Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Tangu mwezi uliyopita kumekuwa na michuano ya #foosball ambayo zimekuwa zikichezwa kwenye baa mbali mbali. WaTanzania wenzangu sijui mnaifikiriaje mchezo huu ambayo imeletwa kwenu na bia ya Heineken.
0 Reactions
0 Replies
952 Views
Jamani naomba msaada aliyewahi nunua gari toka uingereza kuna gari nimeiona zoomtanzania na katika kuwasiliana nikakutana na mtu anaitwa Stefan Gleixner kutoka Steff investment je kuna mtu...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Wadau wa hii biashara ya kua Travel Agent, naombeni msaada wenu wa mawazo! Faida zake zimekaaje? Nini changamoto zake? Soko lake limekaaje kwa sasa? Gharama za kuanzisha biashara hii ziko vipi...
0 Reactions
13 Replies
7K Views
Kila mtanzania anapaswa kulipa kodi kwa ajili ya nchi yake kwa mujibu wa katiba ya nchi yetu KWA LAKINI wengine hawalipi kodi? Wapo watu ni wafanyabiashara wazuri tu lakini huwa wanakwepa kulipa...
0 Reactions
0 Replies
949 Views
Wana JF,sijui kama kuna mmoja wenu ameshapatwa na hili,kwa kweli huduma zetu za mtandao wa TIGO siku hizi haziridhishi kabisa,mtu unapiga simu una shida ,cha kwanza simu haipokeliwi kuna number...
1 Reactions
8 Replies
5K Views
wakuu, ukiagiza gari japani kupitia bandari ya mombasa au dar wapi penye unafuu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
There will be no backpedalling on the government’s resolve to implement the second phase of migration to the use of electronic fiscal devices (EFDs) in tax assessment and collection, the Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
827 Views
Habari gani wanajamii natumai ni wazima na maisha yanaendelea ingawa hayana uhakika sana kama hata kesho itakua hivi au tofauti na hivi.ndugu zangu leo ninasukumwa kuandika haya kwa sababu ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tunahitaji mtu mwenye uwezo wa kuwekeza katika biashara ya shule ya awali.Tunataka kufungua shule hiyo jijini Tanga,tayari tumeshafanya critical research na kuona fursa zilizopo ila kikwazo ni...
0 Reactions
7 Replies
15K Views
Wadau naomba wanaojua bei au gharama za kutengeneza DVD ya nyimbo kuanzia shooting hadi production ya DVD au VCD inaweza kuwa shilling ngapi za kitanzania. Pia naomba na maelezo ya mchakato mzima...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Dar es Salaam. Tanzania lags behind other East African countries in collecting revenue from mobile phone companies despite its huge number of subscribers. While a small country like Rwanda, with...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Do you want to get an opportunity to attend a seminar on business skills? You can easily email us for imformation on business opportunity meeting conducted near your area. it is better if you...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
NIMEPOST HII KWENYE PAGE YA TIGO WAMEIFUTA IN A SECOND!!!......... "Nawasiliana na Mwanasheria wangu kwa wizi unaofanywa na TIGO! Nimefuatilia kwa wiki moja sasa baada ya kupuuzia muda mrefu...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Ndugu Watanzania, Imekuwepo Kasumba ya watu kusujudu vitu vya nje kufikia hata kununua fanicha za nje kama meza, makabati, vitanda wakati vya hapa Tanzania ni vyema sana. Utaona mtu anaenda...
6 Reactions
43 Replies
20K Views
By Staff Reporter - Arusha Times Kenyan retailer, Nakumatt Holdings, on December 10th officially opened the doors to its latest outlet in the East Africa region, in the Tanzanian town of...
0 Reactions
40 Replies
9K Views
Allow farmers to export maize-lawmakers BY LUSEKELO PHILEMON 11th April 2013 Email Print Josephat Kandege (MP-Kalambo, CCM) Lawmakers are bidding the government to grant...
0 Reactions
0 Replies
886 Views
Habari wandugu. Mwenye form ya usajili wa jina la biashara ya zaidi ya mtu mmoja anisaidie. Ili kesho niamke nayo brela
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Matajiri wa kibongo wote wanatabia sawa kama umeshapata bafasi ya ku deal nao kibishara. 1. Wote ni waongo - atakuambia atakulipa siku fulani ila haitatokea 2. Wote ni warushi - atahakikisha...
0 Reactions
35 Replies
6K Views
Tanzania ni nchi inayoendelea kwa kasi katika matumizi ya simu ikiwa na wastani wa watumiaji wa simu za mkononi millioni 15, kwa wastani inasadikiwa kila mtanzania anatumia shs mia tano kwa siku...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
wajameni, naomba kama kuna mfanyakazi wa CRDB AU NMB atusaidie humu, mbona nimejaribu kutumia ile huduma yao ya mpesa, yaani kama nina pesa zangu kwenye mpesa naweza kuzirisha tu kwenda CRDB au...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Back
Top Bottom