Amani kwenu wadau, natumai mpoa wazima..
natafta printer ambayo inaweza kuprint directly on tshirts. kwa yeyote mwenye information wap naweza nikapata
tafadhali naomba msaada!
thanks.
Benki nyingi zilidharau eneo hili kiuchumi. Huenda kwa kujipa moyo kwmba ni jirani na maeneo ya posta yalipo makao makuu ya benki nyingi. Lakini kigamboni ni sehemu unique iiyotakiwa iwe na matawi...
Jana jioni nimeenda kituo kimoja cha mafuta nikiwa nataka lita 50 za petrol, nikaambiwa kwa magari wanatoa lita 20 tu, kwa pikipki lita zisizozidi 5!!! Sababu:"Ndio maelekezo tuliyopewa na maboss...
Huduma za usafiri zimesimama mjini Songea kufuatia kukosekana kwa Petrol na Disel katika vituo vya uuzaji mafuta hayo kwa madai kuwa wameishiwa
source ITV
Wadau,
Kuna jamaa yangu anahitaji kusafirisha mizigo tajwa hapo juu kwenda sites(minara ya simu) 21 Mkoani kagera... jumla ya mzigo ni kama tani 39...
Inahitajika Kampuni yenye uwezo wa...
Kufuatia tangazo la ewura kushusha bei ya mafuta hapa nchini, nishati hiyo imeadimika mkoani ruvuma na kusababisha tatizo la usafiri mkoani humo hususan daladala.hii ni hujuma inayofanywa na wenye...
Naibu Katibu Mkuu Mtendaji Ofisi ya Rais Kamisheni ya Tume ya Mipango, Bw. Clinfford K. Tandari ameayasema hayo kwenye majadiliano yaliyohusu Utekelezaji wa Mpango wa Istanmbuli kwa nchi maskini...
Jamani ninaomba mnisaidie ni Bank gani ambayo itanipa mkopo kwa kipindi kifupi?
Ninahitaji BANK ambayo watanipa mkopo ili nilipe deni kidogo la mkopo wa Bank fulani kama 3.7 million ili nipate...
Passengers disembark from newly leased Air Tanzania's Boeing 737-200 on Saturday last week, at Mwanza airport, shortly after arriving from Dar es Salaam.
ATCL plane to cost Sh1.1b 3 months
By...
Wana JF, tafadhari niambieni nitapata wapi, na kwa masharti gani mkopo wa milioni 3, collateral yangu ni gari yenye thamani ya tsh 8 millioni? marejesho kwa mwezi hadi miezi 10 PIA,
JE kuna mtu...
Zaidi ya Shilingi Bilioni 35.7 zikiwemo fedha za matumizi ya ofisi shilingi bilioni 5.7 na maendeleo Bilioni 30 zimetolewa
hazina na kuingizwa kwenye tume hewa ya ushirika kwa kutumia voti namba...
Transport Minister Dr Harrison Mwakyembe yesterday received the report of the team which investigated the source of inefficiency at the Dar es Salaam Port, promising that its recommendations will...
hAbari wana JF
Nimezunguka takirban shell za mafuta 7 sasa bila kupata mafanikio ya kuweka mafuta kwenye gari.....
~ je mnaweza kunisaidia yanapatikana wapi sasa?
~ je ni kwanini shell...
The world of Internet surfing has expanded over the years. The days of needing a big chunky PC are far behind us and the Internet has moved from just being at the desk to being in every part of...
Je nitapata wapi bank ambayo itakubali kunikopesha million kama 15 ili nilipe deni kama 3.7 milion deni lingine kwenye bank fulani kisha nipate tofauti yake?
Nina shida imenipata ya daharura...
guardian.co.uk, 19 October 2012 12.01 EDT
Tanzania's plan to sell ivory stockpile is 'ludicrous', say conservationists
The east African country has formally requested permission to allow it to...
Tanzania is set to launch a credit bureau databank in four years through World Bank-sponsored funding.
The databank will allow banks to share their clients information, enabling small firms...
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akongea wakati wa mkutano na wanahabari Ikulu jijini Dar es salaam leo kuhusu sekta ya Gesi asilia nchini. Nyuma yake mwenye laptop ni Meneja wa Sekta...