Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wanabodi napenda kuwashirikisheni katika suala au kero ya udhaifu wa serikali hii katika kukuza uchumi wa taifa. 1.Nimefuatilia vyuo vikuu vingi na kugundua zaidi ya wanachuo 3000...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Katika pita pita zangu mtandaoni nimeweza kupata habari ambapo Dr.Magufuli alikuwa kati ya waliohudhulia Davos (Economic Forum) kule Uswis akiwasilisha changamoto na uhusishwaji wa sekat binafsi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
hodi waungwa mgeni wenu:wof:
0 Reactions
2 Replies
769 Views
Baada ya kuwa Tanzania kwa kipindi cha muda mrefu sana shirika la ndege la Uingereza British Airways sasa kufunga virago tarehe March 29,2013...Source Michuzi Blog. Maswali ya kujiuliza... Hivi...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
By Aisia Rweyemamu 26th January 2013 Labour and Employment minister, Gaudentia Kabaka All is not well with Tanzanian youth as statistics show the group is intensely affected by rising...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wakuu na wazoefu nombeni mnijuze nataka kufungua acount. ni bank gani hawana usumbufu na huduma zao ni bora kwa kufanya manunuzi ya online
1 Reactions
18 Replies
480 Views
Coming Soon! www.bid2buy.co.tz is a Tanzania's leading penny auction website where brand new and used electronics, jewellery, watches and accessories fall under the auction hammer everyday and...
1 Reactions
0 Replies
958 Views
Jaman my dream nikuona oneday namiliki duka la pamba za kisasa za mashost na mabraza wa town, nataka kujua mwenye experience kinachoitajika for a beginner esp capital kwa duka la kawaida la kuanzia,
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Napenda sana kwenda Mozambique kwa ajili ya biashara. kama vile usafirishaji ,uuzaji wa magari nk. Kwa yeyote yule ambaye anafahamu mazingira ya biashara huko naomba unipe hali halisi naomba...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
The Ministry of Lands, Housing and Human Settlements Development yesterday announced the formation of Kigamboni Development Agency (KDA), charging it with planning, building and running an...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa wale wazoefu wa maswala ya bandari na TRA naomba mnijuze kwa kuwa nimeagiza vitu vifutavyo kutoka nje TRA na Bandari wanaweza kunitoza bei gani? 1.Pikipiki 2.TV 32" 3. Power tiller 4.rice...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna watu wengi sana wanaolalamika kushindwa kuanza kufanya biashara kwa madai kwamba hawana mitaji. Ukweli ni kwamba kwa walio wengi madai ya kutokuwa na mtaji siyo ya kweli badala yake ukweli ni...
15 Reactions
38 Replies
7K Views
wadau nisaisieni nikiwa na kama 40mil naweza jenga nyumba ya namna gani kwa hapa dar
3 Reactions
34 Replies
12K Views
Ni wapi kwa Arusha yanakopaki magari (Malori) yanayotoa huduma ya kuuza maji masafi kwa ajili ya matumizi ya nyumbani? Au mwenye contact za hayo Magari aweke hapa
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Jamani, nimeandika kitabu changu, nataka kukisambasa mimi mwenyewe, naomba kujua ni kwa namna gani nitalipa kodi TRA, nikiwa na maana kwamba, nisijekusambaza nikapata pesa fulani ambazo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwaka 2009! Manispaa ya Mji wa dodoma ilitangaza tenda kwa mtu mmoja mmoja kujoteza na kuomba kujenga na kupangisha kibanda cha sokoni (Eneo la Kisasa)! Mwaka 2013! Mchakato umeisha na sasa watu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wiki mbili zimepita tangu nijaze fomu kufungua account NBC nikaambiwa nisubiri ikiwa tayari watanipigia simu. Nimesubiri mpaka nimechoka kwani nilikuwa nategemea kutumia account hii kutumiwa hela...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kuna bank flani hv nilikopa mshiko sasa nimelipa hadi nusu hivi, sasa nimeenda bank kuchukua letter of settlement cha kusikitisha ni kwamba wamenipiga fine zaidi ya 800, 000 nashangaa hyo fine ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimewapigia simu leo hii ikapokelewa na mdada fulani. Issue ni kwamba kama naweza kupata sim card ambayo inaweza ku-fit kwenye simu ya Samsung Galaxy SIII. Akaniambia kuwa wanatoa kama promotion...
0 Reactions
1 Replies
938 Views
Source: Bloomberg Inside Reindert Dooves’s home, a 17th- century, three-story converted warehouse along the Zaan canal in suburban Amsterdam, a 21st-century Internet giant is avoiding taxes. The...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…