Nashindwa kuwaelewa ndugu zangu wa NMB, wakati huu wa kukua kwa teknolojia wao ndio wanarudi nyuma kwa kasi hususan kwa huduma zao za mobile, huwezi kuwa na hakika ukiaccess akaunti yako kwa simu...
Kuna rafiki yangu amenifata kuomba ushauri kwamba yeye ana gari aina ya toyota RAV4 ya milango 5 mwaka 1998,ambayo imeshatumika hapa tz.
kuna mtu kamfata kwamba wabadilishane na toyota IST ya...
This international convention center in Dar es Salaam, Tanzania, was built with Chinese aid. The photo was taken March 25. (Atsushi Okudera)
May 29, 2013
By ATSUSHI OKUDERA/ Correspondent
DAR...
Habari zenu wanajamvi.
Nilikuwa naperuzi mtandaoni nikaona kuwa kumbe kuna madiki ya kaolin yanachimbwa kule kisarawe. Sasa nikawa unterested na biashara hiyo ila sielewi inafanyikaje. Ningeomba...
KWA UFUPI
Yadaiwa kuingia kupitia Zanzibar hadi bara ambako inauzwa kwa bei ndogo kuliko inayotengenezwa nchini
Tanga. Serikali kila mwaka inapoteza Sh15 bilioni kutokana na kuingizwa nchini...
Posted Alhamisi,Mei30 2013 saa 21:7 PM
KWA UFUPI
Kufuatia utafiti uliofanywa , inadaiwa madini yaliyochimbwa hayafikia hata asilimia kumi.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini, George...
Habari wana jamvi
hii nimeipata Leo hi kwenye mkutano wa wadau,
mwasilishaji mmoja kawasilisha mafanikio ya maradi Fulani wa Kilimo, katika kuonyesha mafanikio kaambatanisha picha ya shamba la...
wadau nina kacorola kangu E100 kameisha hii kitu inaitwa Road licence tangu tar 24 May 2013 nataka kwenda kulipia upya je kwa uchelewaji huo mdogo nitapigwa penalty? au? na kwa sasa gharama kwa...
FINACIAL TIMES; May 29, 2013 7:58 pm
Switzerland outlines plan to relax bank secrecy laws
By James Shotter in Zürich
Switzerland has taken a decisive step to resolve its dispute with the US...
Jamani nataka kujenga kwa Mkopo toka Bank...hiii kujenga kwa pesa za kuunga unga naona sitaweza na mambo yanabadilika, naombeni ushauri wenu ni wapi naweza pata mkopo wa Nyumba kwa at least...
Nipo Arusha Naomba kujua ni wapi nawezapata DvD za kiswahili kwa ajili ya kuelimisha wananchi kuhusu umuhimu wa mazingira.zinazoelezea mambo ya defforestation,climate change,overstocking,illegal...
Wana JF,
Tanzania yetu hii jamani ina mambo, Tokea Majuzi kumekuwa na kasheshe la kufumuka kwa tozo la kodi hapo bandari dar-es-salaam, Kwa wafanya biashara wengi wamekuwa wakilia sana esp wale...
Heshma mbele essay.
nimenunua gari ZNZ nataka kulileta Dar. Je ni gharama zipi ikiwa ni pamoja na ushuru wa TRA nitalipia?. Mdau mwenye taarifa na hii kitu anisaidie.
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Watanzania wengi haswaaa vijana wa sasa na vijana wa zamani wengi watakufa maskini ama kuzeeka maskini kwa kuendekeza Ucommunist...
Habari zenu wana JF, nakuja leo tena naomba msaada nahitaji kufahamu taratibu na gharama za kusajili kampuni Brela.
Makao yangu ni Tanga mjini. Ninataka kuanzisha kampuni itakayo fanya shughuli za...
Ni wakati wa kujitegemea, kujiajiri na kupata kipato binafsi kwa kufanya ujasiriamali/biashara, sanaa, michezo au jambo lolote lile kwa lengo la kupata pesa. Siyo tena wakati wa kutegemea...
Mimi ni Mtanzania ninayeishi China. Mji wa Guangzhou,nimeishi hapa kwa muda wa miaka mitatu(3). Nina uwezo wa kuzungumza Kichina,Kiingereza na Kiswahili. Pia ninafahamu masoko mengi yenye bidhaa...
Tahadhari kwa mawakala wote wa Tigopesa
Wezi kwa kushirikiana na wafanyakazi wa tigopesa wamekuwa wakiwaibia mawakala wa tigopesa kila kukicha. Wiki iliyopita maeneo ya Kimara mtu mmoja kwa Jina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.