenye picha za msikiti na maneno ya sara za kiarabu kwenye label za vinywaji vyake? Nilikuwa naona zile Azam Malt...
DAR ES SALAAM, May 21, 2013 Tanzania and its East African neighbors could boost their annual Gross Domestic Product (GDP) by up to US$1.8 billion and US$ 830 million respectively by taking...
A LEADING cellular phone firm Vodacom Tanzania paid a total of 36.5bn/- in corporate tax in the 2012/2013 financial year.
The Managing Director of Vodacom Tanzania, Rene Meza said in a...
Wakuu nataka kuagiza gari toka Japan, gari yenyewe ni SUZUKI SWIFT ya mwaka 2004, nimeona kwenye mtandao FOB ni $2035, naomba wenye uzoefu mnisaidie japo kwa makadirio itanigharimu kiasi gani...
Jana tarehe 2 kampuni ya African Barrick Gold mine ilifunga operation zake katika mgodi wa tulawaka kati ya migodi mitatu inayomiliki. Migodi iliyobaki ni Buzwagi, bulyakyulu na mgodi wa tarime...
Don't waste your time talking politics while others are enjoying their lives with money without politics. See how this Tanzanian poor woman who became a millionaire just by buying and selling...
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!
Episode 2!
Niliposema naanza vita vya kupambana na fikra za umasikini na mawazo mgando watu walijua labda nabeep! ama nimekurupuka, ama nitakata tamaaaa...
Habari zenu wadau? Natafuta mkopo wa 25,000,000 Tshs. Nina nyumba yangu iliyokwishanigharimu si chini ya 45,000,000 Tshs. Iko PUGU VIWEGE. Imo ndani ya kiwanja chenye ukubwa wa 30X30m. Ina vyumba...
Tanzania Revenue Authority commissioner general Harry Kitilya at midweek called a news conference in his office to explain why the tax collectors put levy a surcharge on goods originating from...
Makampuni ya kuuza gas yanazidi kuongezeka lakini baado bei iko juu kutokana na kipato cha mwananchi.
Ni kama vile makampuni ya mafuta yamechungulia issue kwenye biashara ya gasi ya kupikia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.