Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

The Tanzania Communication Regulatory Authority has said it will undertake constant monitoring of the new interconnection rates telecommunication networks are supposed to charge with effect from...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Sote tunakumbuka tarehe ya kuhamia digital ilipofika mitambo ya analogia ilizimwa,mimi nilitegemea hilo litokee hivo hivo kwenye tariff mpya za simu, lakini halijafanyika.sasa the way foward ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Imeelezwa kuwa maamuzi magumu yakiongozwa na moyo wa uzalendo ndiyo yanayoweza kusitisha matumizi ya Dola ya Marekani kwenye huduma mbalimbali za kibiashara na hivyo kuinusuru Shilingi ya Tanzania...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
The National Microfinance Bank (NMB) customers are now having a wider choice for deposit and withdrawal of cash, the signing of an agency agreement between the financial institution and Vodacom...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Print Back to story Tanzanian Investment to Grow 10% in 2013 With Help of Chinese By David Malingha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Japan Africa Car Exporters Association (JACEA) is the Japanese company selling used cars to African continent with the cheap price. These cars are in good conditions, please if you want yours...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Maendeleo ya nchi yanatokana wananchi kutumia fulsa zilizopo katika nchi na serikali kutambua fulsa hizo na kuzilinda badala ya kutafuta njia ya mkato kujinufaisha na kunufaisha wachache kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Huu mgao wa sasa hivi nimeupenda mnapigwa kimya kimya........
0 Reactions
1 Replies
823 Views
Bado tuna tatizo kubwa sana katika huduma (customer service) iwe katika ofisi,maduka,hosp nk..katika pitapita nakumbuka kuna siku nilipita mtaa wa posta dar kulikuwa na duka walikuwa wanauza...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Katika hali ya kuonesha ushindani katika biashara ya usafiri wa anga unaongezeka siku hadi siku, kampuni ya ndege ya Precision nayo imeshusha gharama za usafiri kwa mteja wa Precision Air, sasa...
7 Reactions
40 Replies
4K Views
Wadau naomba kujuzwa gharama za kusajili gari hapa nchini Tanzania bila kuhusisha garama za importation, kodi na bei ya gari.
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Wafanyakazi wa Kituo cha Dawasco Kawe (hasa enginner - Eliud) acheni kufanya ofisi ya umma kama za baba zenu, hiyo ni ofisi ya umma, sikilizeni wateja na mtoe majibu ya kuridhisha. Cheo dhamana!!
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kila mmoja wetu anajua jinsi asilima kubwa ya customer care ya ofisi nyingi za Tanzania ilivyo mbovu.Kila siku tumekua tukilalamika jinsi wafanyakazi wa huduma kwa wateja walivyo na lugha mbaya na...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Habari wakuu,nataka kuanza biashara ya heavy duty equipments and machines kama vile mobile harbour cranes,cranes,(backhoe)Loaders,wheel loaders excavacator,reach stackers nk nninaomba aliye na...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Nimekuwa nasoma mada nyingi sana hasa za biashara na kilimo hapa JF. wafuatao napenda kuwapa hongera na kuwashukuru sana sana kwani kwa sasa nina mawazo mapya hasa ya maendeleo. ASANTENI...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
KUMEKUWA NA KASUMBA KWAMBA MARA NYINGI MTU HUFANIKIWA AKIWA NA UMRI MKUBWA SANA. LAKINI HII SIO SAHIHI SIKU ZOTE. KAMA VIJANA WENGI WAKITANZANIA TUKIACHA POROJO ZA SIASA ZISIZO NA TIJA, TWAWEZA...
1 Reactions
1 Replies
5K Views
Wakuu naomba mnijuze jinsi ya kununua hisa au share katika kampuni au stock exchange,msaada wakuu wangu
0 Reactions
1 Replies
4K Views
sisi ni vijana wasomi wa shahada kutoka chuo cha mipango ya maendeleo vijijini Dodoma. tumeunda kikundi cha wajasiriamali kinachoitwa Poverty Eradication Through Agriculture (PETA). kikundi kina...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Mimi ni kijana mwenye shida ya ofisi space ila kama mjasiriamali mdogo sina capital ya kuweza kugharamia ofisi kwa sasa. Naomba msaada wa mtu mwenye ofisi eneo la posta ambayo inaweza ikawa na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom