HATIMAYE ALIYEKUWA WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA KABLA YA KUPIGWA CHINI NA JK CRYRIL CHAMI MBUNGE WA MOSHI VIJIJINI AMEIBUKIA CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA KNCU AKIWA NA MWENYEKITI WA BODI YA CHAMA...
KAMPUNI YA NDEGE YA RWANDAIR LEO IMEPOKEA NDEGE YAKE YA CRJ-900 NEXT GENERATION FRM KIWANDANI
Proud to Own & Operate the First in Africa Bombardier CRJ-900 Next-Generation
Be Part of the...
Habari wanajf,naomba tufahamishane site ambayo ina maelekezo mazuri kuhusu njia za kusimamia na kudhibiti kumbukumbu za mahesabu vizuri katika biashara..
Wakuu, Amani iwe kwenu wote!
Naandaa write-ups hasa;
development plans,
grant proposals and grant seeking (for not for profit projects),
business plans (for new and ongoing businesses either...
Wadau,
Nataka kuanzisha kituo cha fm cha kijamii, kwa malengo ya kuelimisha jamii za vijjini kule mkoani Rukwa, ukanda wa ziwa Tanganyika katika masuala ya afya na Elimu kwa shule za msingi na...
Chama kikuu cha ushirika mkoani Kilimanjaro KNCU sasa kimekuwa katika hali mbaya ya kiuchumi hali kadhalika na kiutendaji hali inayokipelekea chama hicho kikongwe shimoni.
Hali hiyo inatokana...
Habari zenu, Nilikuwa Nahitaji kufanya investment ya kiwanda kidogo cha kutengeneza Toilet Papers pamoja na Napkins.
Naomba mnisaidie mahali ninapoweza kupata mashine za kutengenezea hizi bidhaa...
Kuna Kampuni mmoja ya Muingereza imejenga kambi kubwa huko Lamai Serengeti katika mawe ambayo ni mazalia ya simba. Katika hali ya kawada hili halikubaliki kabisa kihifadhi, Je kuna mchezxo mchafu...
Coffee farmers in Muleba, Misenyi, Bukoba and Karagwe districts, have appealed to the Kagera Cooperative Union (KCU) and Karagwe District Cooperative Union (KDCU), respectively, to speed up their...
T
he government has set a record maize producer price of 500/- per kilogramme for Mbozi and Makambako districts in a bid to ensure that the National Food Reserve warehouses are fully stocked...
Jifunze kurefee watu kwenye webiste na kulipwa hapo hapo ni rahisi na simple:UltimatePowerBoost : This creates strong financial leverage for all members.
Wanajamii hali ni tete kampuni ya sukari kilombero baada ya malipo ya bonus kulipwa kwa wafanyakazi wake kiubaguzi. Wafanyakazi wa muda na wa msimu walikusanyika mbele ya ofisi kuu ya kampuni...
Exploration in east and southern Africa has been high in recent months as a result of big oil and gas discoveries in Tanzania, Mozambique, Kenya and other regional countries. Antoinette Sayeh, the...
Wanabodi,
Nilikua nahitaji mtu anikopeshe Tshs 7,000,000/= kisha nitamrudishia Tshs 10,00,000 baada ya miezi minne baada ya siku ya makubaliano. Kuna mahali nimekwama na mambo yameingiliana...
Ndugu wadau JF:
Kuna tetesi nimezisikia mitaani katika pitapita zangu kuwa kuna kigogo mmoja ambaye kila consignment yake ya mafuta inapowasili nchini bei za mafuta hupanda immediately...lakini...
Khabari wadau! Kwa wenye ujuz wa kuweza kuunganisha internet katika simu zifuatazo naomba anisaidie nokia, sumsang, tecno....lengo ni kuanzisha kabiashara kakuunganisha internet kwenye simu...