Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Salaam Mwanajamii, Leo naanza kwa kuweka bayana hili, ifahamike dhahiri kuwa sina maana ya kutaka kuzuia au kushiriki katika kuhakikisha watu wananyimwa ajira na 'wajasiliamali wapya' bali...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu jana nilitembelea Maonyesho ya Africa Mashariki, ambayo hayakuwa na Mvuto wa aina yoyote, na sana sana yalikuwepo mabanda ya serikali, Nilitembelea Banda la Brela na wakaniambia kwa sasa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tatizo ni nini mnogopa kutoa ratiba ya mgao au inakuaje watanzania hatuelewi mnatuchosha jamani...hii mambo ya asubuhi mpaka jioni kimya kimya inaumiza sana ,sijui nyie mnaishi uswahilini au kwenu...
0 Reactions
1 Replies
934 Views
Nyumba ni kama mita 400 kutoka bomba kuu.Je gharama za kuvuta maji ni kwa kisio kiasi ghani. Nashukuru.
0 Reactions
3 Replies
5K Views
habari, nimefungua migahawa na hotel nahitaji kuku wa nyama mara kwa mara waliokomaa sio vifaranga, hii ni katika kusaidiana wanajamii wenzangu, wale wafugaji tunaweza kuwasiliana 0713403840
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Some stakeholders in the oil sector have expressed doubts on whether the firm that replaced another Swiss based Agusta energy in the supply of petroleum will bring any efficiency because of the...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu nina mashine ya kusaga mahindi, imepaki tu! Siwezi kuifunga hapa Dar, sina eneo na mtaji. Niko tayari kwa mkataba wa ushirikiano! Iwe maeneo ya Dar au karibu
0 Reactions
8 Replies
5K Views
DAR ES SALAM, November 1, 2012 The Tanzania Economic Update is a biannual series aimed at fostering constructive dialogue between stakeholders and policymakers about the state of Tanzania's...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF.. Leo nimerudi tena baada ya kupotea kwa muda mrefu nikiwa katika gurudumu la mchakato wa elimu. Nami natoa shukrani zangu za pekee kwa mwenyezi mungu kwa kuniwezesha kumaliza...
0 Reactions
65 Replies
10K Views
Salaam wanajamii, Hivi karibuni nilieleza kwa ufupi namna ya kuanzisha biashara na kuifanya ifanikiwe,tulizungumzia hatua ya wazo lenye kutatua matatizo katika jamii,kupata wateja na namna ya...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Ndugu zangu Watanzania, kwanza poleni kwa changamoto zinazojitokeza kwa ukosekanaji wa mafuta. Tunaona juhudi mbalimbali zinafanywa kuondoa tatizo la mafuta. Jana na leo asubuhi tuliweza kumuona...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba msaada wa kueleweshwa gharama za umeme (Electricity Tariffs). Nimejaribu kupitia jedwali hapa chini lakini sijaelewa. i.e viwango vilivyowekwa ni kwa muda gani ? mtu anayetumia...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Ndugu wana great thinker,naomba kuuliza Kama kuna mtu ambaye anajua Nchi ambayo nitapata Matairi ya bei nafuu kwa jumla Kwani January nataka kufungua sehemu ya kubadilisha oil,wheel alignment...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Jamani hici majuzi nilikwenda kutengeneza gari langu pale gereji ya wachina iliyoko karibu na Rose Garden. Baada ya matengenezo yaliyodumu saa 4, gari ilitulia kabisa na wakaniambia gharama ambapo...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Ukweli husemwa: Mchumi Milton Friedman alisema, "There ain't no such thing as free lunch". Viongozi wetu kila kukicha ni kutembeza bakuli na kukopa. Deni la taifa kwa sasa ni Tsh...
0 Reactions
0 Replies
979 Views
Ili kusajili kampuni yako au biashara nyingine ndani ya muda mfupi bila usumbufu wasiliana na RMJ&CO.LTD kupitia 0714 784154/0753 784154 au tembelea ofisi zetu zilizopo Mandela Road-Dar (Opposite...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nataka kuji ingiza katika hii kazi lakini bado nafanya utafiti,kama mtu ana idea ntafurahi sana aki share nami.
0 Reactions
15 Replies
14K Views
kwa huduma za materials ya ujenzi kama mchanga, mawe,mbao, matofali,nk wasiliana nami kwa namba 0768877559 tupo mkoani arusha na tunafanya kazi nchi nzima
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari Wakuu. Naomba msaada wa kujulishwa ni wapi naweza kupata kitanda cha kujifungulia akina mama (delivery bed) jijini Dar es Salaam au Mwanza. Nitafurahi pia kufahamu bei yake. Natanguliza...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Written by AMBY LUSEKELO | Daily News | October 14, 2012 I am the Owner, Founder, CEO, Partner and Managing Director. I am also the Head of Department (HOD) handling everything that this company...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom