Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Karibu tuzungumze hapa HUDUMA POA Eti nikweli Graduates wengi hawapendi/ hawataki kuanzisha biashara kwa mtaji chini ya milioni moja? Unadhani kwanini? Tujadili pia tubonyeze neno lifuatalo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wanabodi, naomba mnijuze gharama za kuanzisha photo studio, i.e kusafisha picha + kupiga picha, express. Natanguliza shukrani wapendwa.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za pasaka wanajamvi! Naomba kujuzwa utaratibu! Nimepata kibarua kama consultant kwenye NGO moja iliyopo Ujerumani na wanataka kufungua office hapa kanda ya ziwa ikiwa na staff mmoja toka...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
wadau, ninapenda kujua yapi ni mashirika ya ndege bora duniani kutokana na vigezo vya kimataifa?
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kadri siku zinavyokwenda tunashuhudia makampuni ya simu yakifanya ubunifu wa aina mbalimbali. Tumeshuhudia tigo wakija na kabang na extreme ambayo inatumika masaa 24 ya ukweli na sio ku-expire...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
wandugu wana amvi... nataka kuanzisha biashara ya kukusanya plastick ngumu na laini... nipo Arusha, kwa yoyote mwenye uelewa juu ya masoko, utaalam au chochote kinachohitajika .......please share...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Crown Paints is targeting a 50 percent market share in the Tanzanian premium paints segment. The firm’s chief executive Rakesh Rao said the manufacturing plant will be established within the next...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau na wakui habari zenu.. Nilikuwa naombwa kujuzwa listi ya makampuni yanayojishughulisha na uwekezaji nchini ambayo ni ya watanzania Na aina ya biashara ambayo wamewekeza Kwa wenzetu kuna...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ukipitia kwa hii link https://www.precisionairtz.com/index.php?id=15 utakuta destination za PW ila Mbeya haimo. Kuna jamaa katoka nibishia as alitaka kwenda Katavi NP baada ya kuangalia iyo page...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuporomoka jengo lililopo Mtaa wa Indira Gandhi Jijini Dar es Salaam, huenda ikawa mwanzo tu wa kuporomoka majengo mengine zaidi hasa kufuatia matokeo ya tume iliyoundwa mwaka 2006 iliyobaini...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa muda mrefu sasa Zanzibar imekuwa katika hali mbaya ya kiuchumi huku wanachi wake wakihangaika na kutapatapa katika kuokoa maisha yao kwahali yoyote ile. Ukifuatilia historia, Zanzibar...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu nahitaji kujua ni % ya VAT hulipwa unapoa ingiza mzigo Tanzania? Je zina varie kutokana na ain ya mzigo zu % ni moja kwa mizigo yote,
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za leo wananchi. Nina wazo la ku-develop website ambayo inaweza kuwa ya msaada kwa wenye maduka ya biashara na watumiaji wa nyumbani. Kabla sijafanya hivyo, inabidi nifanye homework kidogo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana JF, Habari za majukumu. Kuna utafiti nafanya kuhusu Bank Charges. Sasa Nahitaji Tariff Guides za Banks Mbali mbali za TZ, So far nimeshapata za bank kama Tano hivi. Sasa Kwa Yeyote anayeweza...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari za mchana. Nilienda brela kuandikisha kampuni wakaniambia baada ya name clearance, nipeleke documents kama tano hivi na laki 3. Hiyo ni bei sahihi na idadi ya documents? Maana nimeona...
1 Reactions
13 Replies
5K Views
Ndugu wa JF, wafanyakazi serikalini na sector binafsi ukiachilia mbali wafanyabiashara watakuwa wanajua maumivu wanayoyapata kwenye makato ya mshahara (yaani PAY AS YOU EARN). Lakini hii sector...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Wadau ktk muda ambao sikutarajia nimepata mil 10 kutokana na mikopo kwa wafanyakazi niliopewa na benki yangu kama mfanyakazi - sikutegemea kabisa japo nilikuwa natafuta fedha hizi muda mrefu...
1 Reactions
29 Replies
7K Views
Wadau Salaam! Ninataka kuanzisha biashara ya ksuindika na kuuza maziwa na hivyo ninataka business plan. Nani anaweza kuandika plan ambayo inaweza kushinda mkopo wa benki?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu niliwahi kuwaandikia Wizara ya Mifugo kuhusu muongoza wa Kuingiza Mifugo Nchini hasa Kuku kutoka Nchi Jirani, Sijajibiwa mpaka leo na Kesho, na hiyo ni wizara inayo tumia kodi zetu so kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom