Ninawasalimu wanajamii forum wote mnaosoma na kujadili mambo muhimu sehemu hii
Nitangulie kuomba samahani huenda issue hii ilishajadiliwa humu lakini mimi kwa kiasi fulani bado ni mgeni,hivyo...
Wakuu heri ya Pasaka
Nataka kuagiza gari toka Japan aina ya Toyota Raum ambayo bei na shipping cost ni USD 3850 kama inavyoonekana
otal price CIF:
US$ 3,850
Vehicle FOB price:
US$ 2,500...
Tanzania Daily News (Dar es Salaam)BY ANNE ROBI, 29 MARCH 2013
AS part of the benefits of the historic visit by new Chinese President Xi Jinping to the country recently, China has decided to...
naombeni ujuzi wenu wana jamvi,jinsi gan naweza import digital camera,simu na tablet from india to Tz.Ningependa kujua ni kwanjia gani na Cost then jinsi gan naweza upokea ukifika Tz na kama kuna...
Socialism is dead in the water even Chinese people are changing! Let business meet not just politicians
Utilise opportunities arising from Sino-Tanzania ties - Nagu
President Kikwete...
MWANDISHI wa Kitabu cha 'False Starts in Africa,' Rene Dumont, ambacho tafsiri yake kwa lugha ya Kiswahili ni
'Afrika inakwenda kombo,
alielezea kuwa Afrika imeshindwa kutekeleza hatua zake...
Nakaribia kuhamia airtel kwa kweli maana nina bundle za voda za kutosha lakini nakosa huduma ya internet,mpesa pia hata huduma ya voice hapa kwetu ni mbaya yani wananchi wengi wa hapa wanalalamika...
Salam za Upendo kwenu nyote .........Kutokana masaa 8 ninayotumia Nikiwa Chuo ...... Sasa Naona Mambo Yanakwenda Sivyo ...... Hasa Ktk kabiashara kangu kanakonifanya Nipate Pesa Za Kujikimu...
Come and get to know and hear from the successful women entrepreneurs in Tanzania in the field of NETWORK MARKETING (HOME BASED BUSINESS) who knows this year might be the beginning of the...
Hali ya uchumi inazidi kuwa mbaya kila siku ,nini kifanyike ili kukuza uchumi tz na maisha ya watanzania yawe mazuri?Jamani hali ya maisha imekuwa ngumu!wanauchumi naomba majibu.
Maoni ya Katuni.
Juzi wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, walipandwa na hasira baada ya kuelezwa kwamba baadhi ya hoteli za kitalii zilizobinafsishwa hazilipi tozo...
Ziara ya siku mbili ya Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, XI Jinping, ambaye aliwasili nchini juzi, siyo kitu kidogo hasa ikizingatiwa kwamba Tanzania imekuwa nchi ya kwanza barani Afrika kwa...
hi nimeanza mchakato wa kuisajili org yetu. nahitaji mtu mwenye malengo kwa ajili ya kufikia malengo yetu. wasiliana kwa 0715 545485, au ludgermkemwa gmail.com
Tanzania's Gross Domestic Product (GDP) grew by $4.5 billion last year compared to 2011, new economic data showed. The March 2013 figures, published by the Planning Commission, put the total...
Naomba kujulishwa bei ya nauli ya ndege kati ya Dar-es-salaam na Nairobi safari ni jumapili au jumatatu asubuhi maana natakiwa kufanya Transfer ya ndege nyingine Jioni siku nitakayofika..kama...
Wadau nimekuwa nikikumbana na adha mara nyingi katika mabenki,TRA na hata maofisini unaambiwa mtandao hakuna mara mtandao uko chini.Hii inasababisha usumbufu na upotevu mkubwa wa muda.Nimejiuliza...
suala la kupatiwa leseni ya usafirishaji limekuwa issue.
unapeleka document zinazotakiwa bado unazungushwa ile mbaya.
imagane wizara ya kazi unachukua wiki 1, sumatra unachukua wiki mbili au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.