Hamjambo wanaJF. hebu mwenye uelewa aniambia nini maana ya mwekezaji, ni mzungu anayetoka nje na kuja kuwekeza nchini au hata Simon wa mtaani mwenye duka la kawaida ni mwekezaji pia?
Hamjambo wanaJF. hebu mwenye uelewa aniambia nini maana ya mwekezaji, ni mzungu anayetoka nje na kuja kuwekeza nchini au hata Simon wa mtaani mwenye duka la kawaida ni mwekezaji pia?
Tigo wamesitisha kutoa line za uwakala wa tigo pesa (TILL) kwa muda mrefu sasa, hata walioomba July mpaka leo hakuna jibu.
Matokeo yake ukienda kwa wakala mkuu wanakwambia toa laki 6, wengine...
Mwenye ukaribu na Meneja wa masoko Tigo amfikishie malalamiko yangu,
Ni kwann wanang'ang'ani kupiga kupromotion badala ya kucontrol database yao ya wateja!!!??
Maana sasa hv jam imezidii ile...
Kuna wadau kadhaa ambao wanaji involve moja kwa mojo na promotion/marketing ya vivutio vya utalii Tanzania. Baadhi ni kama wafuatao.
1. TTB - Tanzania Tourists Board
2. TANAPA - Tanzania National...
Siag Travel Agent of Egypt is in the process of organizing an annual Cairo-to-Dar expedition with effect from January next year. This was disclosed by its Chairman and founder, Mr. Rami Siag...
Mimi nashauri TRA isimamiwe na taasisi huru ili kukagua maeneo ya kodi ambazo hazijalipwa. Hapa mjini kuna maduka ya hardware hayaguswi hata kidogo kwa kuwa wenye mali wanautaratibu na maofisa...
Kenya Airways on Tuesday reported Sh4.7 billion net loss in the first half of the year ending Sept 30, 2012.
KQ which recently resorted to cost cutting measures...
Africa's mining industry shaped by legislation February 2011: While it is widely agreed that Africas extensive mineral and resources wealth has the...
Nilikuwa nawaza kuchukua mkopo ninunue gari niifanye taxi, ila baadhi ya rafiki zangu walishauri bodaboda na kuwa taxi siku hizi hazileti faida kama bodaboda na bajaji. Wadau wenye uzoefu mnanipa...
Hakika hakina ubishi kuwa mafanikio ya jitihada zako yameonekana dhahili, sasa kwa kuwa wakesha hoi wako wamekupokea kwa muonekano mpana tunaomba uongeze treni nyingine ili kukidhi mahitaji ya...
Wana jamvi naomba kujua gharama ya vigae vya Mbezi tiles kwa mtu anaefaham, na pia uimara wake ukilinganisha na mabati ya gauge 28 ya migongo mipana! Pia kama ukiringanisha gharama za kuezeka kwa...
Hodi wanaJF!!
Pamoja na kujitangaza sana kuwa wanasafirisha pesa bila malipo, system nzima ya airtel money haijatulia. Ukiitumia, it is at your own risk! Kama huamini, ijaribu ikiwa pamoja na...
Source: Business Insider
Dutch newspaper De Volkskrant and the website Follow the Money have today published a report detailing how Bain Capital may have been able to avoid $100 million in taxes...
5 November 2012
Lonrho Plc
Lonrho is pleased to announce that fastjet Plc (fastjet or the Company), the AIM listed African airline in
which Lonrho owns 67.4% has today made the following...
wakuu kuna kitu nataka kununua china na niliwasiliana na wale watu wanao kuwa online kule alibaba na imefikia nitume pesa kwa njia ya western union then wanitumie mzigo kwa njia ya Hongkong Posta...
October 12, 2012*3:37PMTHE author of best-selling financial help book Rich Dad, Poor Dad has filed for bankruptcy.Financial guru Robert Kiyosaki filed for corporate bankruptcy after losing a court...
Rushwa bongo bongo umekithiri.Ndugu yangu kazungushwa na hicho kibali mpaka kakubali yaishe.Kosa lake kutokuwa na pesa ya hongo.
Kwa wafanyabiashara humu mna maoni gani kuhusu jambo hili?
Wanajamvi kwa muda tangu vodacome wameingiza sokoni vocha ya shilingi 450 nimekuwa nashindwa kuelewa walilenga kumsaidia nini kati ya mnunuaji na muuzaji! Japo wao wanadai kuwa ni punguzo lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.