Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

A gas bonanza brings hopes of wealth THOUSANDS of tonnes of drill pipes are neatly stacked in a yard at Mtwara port in southern Tanzania, waiting to be loaded onto vessels supplying gas rigs...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Don't waste your time talking politics. See how a Tanzanian poor boy became a millionaire just by buying and selling accidented cars, Very interesting idea. Go to (ACCIDENTEDCARS.COM) to see...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Habari wakuu Nataka kuagiza roofing tiles china kwa ajili ya roofing nimepata supplier ila ameniambia nimpe specifications zote ili aweze kuniuzia roofing tiles kutokana na quality ninayotaka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau, naamini wote tunaelewa jinsi nchi yetu ilivyogeuka kuwa dampo la bidhaa feki...kuanzia dawa, vyakula, bidhaa za kilimo, elektroniki, umeme, ujenzi n.k n.k. Kila mara bidhaa feki...
0 Reactions
0 Replies
927 Views
Habari wanajamii. Naomba kujuzwa bei ya nondo hapa Dar ni shilingi ngapi? Ninataka kutengeneza fremu za madirisha nyumba iko Bunju. Je, ni nondo za saizi gani zitanifaa na bei yake? Wapi nitapata...
0 Reactions
1 Replies
7K Views
Nina uza mbao aina ya pine ambazo ni untreated aina nilizonazo ni,2x6x12ft@9000/=,2x4x12ft@7000/=,pamoja na 1x8x12ft@9000/=,napatikana ubungo riverside,pia vipimo vyote vinafanyika kiuhalali kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
ICT is rural area poverty eradication venue, says Gharib Bilal BY DAVID KISANGA 23rd May 2013 Vice President, Mohammed Gharib Bilal The government has reaffirmed its...
0 Reactions
0 Replies
672 Views
Don't waste your time talking politics. See how a Tanzanian poor woman who became a millionaire just by buying and selling accidented cars, Very interesting idea. Go to (ACCIDENTEDCARS.COM)...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
​serikali yetu inaruhusu kucha bandia, nywele bandia, tooth pick, midoli ya bunduki, magari kuukuu, kuingizwa nchini kwa kutumia pesa kidogo za kigeni zinazopatikana kwa kuuza pamba nje. Na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau naombeni msaada nafikiria kuanzisha agrovet amboni tanga kuna wakulima wa mboga na wafugaji wa ng'ombe naombeni mchanganuo wa mtaji na essential vibali ambavyo lazma niwe navyo mwenye idea...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Wanajamvi nategemea wazima! Nina mdogo wangu kapata mil.15, kwa vile ni msichana mdogo ameniomba ushauri wa biashara ya kufanya, kwa kweli nimemshauri afix pesa yake kwa muda wa miezi sita wakati...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Kama ilivyo kwenye kichwa cha habari hapo juu. Mimi niko tayari kununua biashara yako/ ya mtu yeyote. Iwe yenye vigezo vifuatavyo. 1. Iwe na uwezo wa kutengeneza a net profit...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
gari impya, imetoka japan imetoka bandarini 21/5/13 1200cc, imelipiwa kodi zote na usajili bei 7.6m inapatikana morogoro call 0655 752814 or 0755 752814
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kwamuda mrefu saana, kuna magazeti ya kenya ambayo wanahisa nyingi saana kwenye mwnanchi Communication yamekuwa na TABIA ya kutubeza kwa kija lambo tunalofanya.....na kikubwa zaidi kila jambo...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
KWA UFUPI Fedha hizo ni sawa na asilimia saba ya pato la taifa, kitu ambacho kinawaathiri wanunuzi, wafanyabiashara na wakala mbalimbali wa Serikali Dar es Salaam. Bandari ya Dar es Salaam...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wasiliana nami kwa inbox wanatakiwa wadada wawili.watakuwa wanafanya kazi kuanzia saa mbili mpaka kumi nambili jion.mshahara na huduma zingine zitegemeana na mapatano. Sifa 1.uwezo wa kutumia...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Dar es Salaam. Bandari ya Dar es Salaam imekuwa ikilikosesha taifa Dola 1.8 bilioni za Marekani (Sh2.8 trilioni) kwa mwaka, kutokana na kukosa ubora wa biashara...
0 Reactions
1 Replies
950 Views
Mkuu wa Idara ya Uchumi katika Chuo Kikuu cha Dar es salaam Prof. Adolf Mkenda Shirika la Fedha Duniani (IMF) limeishauri Tanzania kuongeza jitihada katika usimamizi mzuri wa kisera...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom