The Tanzania Communication Regulatory Authority has said it will undertake constant monitoring of the new interconnection rates telecommunication networks are supposed to charge with effect from...
Sote tunakumbuka tarehe ya kuhamia digital ilipofika mitambo ya analogia ilizimwa,mimi nilitegemea hilo litokee hivo hivo kwenye tariff mpya za simu, lakini halijafanyika.sasa the way foward ni...
Imeelezwa kuwa maamuzi magumu yakiongozwa na moyo wa uzalendo ndiyo yanayoweza kusitisha matumizi ya Dola ya Marekani kwenye huduma mbalimbali za kibiashara na hivyo kuinusuru Shilingi ya Tanzania...
The National Microfinance Bank (NMB) customers are now having a wider choice for deposit and withdrawal of cash, the signing of an agency agreement between the financial institution and Vodacom...
Japan Africa Car Exporters Association (JACEA) is the Japanese company selling used cars to African continent with the cheap price.
These cars are in good conditions, please if you want yours...
Maendeleo ya nchi yanatokana wananchi kutumia fulsa zilizopo katika nchi na serikali kutambua fulsa hizo na kuzilinda badala ya kutafuta njia ya mkato kujinufaisha na kunufaisha wachache kwa...
Bado tuna tatizo kubwa sana katika huduma (customer service) iwe katika ofisi,maduka,hosp nk..katika pitapita nakumbuka kuna siku nilipita mtaa wa posta dar kulikuwa na duka walikuwa wanauza...
Katika hali ya kuonesha ushindani katika biashara ya usafiri wa anga unaongezeka siku hadi siku, kampuni ya ndege ya Precision nayo imeshusha gharama za usafiri kwa mteja wa Precision Air, sasa...
Wafanyakazi wa Kituo cha Dawasco Kawe (hasa enginner - Eliud)
acheni kufanya ofisi ya umma kama za baba zenu, hiyo ni ofisi ya umma,
sikilizeni wateja na mtoe majibu ya kuridhisha. Cheo dhamana!!
Kila mmoja wetu anajua jinsi asilima kubwa ya customer care ya ofisi nyingi za Tanzania ilivyo mbovu.Kila siku tumekua tukilalamika jinsi wafanyakazi wa huduma kwa wateja walivyo na lugha mbaya na...
Habari wakuu,nataka kuanza biashara ya heavy duty equipments and machines kama vile mobile harbour cranes,cranes,(backhoe)Loaders,wheel loaders excavacator,reach stackers nk nninaomba aliye na...
Nimekuwa nasoma mada nyingi sana hasa za biashara na kilimo hapa JF.
wafuatao napenda kuwapa hongera na kuwashukuru sana sana kwani kwa sasa nina mawazo mapya hasa ya maendeleo.
ASANTENI...
KUMEKUWA NA KASUMBA KWAMBA MARA NYINGI MTU HUFANIKIWA AKIWA NA UMRI MKUBWA SANA. LAKINI HII SIO SAHIHI SIKU ZOTE. KAMA VIJANA WENGI WAKITANZANIA TUKIACHA POROJO ZA SIASA ZISIZO NA TIJA, TWAWEZA...
sisi ni vijana wasomi wa shahada kutoka chuo cha mipango ya maendeleo vijijini Dodoma. tumeunda kikundi cha wajasiriamali kinachoitwa Poverty Eradication Through Agriculture (PETA). kikundi kina...
Mimi ni kijana mwenye shida ya ofisi space ila kama mjasiriamali mdogo sina capital ya kuweza kugharamia ofisi kwa sasa. Naomba msaada wa mtu mwenye ofisi eneo la posta ambayo inaweza ikawa na...