Wana JF,Natafuta SACCOS niwe mwanachama kama mjasiriamali mwingine,iwe Dar,isiwe ya ukanda,iwe imekaguliwa Hesabu zake angalau mara moja tangu ianzishwe,ikiwa mwanachama wa NSSF,SCULT,PPF,ni vyema...
Since the erection of billions-worth structure, just three days have passed when I just passed-by and got motivated to go one floor after another trying to see what could actually be taking place...
Wakuu mimi bado sielewi haya maji kwa jinsi yanavyofanana kiasi kwamba yanatuchanganya wateja.Chupa zao zinafanana hadi nembo zao. kwenye maji ya kilimanjaro wameandika a product from land of...
By Gwladys Fouche and Balazs Koranyi
OSLO, March 18 (Reuters) - Statoil and Britain's BG Group plan to build a $10 billion East African liquefied natural gas (LNG) terminal well placed for exports...
Habari zenu. Kwa wenye uzoefu katika sekta ya madini, kwa mtu anayetaka kuanzisha mgodiwa saizi ya kati, ni madini ya aina gani hayana gharama kubwa kuchimba na processing?
Jamani mimi nafkiria kununua shamba ili nihamie Arusha nikaishi kama farmer/settler kule kama wale wa Zimbabwe au Kenya
Je kuna maoni gani? Maeneo gani? nafkiria kununua shamba la eka kama 500 au...
WAZIRI wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Mhandisi Christopher Chiza, amebaini wizi katika zao la korosho mkoani Pwani unaofanywa na watendaji wa vyama vya ushirika na ngazi nyingine, ikiwamo wizara...
Hii sheria ma bank yameshindwa kuitafsiri na hata BOT wenyewe ukiuliza compliance department wanailezea sivyo inasema
....... any matured or expired outstanding loan should not be extended...
jamani naombeni ushauri kidogo nataka kuanzisha biashara ya kuku sasa ni kuku wapi wanafaida sana na wanalipa sana na kama unataka kuanza na kuku mia moja unatakiwa kuwa na mtaji wa kiasi gani?
Bandugu kuna hili tatizo la noti zetu mpya za shilingi 500, 1000 na 2000 kutokuwa durable, hili tatizo ni kubwa sana hasa kwenye maeneo yenye transactions nyingi. hizi noti zinachakaa mapema sana...
Wana jamvi,
Kuna mchezo nauona takribani mwezi mzima sasa kwenye hii mitandao ya simu, yani wamewaunganisha wateja wotekwa lazima kwenye huduma ya VOICE MAIL endapo utampigia mtu simu kama...
Jamani naombe msaada wenu kuhusu hili,mimi ni mfanya biashara ndogo ndogo,nina ofisini yangu nimeisajili tra na nina leseni ya biashara,nina huwezo wa kuingiza laki nne hadi sita kwa mwezi je ni...
Jamvini Oyee
Jamani msaada kidogo hivi mnaweza kuniambia Process za kuanzisha Construction company mpaka kupata license na kiasi gani inaweza kughalimu
Kwa kifupi kampuni yangu nataka Real estate...
Habari wanajamvi!
kupitia jukwaa hili nimeamua kuanza kufuga kuku wa mayai na kwa kuanzia nimeanza na vifaranga 250 naomba nipeni ushauri jinsi nilivyoanza kuwalisha hao vifaranga kama picha...
Juzi nimejiunga nikakuta kumbe zile dk 300 si kwa mitandao yote kama wanavyotangaza. Ukishajiunga unaambiwa dk150 ni tigo/tigo tu, na zilizobaki 150 ndo za mitandao mingine.
Hii ni kupotosha...
Wanajamvi samahani lakini naomba mnijuze. Eti kati ya mashirika hayo matatu lipi linaongoza kwa kulipa mshahara mnono kwa begginers na marupurupu mengine. Akhsanteni
Habari zenu wakuu,
baada ya mafanikio na ushirikiano mkubwa mliounyesha hapa jamvini juu ya kijana wenu, Leo ningependa kuja na swala jingine kidogo ambalo nataka niwashirikishe. Naitaji ushauri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.