Naombni msaada wa namna ya kulipia huduma mbalimbali kwa kutumia VISA CARD ya benki ya crdb kwa njia ya internet..Nimejaribu kuna taarifa kama CSC(card security Code) inapatikana wapi.
Wana jamvi baada ya kuongea na simu tigo kwa tigo nimepata ujumbe ufuatao "Umetumia sekunde 143, umelipia sh 236.67. Salio lako ni 450.93. LONGA BEI MOJA MITANDAO YOTE TZ KUANZIA THUMNI"...
Ripoti ya hali ya uchumi duniani imeonesha kuwa idadi ya watu wanaoishi katika umaskini uliopindukia imeongezeka zaidi, huku jirani zetu wa Kenya na Uganda wakiwa wamepiga hatua zaidi katika...
wanajamii habarini za muda huu na poleni sana kwa majukumu ya kimaisha......napenda kuwauliza ni zao gani ambalo linaweza kustahimili kwenye ardhi ya mchanga hasa kwa kipindi hiki ambacho kwa hapa...
Kwanza napenda kumshukuru Mungu kwa mambo makuu na ya ajabu anayoendelea kututendea.
Njia zifuatazo ukizifuatisha kwa makini nilazima utaendelea kufanikiwa kuwa maskini nazo ni
1- usipende kuamka...
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Abdallah Kigoda.
Ni kufuatia kuyumba kwa uzalisha na viwanda kuzalisha chini ya kiwango, baada ya Tanesco kutangaza mgawo.
Dar es Saam. Waziri wa Viwanda na...
Tanzania becomes the third country Zuku after the September launch in Uganda and August launch in Kenya. Zuku provides great premium entertainment at affordable rates.
Zuku offers over 60...
Miaka minne iliyopita, serikali kupitia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), iliutangazia umma kuwa kila anayemiliki simu, lazima ahakikishe kuwa anaisajili.
Ili kuhakikisha kwamba zoezi hilo...
wafanyabiashara wengi hufikiria kinachoongeza mauzo ni ubora wa bidhaa zao lakini kinachoongeza mauzo ni ubora wa bidhaa zako kwenye kichwa cha mteja wako,na ubora huo huchangiwa na brand yako iko...
Ndugu wana jukwaa,
hii miito ya simu (wengine wanaita hello tunes etc) mbona kujitoa ni vigumu kiasi hiki, sasa hivi wananiambia kuna muziki wanataka "kuRENEW" sasa najaribu kujitoa...
KWA UFUPI
Akizungumza katika mahojiano maalumu na Mwananchi Jumapili, Dk Ndumbaro alitaja sababu za
Tazara kuporomoka kuwa ni pamoja na Serikali ya Zambia na Tanzania kutegeana katika uwekezaji...
Jamani wadau, mwenye kufahamu tofauti ya Company na limited , na ipi ni kubwa kuliko nyingine, faida ya kufungua company/limited over limited/company na taarifa zozote muhimu anijuze.
Natanguliza...
Habari wana JF wote' ili kuongeza ajira kwa serikali na kuongeza wateja kwa mashirika haya naomba selikali ijitoe kukopesha wanachuo badala yake itumie pesa hizo kutoa ajira. mashirika haya...
Wana jf,
tunatoa michanganuo ya biashara, kwa wale wanaofikiria kufanya biashara yenye tija itakayowakwamua kimaisha. Tunapatikana mwanza, unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0655 761 751
Guys,
Am one of those lazy people who are always surfing around the internet and missusing my employers time.
Most of the time I come across advatisements on making money online. Where one has to...
Leo nilienda Uchumi Supermarket pale Quality Plaza baada ya manunuzi kadhaa nikaamua nipate chakula cha mchana pale pale ndani kwenye Canteen/cafeteria yao..nikaagiza ugali kuku na mwenzangu...
Habari zenu wote,
Naombeni msaada wenu mara moja. Nilitaka kununua solar panel ya nguvu ya watts 100 na nyingine yenye nguvu ya watts 1000 (kW 1) ya kuweka kwenye nyumba. Kwahiyo nilitaka kujua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.