Hello brother, congratulations for this new position and I would love to say this year is yours, only few months ago you were promoted as a Director of Conservations at TANAPA. Well, I am aware...
WAKUU HABARINI ZA WAKATI.MIMI NIPO MKOANI TABORA KIMAISHA WAKATI HUU.MPAKA SASA UPATIKANAJI WA KOMPUTER USED,NA VIFAA VYA COMPUTER KWA UJUMLA NI KAZI NGUMU SANA,LICHA YA KUWEPO KWA WATEJA...
Kushiri moja kwa moja click kwenye bidhaa usika hapa chini;
San francisco
3h 59m
NEW HTC ChaCha 3G 5MP WIFI GPS Wi-Fi hotspot Android QWERTY SMARTPHONE...
Am looking for two serious Business partners to invest in Printing Company.each one is expected to invest 30Mill which represent 1000 shares ,This company has been established and run for 1year,it...
SWALI KWA BUSINESS ADMINSTRATOR, FINANCE MANAGERS, CONSULTANTS, ACCOUNTANTS, ECONOMIST,
Kampuni inafanya biashara ya trading(kuuza na kununua) iko kariakoo,
mapato yake as per accounts ni...
Habari za saa hii wana jamii, nilikua naomba msaada wa ushuru wa hili gari NISSAN WINGROAD ya 97, nikiitoa hapo bandarini itanicost kiasi gani?! Nitashukuru kwa msaada wenu.
Kufanya biashara na idara za serikali kuu na hata halmashauri is at your own risk,hawalipi kabisa,wanasema serikali haina hela,OC inauyopolekwa haitoshi!mambo yamebadilika sio kama zamani
Salaam Wadau,
Nilichukua mkopo kutoka Benki moja hapa nchini, niliambiwakuwa riba ni asilimia 21 (21%) ya mkopo nitakaochukua na nitarejesha kwa mudawa miezi 48. Baada ya kupiga hesabu zangu...
Naona sana matangazo ya bei za hisa kitu ambacho napenda kufahamu kama mm ambae sijawahi fanya hii biashara na natamani kuifanya ila naomba kujua jinsi gani inafanyika na je inalipa!!!!ukianza na...
About SimGas Tanzania Ltd: The SimGas mission is simple:
empower Tanzanians by
delivering affordable small--
scale biogas systems to
customers. SimGas offers
affordable, high-quality biogas...
Ndugu wana jamii natoa mafunzo ya lugha za kigeni Kama vile English ,kiarabu Na ukihitaji mafunzo ya dini pia unakaribishwa Nalugha ya Kifaransa itakuwa baadaemafunzo ni kwa kutumia computer...
Wadau naomba ushauri wa namna ya kuanzisha biashara ya kuwa wakala wa kuuza gesi za matumizi ya nyumbani.....je ni mtaji wa kiasi gani natakiwa kuwa nao na vitu gani napaswa kuwa navyo ili...
wadau me mtaji ninao wa 10M, nimegraduate bt naamin huo mshahara hautanitosha,nataka kufanya businec,na ninataka ya kilimo,lakin bdo cjajua wapi nipate mashamba na nilime nini,wala market...
Upo kwenye Twitter? Kama haupo fanya haraka
ujiunge sababu kuna ulaji huko!! Mwenyekiti mtendaji wa makampuni ya
IPP, Reginald Mengi amesema kuanzia mwezi huu, atakuwa akitoa shilingi milioni 1...
Kuna biashara nyingi sana napata ziona watu wakizifanya na kufanikiwa kwa kiasi kikubwa sanaaa,,,.na hii nikwasababu ya kupata elimu na uelewa mkubwa wa biashara hizo,wanaf;
Wale wenye uzoefu na...
Leo nilipoenda benki moja niliona yule teller alivyokua ananinihesabia pesa mashine aliiweka ikawa inamwelekea yeye kiasi kua nilikua sioni ilivyokua inahesabu. Ili mimi nijiridhishe kuwa pesa...
Wana jf naomba msaada wenu wa kupata namba za wenye kumbi za harusi hapa dar es salaam ili nami nipate kuwe order yangu kwao napenda sana kama unayo ya diamond jublee,nssf water front,ubungo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.