Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habari wadau,nilipita eneo flani hapa dar nikasikia vijana wakibishana,upande mmoja ulikua unasema ukipata pesa afadhali ufanye biashara kwanza ndo baadae biashara ije ikupe makazi,yaani ujenge...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Naomba msaada kwa member yeyote mwenye ufahamu wa kutosha kuhusu makampuni yaliyosajiliwa hapa nchini kwaajili ya shughuli ya udalali/ minada (auction). 1. Je ni wizara gani inayojihusisha na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hi all, Hii itakuwa ni mara yetu ya tatu mfululizo kufanya mkutano/kikao hiki pale Lunch Time Hotel, iliyopo along Mandela Road opposite na Mabibo Hostel. Tunaita Chai day kwa sababu huwa...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
The East African Energy Blog East African Energy related issues, investment opportunities, analysis and stories WEDNESDAY, 7 NOVEMBER 2012 I had the pleasure of attending the Tanzania Mining...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
BANKS are now offering attractive interest rates on deposits where in the last 12 months the market experienced sharp increase, thanks to disequilibrium between demand and supply. The deposits...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naandika nikiwa nimeboreka na huduma za POSTA! mara nyingi naagiza vifurushi toka nje, na vinakuja kwa njia ya POSTA...bei ya huko vinakotumwa inakuwa ni nzuri ikiwa unatumia POSTA, ukitumia fedex...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Wabari zenu wandugu Waomba kusaidiwa namna ya kujenga swimming pool,huku ninapoishi hakuna wataalam. Mwenye kuelewa kuhusu ili naomba msaada wake tafadhali. Nawasilisha!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
wana JF naomba msaada kwa hili suala la car exemption kwa anayefahamu. Ni mtumshi yupi anayestahili kupata exemption mara anunuapo au kuagiza gari. kwa gari la 10mcif,exemption inaweza kuwa tsh ngapi?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ndugu wana Board habarini za weekend,Leo nimekuja na pendekezo moja kwamba ni kwa nini serikali yetu isijipange kuwashawishi wajapan na serikali yao kuweka soko la magari yao used hapa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
The International Monetary Fund (IMF) has praised the government for prudent management, particularly on the part of Bank of Tanzania (BoT) for tightening monetary policy as well as progress in...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nataka nifanye biashara Harare, huko kuna stanbic na standard chartered bank ambazo na huku zipo. Je naweza kufungua account kule kisha niwe na uwezo wa kuitumia account yangu nikiwa huku katika...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nilianza kuuza karanga kwenye maeneo ya stand za mabasi, nikahamia kuuza saa, baada ya kupata kidogo nikatafuta shule ya evening class nikasoma hadi kidato cha nne nikapata div II: 20...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ikiwa leo ni siku yake ya kwanza kuanza safari za kwenda Kigoma kutokea Dar baada ya uwanja wa ndege wa Kigoma kufungwa mwezi Aprili mwaka jana kupisha ukarabati wa njia ya kurukia na kutua ndege...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nilienda B.O.T kwa ajili ya kupata salary slip niweze kukopa Bank.Nilikuwa na utambulisho kutoka kwa Mwajiri wangu ukionyesha kwamba salary slip zangu zinapelekwa Bukoba kimakosa badala ya kituo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wanajamii. Naomba msaada wenu nina kajieneo ambapo naanza kilimo cha mboga mboga na matunda,pembeni yake nimechimba shimo yenye ukubwa wa 8m kwa 8m kina 2m wazo lakwanza lilikuwa ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakati akijenga hoja ya kuteta usafirishaji wa gesi kuja Dsm, Rais alisema kwamba mkoa wa Dar unachangia 80% ya pato la Taifa. kwa hiyo, alimaanisha kwamba kama kila mkoa utang'ang'ania rasimali...
6 Reactions
46 Replies
4K Views
Aibu gani hii inayotokea katika nchi hii? Wawekezaji wanakuja kututapeli nyumbani kwetu kabisa? Hapo ndipo akili za watu zinapowaza na kushindwa kupata jibu. Ukifikiri kidogo tu utajua kwamba...
0 Reactions
5 Replies
968 Views
sehemu gani naweza nikapata floor ya chequered plate(chaga plate) ya daladala ambayo haipati kutu,,,
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Heshima Zenu Wakuu! Jana nilikuwa na Washkaji, tulikuwa tunazungumzia uagizaji wa bidhaa toka nje, Ila mjadala mrefu ukazuka kuhusu bandari salama na nafuu kupokelea mzigo wako kati ya ile ya Dar...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau, Kuna uwezekano mkubwa wa kupunguza umaskini wa kipato kwa wakazi wa mkoa wa pwani endapo watawezeshwa kupatiwa mpenyo wa kupata huduma za kifedha kwa ajili ya kununua pembejeo za kilimo na...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Back
Top Bottom