The DCB Commercial Bank Limited has increased its capital from 15bn/- to 28.2bn/- in accordance to the Bank of Tanzania (BoT) regulations.
Dar es Salaam Community Bank (DCB)
The bank...
kwa mfano niki okota milioni mia (ignore the odds), nikaamua kupeleka benki wanaweza kuzi fungia kwa kudhania ni fedha haramu.
NB:
assume nilikua na savings account ambayo haikuwahi kuwa na zaidi...
Salaam wakuu
Hizi gari zinanichanganya
Hii ni ESCUDO au GRANDA ESCUDO? Maana wauzaji wengine wanaiita GRAND wengine wanaiita ESCUDO tu. Sasa katika calculator ya TRA gari hizi mbili...
NEW YORK (Reuters) - JPMorgan Chase & Co plans to cut 3,000 to 4,000 jobs in its consumer bank in 2013, representing about 1.5 percent of the company's overall workforce, it said in a presentation...
Wapendwa Wataalam,
Saalam!
Napenda kujuzwa namna gani naweza tengeneza Foundation Ikawa chini ya Usimamizi wa Kampuni Binafsi.
Mapato na matumiz na hata kama faida hayataingiliana na Foundation...
Hii ni kampuni mpya inayoanza safari za ndege, nauli ni bila VAT.
Kwa Dar office zipo mitaa ya Samora opp Wizara ya Nishati na madini karibu na Steers.Nilikuwa nasikiliza afisa wao clouds fm...
FastJet "Were Excited to Announce Our New Route Between Kilimanjaro and Mwanza is Confirmed"
Were excited to announce our new route between Kilimanjaro and Mwanza is confirmed! fastjet flights...
HONG KONG Chinese oil company CNOOC says it has completed its $15.1 billion purchase of Canadian energy producer Nexen.
Chinas biggest overseas energy deal was finalized after winning...
Puma Energy (Tz) hivi karibuni ilinunua hisa toka kwa BP (Tz) na hivyo kuchukua vituo vya kuuza mafuta toka kwa ilizokuwa BP (Tz). Jana, jumapili tarehe 18 Novemba mida ya kama saa 2 na nusu hivi...
Ili kusajili kampuni yako ndani ya muda mfupi, bila usumbufu wasiliana na RMJ & CO.Ltd kupitia namba 0714784154 au 0753784154. Kwa wale ambao walishafika kwenye ofisi zetu za awali, sasa tumeamia...
Tanzania Daily News (Dar es Salaam)
22 FEBRUARY 2013
BP Oil, a firm that traded in petroleum business for many years in Tanzania, has expressed interest to invest in natural gas exploration...
poleni na kazi,
ninaomba msaada kwa wanaojua, kampuni yangu imekekuwa ikifanya kazi za umeme za kawaida namshukuru mungu mwendo si mbaya nimekuwa kwa kiasi fulani, sasa kwa kuwa nimekuwa...
Wana JF,
Nimekuwa na shauku ya kufahamu mipango iliyopo ya matumizi ya ardhi hususan kwa jiji la Dar es Salaam. Hii ni hasa kwa maeneo ambayo hayajapimwa bado (unsurveyed) kama vile baadhi ya...
Ndg zangu mtakumbuka wizara ya fedha kwenye bajeti ya mwaka jana walisema wanafuta kodi kwa wenye mitaji chini ya milion4 na wenye bodaboda, lkn imekuwa kinyume huku sumbawanga tra wamewafungia...
Mheshimiwa alipigiwa simu na wezi na kuambia simu yake ilikuwa inakaguliwa na asiizime kwa muda khalafu alipoizima akakuta hata namba haifanyi kazi. Alipokwenda vituo vya Airtel akaambiwa mpaka...
There is no standard list of barriers that must be overcome b4 development is possible. But the most powerful single prerequisite without which economic development would be impossible is not...
Australian firm to earn $361m from Tanzania rare earth project
By KENNEDY SENELWA Special Correspondent
THE EAST AFRICAN
Posted Saturday, February 23 2013 at 17:23
In Summary
The firm...