poleni kwa kazi ninaomba kwa anaeweza kunichanganulia garama halisi za gari aina ya Toyota hilux double cabin sports,hadi lifike dar es salaam bandarini mapato ya TRA yatagarimu kiasi gani...
Baada ya kufanyiwa kazi fulani na kukamilika nilipatiwa namba na wafanyakazi hao ili nimtumie bosi wao malipo kwa njia ya M-pesa, kwa bahati mbali walinipatia namba ya mtu mwingine kwa makosa na...
Ndugu wadau,
Mikopo yenye riba kubwa inawatesa watanzania hasa watumishiwa umma.Hapa singida kuna taasisi za fedha zinakopesha
wafanyakazi unakopa tsh.1 milion,unalipa zaidi ya tsh.3.5...
Heshima kwenu wakuu wangu.
Wakuu naombeni maoni yenu.
Kwa mfano mtu una pesa ambazo utahitaji kuzifanyia jambo fulani miaka mitano ijayo.
Kwa kawaida watu huifadhi pesa bank ila nimefikiria...
Wakuu nilikwenda Tigo pesa mlimani ciy kuomba uwakala wakaniambia hawataki mawakala wapya. Waliopo wanatosha.Nikaenda Vada kuomba m pesa wakaniambia acha leseni na TIN tutakupigia kwa muda wetu...
As the government gets busier allaying public fears over the rising national debt, facts and the general situation on the ground may paint a different picture.
It may be recalled that for the past...
Nahitaji CivilCAD 2012 software. Yeyote anayeweza kuniuzia aniambie. Mimi ninayo ila ni Trial Version. Kama kuna software engineer anayeweza kuifanyia cracking ajitokeze ili tuwasiliane.
Wadau naomba mnipe mawasiliano ya mtu anayeuza filter za kusafishia maji ya kisima yenye chumvi pamoja na wireless router za cmu ni mhm n nmeona jamiiforums ndo duka pekee ambalo najua...
TCRA Executive Director, Prof John Nkoma
Addressing a news conference in Dar es Salaam, the Director General of Tanzania Communication Regulatory Authority (TCRA), Prof John Nkoma, said tax...
wakuu salama??Nimefungua workshop yangu kwa ajili ya kutengeneza na kufitisha madirisha ya aluminium kwenye nyumba,ni mjasiriamali mdog,naomba sapoti yenu,tuko tayari kuja eneo lako la ujenzi na...
Wakuu huwa nasikia kuna kampuni ziko Bongo huwa zina import mzigo kwa niaba ya mtu/mteja, mwenye detail za hizo kampuni au Contact zao naomba anisadie ninazihitaji
Source: U.S. Bureau of Labor Statistics
December payroll employment rises (+155,000); unemployment rate unchanged (7.8%)
....
Establishment Survey Data
Total nonfarm payroll employment...
nyumba nzuri na ya kisasa inakodishwa,ipo maeneo ya
mbezi hapa goigi.
ina ac mbili na security system na ni rahisi kufaki kwa
gari.kwenda kwa gari hadi kwenye nyumba ni dk 3 kwenda
kwa miguu...
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), imepunguaza bei ya mafuta kuanzia leo katika mikoa yote nchini.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana na Ewura, bei ya petroli imepungua...
Habari zenu wana JF naomba ushauri kuhusu biashara. Nina mtaji kama milioni moja nahitaji kufanya biashara yoyote ambayo itaniongezea kipato zaidi. Je ni biashara gani naweza kufanya na ikanilipa...
REHABILITATION OF ARUSHA MINJINGU ROAD PROJECT TAKES OFF
The contract of the Arusha Minjingu Road Project (98 km) was signed between Tanzania National Roads Agency (TANROADS) on behalf of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.