Wadau wanajamvi nashida yamkopo wa 450,000 kwamuda wa miezi 2 nalipa naliaba 75,000 zamana naweka kadi ya pikipiki yangu fekon cc 125 mamba c kwamwenye uwezo wakunisaidia hilo tuwasiliane nami...
Vodacom Tanzania reports five million M-PESA subs; transactions top USD823m
2 May 2013
Vodacom Tanzania says that the number of people signed up to its mobile money transfer service M-PESA has...
Kama niivyokuja mwanzoni wadau wangu wa JF, naomba msaada wa urahisi
jinsi ya upata friji ya vinywaji aina ya pepsi na coca.
NB eneo la biashara ninalo na linafanya kazi kwa kutumia friji yangu...
kUNA TANGAZO HUMU LA PRECESION LINASEAM BE IN KIGOMA BEFORE THE TRAIN LEAVES DAR!
Hivi ni kwa nini wanafitini kashirika ketu ambako ndio tunakufufua ! Kwani nini wataje reli na wakijua reli ni...
Hii benki kwa kweli tumeichoka sasa.Kila tukija hapa teller ziko saba tunakuta wahudumu 1 au 2 tu,tafadhali sana kama hamtaki kazi ni bora muache tu kuliko kutupa usumbufu wa namna hii.Kuweni makini!
Mimi ni mjasiriamali na nimepata mafunzo ya kutengeneza bidhaa za liquid soap, dawa za usafi, dawa za kuoshea mikono, tiles cleaner n.k. nimepata hayo mafunzo DSM ila kwa sasa naishi arusha...
ZRB pins Precision Air over 3.4bn/- unpaid taxes : ISLES tax collector, Zanzibar Revenue Board (ZRB), has ordered airports authority in the Islands to restrain departure of all flights operated...
Mimi ni msichana wa makamo. Nataka kujikwamua kimaisha kwa juhudi zangu mwenyewe na sio kutegemea mwili wangu kwa urembo/uzuri ndio viniinue. Nina elimu kiasi nataka kujiajiri.
Nimefikiria...
BG Tanzania announced that it had completed another successful drill stem test in offshore Tanzania about 45-kms from Mtwara, with tests on the Mzia-2 well flowing at a maximum rate of 57...
BG Tanzania announced yesterday that it had completed another successful drill stem test in Block 1 offshore, some 45km from the coast near Mtwara, with initial results from the Mzia-2 well...
Wadau naombeni msaada kwa wale watu wanaojua kampuni zinazosafirisha vifurushi toka USA kuja Tanzania mbali ya USPS,FEDEX na DHL anisaidie kujua ikiwezekana na mawasiliano yao!asanteni
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk. David Mathayo.
Serikali ya Uingereza imetoa dola za Marekani milioni 13.4 kwa ajili utekelezaji wa mradi mkubwa wa kilimo nchini.
Serikali ya...
Habari za kazi ndugu wananchi?
Kama invayo onekana hapo kwenye kichwa cha habari, Na sijui kama niko kwenye jukwaa sahihi au labda tungeomba lifunguliwe jukwaa lingine linalo husu KILIMO.
Nina...
Tupo kwenye mchakato wa soko la pamoja Afrika mashariki.je watanzania tuko tayari kwa ushindani katika ajira na wenzetu wa kenya.uganda.burundi na rwanda?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.