Wadau wa JF,naomba mwenye ufahamu wa michoro na ujenzi wa jumba (kiwanda kidogo) cha ukubwa wa 600 square meters na angalau mita 4 kwenda juu..naomba ushauri wenu na kujua gharama zake,nataka...
Wakuu heshima mbele!
Leo katika mdahalo Wa kisiasa kupitia STAR TV, uliokwenda kwa mada ya "kumbukumbu miaka 49 mapinduzi ya Zanzibar"; katika kupangua hoja zilizotolewa na wachangiaji wengine...
Wakuu hii habari ya ving'amuzi ni kero unaweza hata kupiga mtu. Yaani king'amuzi kinarusha picha inanatia kama wale jamaa wa Temeke. Hata ukirekebisha baada ya muda mnato unaendelea,habari zina...
The government has managed to recover over 400bn/- in corporate taxes from three big mining companies in the last three years through the audit work done by the Tanzania Minerals Audit Agency...
Study recommends reduction from 112/- to 34/92
Major Telecommunication operators in the country have refused to adopt the new proposed interconnection rate, which would have meant slicing off...
Baada ya TBL kutoa Bia pendwa ya Castle Lite (CL) Serengeti Breweries (SBL) wameingia sokoni na Tusker Lite(TL). Hata hivyo, inaonekana wanywaji wengi wa Castle Lite ambao wamejaribu TL ikiwemo...
BRITISH AIRWAYS YASITISHA SAFARI ZA DA ES SALAAM
Baada ya miongo minne ya kutoa huduma nchini Tanzania, hatimaye shirika la ndege la British Airways limeamua kusitisha safari zake...
Wadau nina shida ya kujua hatua za kufuata mpaka niweze kuwa na Website yangu kwa ajili ya kufanya au kutangaza biashara mbalimbali katika website hiyo. Mwenye kujua Please!
Hivi kuna ukweli gani kuwa hii benki ya China imewaweka kwenye mifuko yao karibuni watoa maamuzi wote pale wizara ya fedha?
niliona thread ilianzishwa hapa na majina ya wanaokula pesa za Exim...
One of the victims of Automated Teller Machines cash theft scam counted three weeks yesterday without any relief or clue as to when she would be refunded her money and access her account.
"I...
Wakuu, Heri ya mwaka mpya. Please naombeni kufahamu kodi inayotakiwa kulipwa TRA kama unataka kufungua Consultant Firm. Nina imani wapo wengi ambao ama wanafanya shughuli hii au wana uelewa na hii...
WEDNESDAY, JANUARY 16, 2013
NDEGE YA PRECISION AIR IKIWA INAWASILI KATIKA UWANJA WA KIMATAIFA WA SONGWE MBEYA MUDA HUU
MUELEKEZAJI AKIWA ANAELEKEZA WAPI NDEGE YA PRECISION AIR IPATE KUSIMAMA...
Wana JF leo nimefedheheshwa sana na majibu yaliyotolewa na office za FastJet mara baada ya kuamka asubuhi na mapema na kufanikiwa kufanya booking online kwaajiri ya kusafiri kesho kuelekea...
Ili kuongeza thamani ya Shilingi, inabidi tuzalishe (kwa kulima, kusindika) kwa ajili ya matumizi ya ndani na ziada kwa ajili ya mauzo ya nje. Sasa hawa wazungu (wachina) wameona ili tubaki...
jamani naombeni kuuliza mimi nipo nje ya dar saboufa aina ya sipiano kubwa ya spika 2 inayokalibia ile ya spika 4 ndefu ni sh ngapi nisaidieni mnaofaham hasa kwa dar
Natagemea kuezeka kibanda changu cha kuishi hivi kalibuni lakini nashidwa niweke aina gani ya mabati yenye ubora zaidi yanayoweza kukaa mda mrefu bila ya kuchoka,Mabati ya aina yoyote ile,na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.