Natanguliza Heshima mbele! Natanguliza shukruni za dhati kwa Wanajanvi ambao wako makini katika kuchangia hoja! Mawazo yenu yamekuwa muhimu sana katika kujifunza kwangu-
Leo naomba...
Ndugu wana bodi,
Najua humu ndani ya Jukwaa letu la JF lina wanachama na wapenzi ambao hupitia humu ndani mara kwa mara. Kwa maana hiyo basi , ujumbe unao wekwa humu husomwa na wengi.
Suala ni...
Mambo niaje waheshimiwa,
Mimi na mtaji wa 3mil nahitaji kufanya biznes ya mitumba ila bado sijafahamu ni sehemu gani naweza kupata mabelo kwa bei nzuri na quality nzuri pia, vilevile kwa anayejua...
Inashangaza kusikia eti leo mkongo wa SEACOM umekatika Misri then all providers wako down.
Hivi hakunaga backup link kama Satellite na nyinginezo? Yaani nchi nzima inasimama kisa SEACOM kuwa...
Thomas Mukoya/Reuters
President Xi Jinping of China leaving the Julius Nyerere International Airport in Dar es Salaam, Tanzania, on Monday.
By CHRIS BUCKLEYPublished: March 25, 2013
HONG KONG ...
Katika siku za hivi karibuni, nimeona tangazo katika TV zikielekeza kubadilishwa kwa jina la Tanzania Investment Bank (TIB) na kuwa TIB development Bank.
Bado najiuliza kirefu cha TIB kama...
On a serious note aka katangazo wamefluku kwa namna fulani.
Ivi ni kweli unazifananisha ndege za PW na treni ya Kigoma TRL ivi apo unajikweza au unajishusha?
Enyi watu wa matangazo watendeeni haki...
I have a project that requires registering a LLC (Ltd) Company.
I need a reputable Company that have some project done in its showcase.
I need it to do almost everything except parts that needs...
at first niliwaza jinsi gani y akufanya biashara na at the same time nifanye kazi yangu ya kuajiriwa..niliwaza sana hasa ukizingatia ujasiriamali upo damuni...
The thing i did was to keep...
We would like to inform you our products and services.
1. ICB PREMIER CURRENT ACCOUNT
The convenient and most effective way to manage your funds, Paying by Cheque is the fastest, most...
Wana Jamii Forum wote mliopo humu naombeni msaada wenu,nina shida sana ya kupata mkopo katika taasisi ambayo inatoa kwa masharti nafuu.Mimi ni muajiriwa katika kampuni moja lakini kwa bahati mbaya...
Habari wakuu, nahitaji msaada wa kupata mkopo wa kiasi cha shillingi milioni mia moja (100 Mil) kutoka kwa mtu binafsi ama taasisi yoyote kwa ajili ya kufufua, kuboresha na kuendeleza biashara...
TAFADHARI WANA JF! NAOMBA KUFAHAMISHWA; NINA HITAJI KURASIMISHA SHUGHULI ZANGU ZA CONSULTANCY! NATAKA KUANZISHA OFISI YANGU, JE IWE KAMA SOLE PROPRIETOR AU LIMITED (PRIVATE) COMPANY? je hatua zake...
Habari zenu wana jf naomba msaada kujuzwa makampuni yanayojihusisha na oil and gas plus minerals exploration yanayofanya kazi tanzania,heshima mbele ndugu zangu
Dear friends and colleagues,
I hope this e-mail finds you well. We are currently conducting an exciting research which investigates the possibility of introducing a remote electronic voting system...
Jamani wana jf polen na majukum ....wazoefu wakununua vi2 online naomba mnisaidie namna yakukamilisha hii process bila yakuibiwa na jins ya kujiunga ktk hii huduma . pia ipo salama au kuna risk...
Mimi ni mwajiriwa serikalini, nina miezi miwili kazini nahitaji mkopo kwa ajili ya accomodation na furnitures.kama kuna taasisi inakopesha kwa masharti nafuu naomba kufahamishwa nimejaribu nmb na...
Salaam Wakuu
Naomba kufahamu mambo kadhaa kuhusu msamaha wa kodi kwa watumishi wa serikali
1. Ni magari yapi yanayoruhusiwa kuombewa msamaha wa kodi?(say mtu anataka kuagiza Cayenne au Range...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.