KATIKA PITA PITA HUKU NA KULE MTANDAONI, NIMEKUTANA NA HABARI KUCHALLENGE VITABU VYA HUYU MTU MASHUURI KWA KUHAMASISHA MAENDELEO YA MTU BINAFSI NA UHURU WA KIFEDHA (FINANCIAL FREEDOM). LENGO LANGU...
Wakuu nimeshindwa mahali pa kupata list ya mashine au aina ya Mashine za kilmo zenye msamaha wa Kodi endapo unaagiza kutoka Nje, lengo langu nilitaka kujua kama Mashine ya Vifaranga incubators imo...
Kutokana na fulsa zilizotakiwa watanzania waweze kusoma masuala ya gesi na mafuta lakini mpaka sasa nafasi hizi kwenye website ya wizara ya madini zimefungwa na wajanja wachache hili zisifunguke...
Salaam wakuu.
Nahitaji kuingia business venture na mtu yeyote kwenye trading.
Order-ipo na guaranteed by 100%.
Initial capital TZS 10M:
Ninayo TZS 5M.na nahitaji mtu mwenye TZS 5M,atakayekuja wa...
habari wanajf
Awali ya yote ninaomba mkopo kwa mwanajf yeyote wa Tsh 1,200,000/= wenye riba kuanzia 15% kwani nina biashara yangu ambayo imesimama kwa kwa muda sasa nataka niifufue ili iendelee...
Wakuu,
Nina mpango wa kuanzisha biashara ya M-Pesa na Tigo Pesa. Kutokana na ugumu wa kupata hizo till inakulazimu kutumia till zenye majina ya watu wengine.
Naomba kujua kama kuna risk...
Nina wazo la biashara ambayo itahusisha kununua kuku, kuwachinja, kuhifadhi nyama ya kuku kwenye freezer na hatimaye kusambaza kwa walaji hasa wachoma chips, migahawani, mahotelini na sehemu...
Kampuni ya airtel imetuma msg hii kwa wateja wake,
"Habari njema kutoka Airtel,kuanzia tarehe 10 Feb kifurushi cha 400MB kitakuwa 500MB kwa sh 3500 tu kitakachotumia kwa siku 10.Furahia kuperuzi...
Habari zenu wanajamiiforum! Nilikuwa Dar hivi karibuni nikakutuma na vigari vya mizigo vingi sana, hasa maeneo yetu ya Mbagala. Nami nikapata hamasa ya kumnunulia bi. mkubwa nikitegemea kuwa...
Wasalaam
naombeni uzoefu kidogo kama cif imeanzia usd 4300 kuna uwezekano wa kubagain nae mpaka ngapi?kama ni gari ya mwaka 97 (rav 4 ile ya zamani),cc 1980 mileage km 80000 mpaka inatembea...
Milembe Insurance Company is recruiting Insurance agenciesfrom all Tanzania regions.
Qualifications;
Principal Officer should hold (a) Secondary EducationCertificate with at least five passes...
Kwa wale wataalamu wa kodi, hivi mfanyakazi wa serikali mwenye mshahara wa daraja TGHS G, anaweza akasamehewa kodi kiasi gani kwa gari hii Lexus RX300 ya 2006 yenye cc 3000?
NB: Misamaha ya kodi...
Kuna mtu anataka kuniuziya kiwanja maeneo ya pugu naomba kujuwa taratibu za kufuata nisijee kutapeliwa hatua ya kwanza hadi nilipe pesa nakaribisha ushauri wenu wakuu
The debt-ownership row between FastJet and Fly540 Kenya has taken a new turn after the latter withdrew its licence that allowed the London-based budget carrier to carry out business in Africa...
habari ya asubuhi,
Nahitaji ushauri:
Bank ipi ni nzuri kwa kuomba mkopo?
Yani yenye riba nzuri na iliyofast katika kutoa mikopo ya biashara? maana bank zingine kama hii ya postal bank karibu...
Habari wandugu,
Naomba mawazo yenu. Najaribu kuumiza kichwa jinsi ya kupata mtaji. Hivi sasa nimefanya utafiti na kujiridhisha kuhusu biashara ya Jumla ya Vinywaji Baridi. Frame ninayo tatizo...
Sasa ni wazi kuwa iliyokuwa kampuni ya Celtel, ikawa zain na sasa airtel imeogewa kwa kujibadilisha majina. siku si nyingi itakuwa rasmi chini ya makaburu hivyo kuitwa Orange Tanzania. chanzo cha...
Wandugu ningependa kujua kama nita deposit kiasi cha millioni 50 na nataka niwe napata kipato kutokana na interest kw amwezi je , ni savings account au fixed deposit ipi ni bora na je naweza...
MWINGILIANO wa utendaji kati ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS) na Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) unachangia kukwamisha jitihada za wajasiriamali wadogo, katika kukuza uchumi wao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.