JUMATANO, JANUARI 09, 2013 06:49 NA ALPIUS MCHUCHA, RUVUMA
MKOA wa Ruvuma, umepata mafanikio makubwa katika sekta mbalimbali za kiuchumi na kijamii katika kipindi cha miaka saba, kuanzia mwaka...
DAR ES SALAAM (Reuters) - Tanzania's current account deficit widened 4.4 percent in the year to November due to a rise in imports of oil and machinery for gas and oil exploration activities, its...
Wakuu heshima kwenu, Naungana na nyie kusherekea mwaka mpya wa 2013, na kwa wajasirimali huu ni wakati au ni mwaka wa Vitendo zaidi, ni Bora sasa maneno yakaachwa pembeni, make kila kitu kisha...
kiwanda cha azam,kimeamua kuingia kwenye ushindani wa kibiashara na kampuni ya coca cola,kwa kutengeneza kinywaji kiitwacho AZAM COLA!ambacho kina ujazo wa 500mls.kinauzwa kwa tsh.500.sasa maeneo...
Nimetafuta mtandaoni takwimu za usomwaji wa magazeti nikiwa na nia ya kujua idadi ya magazeti ya kiingereza yanayouzwa/somwa. Kuna anayefahamu utafiti rasmi uliwahi kufanyika kujua gazeti gani...
About 35.3 per cent of television homes (14.0 million) in sub-Saharan Africa took digital signals by the end of last year, according to a new report from Digital TV Research launched on Tuesday...
Maafisa mikopo walio wengi wa benki ya NMB sio waaminifu ukiomba mkopo wanakutaka utoe rushwa kwanza.Wapo baadhi walishakamatwa na kufukuzwa kazi. Je kwa mwendo huu hii benki inaelekea wapi?
Wakuu;
Poleni kwa majukumu mbalimbali ya kuijenga nchi yetu.
Mimi ni mtanzania niliyeajiriwa, nimekuwa na mikakati ya kujiariri mwenyewe na hususan kujiingiza katika sekta ya kilimo. Tayari...
wanajamvi kuna ubaguzi wa wazi CRDB kwenye suala la kukodisha nyumba za watu binafsi kwa ajili ya kufungua matawi mapya hususani huku kanda ya ziwa. ndo mana baadhi ya wilaya huku wanatumia mobile...
Ndugu wana Board,kuna vitu vinanitatizi sana kuhusu Uchumi wa dunia ulivyo kwa sasa.
Kwanza kabisa fedha ya Taifa fulani kuwa super currency wanaangalia vitu gani mfano ilivyo US $,Pound ya...
Naomba kujua taratibu za kuanzisha biashara Raanda au Burundi. Kama kuna mtu anajua anisaidie. Na kama atakuwa kwenye skype, naomba anipatie skype ID yake tuweze kuongea. Natanguliza shukurani
Habari zenu wana wa nchi,mwenzenu nina kiduka kidogo nahitaji kuongeza mtaji,naomba msaada namna ya kukopa benk,dhamana iwe duka lenyewe.is it possible? How?
Wote wenye mtazamo wa kua gesi ibaki Mtwara wanahisi gesi itauzwa kwenye chupa. Maana wanapiga kelele kwenye swala la kitaalam bila kujua lolote.
Elimu inahitajika ya kuwaelimisha watu na makundi...
Ndugu wanajamiiforum,nimefuatilia kwa kina asasi hii inayojiita Tanzania Loans Society,yafuatayo nimeyabaini:
1. Namba ya simu iliyotolewa kwaajili ya tigopesa ni ya bwana LWEMBO FELIX. Namba hii...
Tuesday, January 8, 2013
Na Deodatus Balile, Dar es Salaam
Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imeongeza ukusanyaji wa mapato katika bandari ya Dar es Salaam kutoka shilingi bilioni 28 mwezi...
WATAALAM MBALIMBALI WA GESI WANASEMA KUSIMIKA NGUZO ZA GREDI YA TAIFA NI GHARAMA KULIKO KULAZA MABOMBA????? NAOMBA MCHANGO WENU WENYE MAKADILIO YA GHARAMA!!!!!!! NAWASILISHA HOJA!:israel::israel:
LeightonCompletes Tanzania Single Point Mooring Project
http://www.leightonoffshore.com/leighton_completes_tanzania_single_point_mooring_project.html
Leighton Offshore hassuccessfully completed...
mheshimiwa waziri wa nishati na madini,amefafanua vizuri suala la gesi ya mtwara,kama wanasiasa uchwara,wataendelea kulipotosha,itabidi tuwafungulie mashitaka ya uchochezi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.