Kampuni za simu zalipa bil. 64/- kwa miaka 5 : KAMPUNI za simu kwa miaka mitano zimelipa jumla ya Sh bilioni 64 kama kodi ya kampuni hadi kufikia mwaka 2010 huku uwekezaji wa kampuni hizo ukiwa...
Tumeplan kuwa na tukio la watanzania kupanda mlima Kilimanjaro kupitia njia ya Marangu kwa siku 6 mwanzoni mwa May 2013
Tunaomba tupate ufadhili wa matangazo kupitia Radio,Tv,blogs,Magazeti nk...
Wadau habari zenu,nakuja jukwaani hapa kuomba msaada wenu,ili niweze kufunguka macho,nilikua naomba kusaidiwa kujua,je t.r.a uwa wanafanya tozo kiasi gani kwa bidhaha kama nguo na viatu ?(mavazi...
ndugu wataaalamu,
kwanza shukrani kwa waliotoa maoni kuhusu uanzishaji wa photo studio. kwa sasa nipo katika mchakato wa kuanzisha hapa dar es salaam.
naomba maoni na mapendekezo gani wa maeneo...
Habarini wakuu. mimi nina shida moja ambayo ni namna ya kufanya maji ninayotarajia kuyazalisha hapa kiwandani kwangu kufika kwenye mikoa mbali mbali hapa nchini. Mwenye kujua swala hili ya njia ya...
Husika mada tajwa hapo juu!
Binafsi nitambua umuhimu wa biashara hii kwa sababu nimekua nikijielekeza katika eneo hilo hivi karibuni kwa nsaada wa tovuti kadhaa mtandaoni ,ninaamin kupitia uelewa...
Wadau
Najua wengi wenu mnatumia Tiles majumbani mwenu ,kwenye biashara ,nyumba za ibada,hata hapo ulipokaa nk ..lakini suala la usafi wa Tiles huwa ni changamoto ....mara nyingi utakuta kuna...
By JOSEPH MWAMUNYANGE Special Correspondent
THE EAST AFRICAN
Posted Saturday, April 6 2013 at 18:48
In Summary
A source at Tazara said that during the first trial run, one of the engines...
Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe amewatuliza Watanzania kuhusu kupanda kwa nauli akisema ameyapokea malalamiko yao na atayafanyia kazi. Kwa kuanzia ameagiza nauli za treni jijini Dar es...
Mimi sii mtaalam sana kuhusu mambo ya magari ila ninatafuta Toyota Rav4 old model ambayo ipo kwenye hali nzuri au nikiagiza kutoka japan itanigharimu sh ngapi ambayo ni used!
wana jf natafuta mbia/partinership au mkopo wa mda mrefu kwa ajili ya kujenga business mall ambayo itakuwa kyela mjini ni centred kiwanja ni kikubwa cha kutosha kujenga business mall ambayo...
Wanabodi,
Kwa kuwa wengi wetu tulidhubutu/tumedhubutu kuitathmini dhana hii ya ujasiriamali sambamba na kujitathmini binafsi juu ya njia sahihi zaidi za kufikia mafanikio ya kweli maishani...
Maoni ya katuni.
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra), imetangaza viwango vipya vya nauli za mabasi, treni na gharama za bandari zitakazoanza kutumika Aprili 12, mwaka...
Dear all,
I initially was asking myself if our president his excellency kikwete was there during Mwl. Nyerere's erra. In his 7-year term so far it is not known specifically the sort of a nation...
Sijui kwanini hawa fastjet hawataki kuanzisha safari za Mbeya, maana wamewaachia precision air pekeyao ambao sasa bei zao za kwenda Mbeya zimefikia 310,000 tofauti kabisa na bei wanayoitangaza ya...
Nimesoma kitabu hiki na kimenisaidia kubadili mtazamo wangu na jinsi ninavyotumia mapato ninayopata.
Kama hujawahi kukisoma, tafuta muda na ukisome na uhakika kitakusaidia sana kama unahitaji...
JAMANI, KAMA KUNA MTU ANAYO KAMPUNI YA KUTENGENEZA symbols za makampuni, ninayo kampuni yangu nahitaji kuitengenezea emblem yake (whether you call it business mark, trade mark whatever the case...
Details Published on Friday, 22 March 2013 04:53 Written by ORTON
LOCAL NEWS
Bagamoyo Port plan delights many
CONSTRUCTION of the proposed modern port at Bagamoyo
is set to transform the...
Habari zenu wadau....
Nimepata safari ya kikazi kwenda ujerumani(hamburg) hivyo kwa wazoefu naomben mnijuze kuna vitu gani vya kununua kwa wenye mitaji midogo ili nilete tanzania?
Nawasilisha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.