Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Mwenye kufahamu vigezo na masharti anifahamishe..Kama upo kwenye system tuwasiliane 0715/0755 200221...Nipo serious na nimejipanga..Karibu..Ahs sana..!
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wanabodi, Moja ya shughuli zangu kama mwandishi wa habari wa kujitegemea, ni kuandaa vipindi mbalimbali vya TV, Redio na Makala mbali mbali magazetini. Hivyo kwa muda wa siku 5 mfulilizo kuanzia...
6 Reactions
24 Replies
3K Views
Kwa kweli ni kwa muda Sasa utendaji wa Bank ya NMB MANONGA imekuwa ni MMBOVU tumelalamika kwa branch manager lakini hamna lolote ambalo linafanyiwa kazi... Baadhi ya malalamiko ni Kama ifuatavyo...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Naitaji extenal had disk ya bei chee mi niko mosh anliye tayar ani pm
0 Reactions
0 Replies
737 Views
Wakuu naomba kujua kama kuna benki hapa Tanzania inayo weza kukopesha pesa kwa dhamana ya GARI! mfano mkopo wa sh 3M (milioni 3) kwa gari ya sh. let say iki-tathiminiwa ikawa milion 7,8,au 9. Na...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Rank Name Net Worth Age Source Country of Citizenship 1 Carlos Slim Helu & family $69 B 72 telecom Mexico 2 Bill Gates $61 B 56 Microsoft United States 3 Warren Buffett $44 B 82 Berkshire...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tafadhali mwenye kufahamu jinsi ya kutumia online application ya REACH FOR CHANGE step ya kwanza tayari, step ya pili tunaendaje? na pia FAQ ziko wapi?
0 Reactions
0 Replies
960 Views
New, profitable mining laws coming By JOINT REPORT THE EAST AFRICAN Posted Saturday, October 13 2012 at 12:14 In Summary •Already Kenya, Ugandan and Tanzania have proposed measures that...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau habarini za jioni, Nimesajili ltd company kama miezi kadhaa iliyopita na nilitegemea hadi kufikia mwisho wa mwaka huu ningeanza kufanya biashara na kuanza kulipa kodi TRA pia, lakini bado...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu wa JF, Nahitaj. ushauri yenu, kama mtu anaytaka kuleta mzigo kadogo za vitu mbali mbali za kompyuta na electronics. Una safirishaje ? Kwa njia ipi kama sio kontena nzima hayfiki ?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
http://www.bplans.com/sample_business_plans.php UNAWEZA TAFUTA BUSINESS PLAN UITAKAYO THEN UKA EDIT NI MOJA YA NJIA YA WEWE KUANDIKA BUSINESS PLAN THEN BAADAYA HAPO UNAENDA NA IDEA YAKO KWA...
10 Reactions
13 Replies
3K Views
The commercial banks quoted the shilling closing Thursday’s trading at around 1568/1578, which is a range bound the local currency has been holding on firmly since January. Standard Chartered...
0 Reactions
2 Replies
746 Views
Ndugu wadau wa JF nitaka kununua pikipiki ya kike nzuri so naomba mnielekeze wapi nitapata na ni aina gani nzuri. Kwa Dar es salaam.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Anayeweza kufanya hii kazi anipm or mail me mgumu19@yahoo.com
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Thanks .mimi nimenunua wholesale apple store .dollar 100 niuze how much shillings
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Mradi wa mabasi yaendayo kasi eneo la Magomeni unakwamishwa na nguzo za umeme ambazo bado ziko kwenye eneo la mradi wa barabara, Lawama hizi zimekuwa zikielekezwa kwa shirika la umeme la Taifa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tanzania air service in for changesImage via proactiveinvestors.co.uk BY DR. WOLFGANG H. THOME, ETN UGANDA | OCT 11, 2012(eTN) - At the recently-concluded World Routes meeting in Abu Dhabi...
0 Reactions
1 Replies
895 Views
Habari wadau, kwa mtu yoyote anayehitaji kuwa wakala m-pesa kwa haraka na gharama nafuu kabisa anichek aidha pm au call 0713522353 kwa maelezo zaidi. Utafurahi mwenyewe.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nina mashaka kidogo na propaganda za shirika letu la umeme kutaka maoni kwa wananchi kwamba sisi tunataka shirika liweje. Kimsingi matatizo ya shirika hili ni ya kimfumo na kiutekelezaji ambapo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu nipo kwenye mchakato wa kuchukua mkopo toka Benki yeyote, mkopo ninaohitaji ni personal loan ambayo watakuwa wananikata kwenye mshahara wangu, nimejaribu kufuatilia mabenki kadhaa lakini...
1 Reactions
9 Replies
5K Views
Back
Top Bottom